Wapinzani chezeni karata zenu kwa umakini sana kutokana na Rais tuliyenaye sasa hivi

Katika nyakati ambazo Wapinzani wanatakiwa wawe makini basi ni nyakati hii.

Ni nyakati ya wapinzani kaucha jazba na kuwa wastaarabu sana na wenye kujenga hoja bila MIHEMKO.

Kwa sababu sasa hivi sio kwamba CCM ni saafi saaaaaana laahasha, sababu ni kuwa mama anacheza karata zake kwa utulivu na ustaarabu.

Mama ni mtu anayeheshimika na Watanzania wa rika, vyama na dini zote, Watanzania wote wanamjua kwamba ni mtu mstaarabu na mtu mwenye staha ya maneno.

Hivyo mtakapojifanya wazalendo sana, mtakapojifanya mnakuja na maneno ya jeuri kwa sababu ya uhuru wa kuongea basi mtajiharibia kwa Watanzania wengi sana.

Mama anaongea kwa ustaarabu wewe unakuja na kauli za kifedhuli hoja yako haitaonekana kitakachoonekana ni hizo kauli zako mbovu.

Mukitaka mumuweze mama sasa hivi basi mnnatakiwa muwe humble kuliko nyakati zote kwa sababu sasa hivi tuna Raisi wa aina nyingine kabisa.

Ushahidi ni kwa Mdude anavyojifanya shujaa na maneno yake Watanzania wengi wanamuona hana adabu kwa sababu ya raisi aliyekuepo sio wa dizaini hizo.

Sio kwamba CCM imesafika saaana bali huyu mama ni mtu muungwana, hivyo lazima mufanye siasa za kiungwana sana.
Ile tu huyu ni Rais wa jinsia ya kike, lazima approach iwe tofauti, na pia jinsi alivyo mstaarabu dhidi ya wahuni kama Mdude na Mbowe
 
Kumbe haki ya watanzania inatolewa kwa hisani ya mtu fulani.
Raisi anatakiwa atekeleze yale ambayo kayaahidi kwanza.

Kytekeleza mengine yaliyokuwa nje ya ahadi yake ni hisani tu kama hili la katiba.

Mfano watu wa kusini wakasema tunataka kanda ya kusini igawiwe tujitegemee wakatoa na sababu zao.

hili raisi anaweza kukataa na kama ataamua kutekeleza ni hisani yake tu.

Mfano wananchi wakasema wanahitaji raisi ajenge kisima katika kila nyumba au kila mtaa hapa tanzania,ni kweli watu wanahitaji majji lakini hili hitajio lao raisi akiamua kutekeleza ni hisani tu kwa sababu hakuahidi.

Akiamua kutekeleza ni sawa sio vibaya na ASIPOAMUA KUTEKELEZA HATAKIWI KULAUMIWA kwa lolote.

Neno hisani haina maana kwamba jambo hilo wananchi hawalitaki,jambo linaweza kutakiwa sana na wananchi lakini bado likawa ni hisani tu kuwafanyia wananchi hao.
 
Siasa na ustaarabu wapi na wapi,Duniani kote hamna astaarabu katika Siasa.
Politics ni mchezo brother na kwa vile ndani yake kuna propaganda huwezi pata ustaarabu ndani yake.
 
Usiwasitue
Tunaona ni watu wanaojiona akili kubwa alafu wanashindwa kusoma alama za nyakati.

Harakati zao hizi zingetufaa sana kabla ya uhuru wakati ule wa wakoloni lakini sio zama hizi ambazo watanzania wenyewe ndo tunaongozana
 
Katika nyakati ambazo Wapinzani wanatakiwa wawe makini basi ni nyakati hii.

Ni nyakati ya wapinzani kaucha jazba na kuwa wastaarabu sana na wenye kujenga hoja bila MIHEMKO.

Kwa sababu sasa hivi sio kwamba CCM ni saafi saaaaaana laahasha, sababu ni kuwa mama anacheza karata zake kwa utulivu na ustaarabu.

Mama ni mtu anayeheshimika na Watanzania wa rika, vyama na dini zote, Watanzania wote wanamjua kwamba ni mtu mstaarabu na mtu mwenye staha ya maneno.

Hivyo mtakapojifanya wazalendo sana, mtakapojifanya mnakuja na maneno ya jeuri kwa sababu ya uhuru wa kuongea basi mtajiharibia kwa Watanzania wengi sana.

Mama anaongea kwa ustaarabu wewe unakuja na kauli za kifedhuli hoja yako haitaonekana kitakachoonekana ni hizo kauli zako mbovu.

Mukitaka mumuweze mama sasa hivi basi mnnatakiwa muwe humble kuliko nyakati zote kwa sababu sasa hivi tuna Raisi wa aina nyingine kabisa.

Ushahidi ni kwa Mdude anavyojifanya shujaa na maneno yake Watanzania wengi wanamuona hana adabu kwa sababu ya raisi aliyekuepo sio wa dizaini hizo.

Sio kwamba CCM imesafika saaana bali huyu mama ni mtu muungwana, hivyo lazima mufanye siasa za kiungwana sana.
CDM wanatoa wrong approach kwa nature ya Rais tuliye naye huwezi tumia maneno makali ka enzi za jpm na Sasa Raia wakakuelewa zaidi ya kujiharibia, hafu CDM wengi Wana mchukulia Samia kiudhaifu vile ni mwanamke wakadhani niwepesi, Samia has been fair to our country na ni msikivu Sana kafanya mengi ndani ya siku 100 why provoking her na ubabe loh CDM acheni kupima maji ya kina kirefu kwa miguu, hafu mnataka kumharibia utendaji wake kwa kufanya vitu kusudi ili kumharibia Hadi kwa hisani, siku mama akigeuka na kuwa hatari kuliko jpm mtanyooka tu.
Kwanini kwa swala la katiba mpya , lawama ziwaendee CDM na wafuasi wao ?!. Kwani Cdm ndiyo iliyokwamisha mchakato wa katiba ya wananchi ?! WaTz hatujui adui yetu ni nani !!

Kwamba waliokwamisha mchakato sasa ni malaika na watu wasubiri hisani zao ?!. Hii ni ulemavu wa WaTz kudai haki zao tena zilizopo kisheria . Wanaokwamisha katiba makusudi wanajuwa wanafanya hivyo kwa masilahi yao binafsi wala si kwa nchi. Hao ndiyo hawatakiwi kukemewa !!!. Ila tujibanze kwenye kauli za watu wenye stress kama Mdude !!.

Nadhani elimu yetu waTz ina kasoro somewhere na ni makusudi kwa faida ya watawala .
 
Raisi anatakiwa atekeleze yale ambayo kayaahidi kwanza.

Kytekeleza mengine yaliyokuwa nje ya ahadi yake ni hisani tu kama hili la katiba.

Mfano watu wa kusini wakasema tunataka kanda ya kusini igawiwe tujitegemee wakatoa na sababu zao.

hili raisi anaweza kukataa na kama ataamua kutekeleza ni hisani yake tu.

Mfano wananchi wakasema wanahitaji raisi ajenge kisima katika kila nyumba au kila mtaa hapa tanzania,ni kweli watu wanahitaji majji lakini hili hitajio lao raisi akiamua kutekeleza ni hisani tu kwa sababu hakuahidi.

Akiamua kutekeleza ni sawa sio vibaya na ASIPOAMUA KUTEKELEZA HATAKIWI KULAUMIWA kwa lolote.

Neno hisani haina maana kwamba jambo hilo wananchi hawalitaki,jambo linaweza kutakiwa sana na wananchi lakini bado likawa ni hisani tu kuwafanyia wananchi hao.
Na hapa ndipo unapo feli hata Mpango sio matumizi hapa CCM kuna mambo mengi yamefanyika pasipo kuwepo kwenye Ilani.

Hivi kwa Mambo ya ajabu aliyoyafanya JPM utasubiri mpaka swala la Katiba liwekwe kwenye Ilani ya CCM?.

Halafu ni mpumbavu gani anaweza weka kwenye Ilani ya CCM,kitu ambacho kinamfaidisha yeye na Chama chake?.
 
Hayo yote ni hisani yake kuyafanya na wala haikuwa lazima kuyafanya.

Kwa hiyo bado tuko pale pale kwamba katiba mpya ni hisani ya mama tu akitaka na wala hawezi kazimishwa.
 
Kumbe na wewe ume experience.

Alafu mbaya zaidi hawa wanavyama hawajui kama kuna watu ambao hatusapoti chama kwa sababu ya chama bali tunasapoti chama kwa sababu ya hoja.

Kwa maana tunaangalia hoja hatuangalii imetoka wapi,hivyo tunakuwa free minded kukosoa mtu yeyote yule bila kuangalia ufuasi wa chama.

Wapinzani ukiwakosoa wanadhani wewe ni CCM,wana mawazo mgando ya kizamani kwamba hawatakiwi kukosolewa,wanadhani kila mtu anaangalia chama.

Kwa mtindo huu wa kudhani kila anaewakosoa ni ccm ndivyo wanazidi kupoteza points zao kwa sisi wananchi ambao hatuna ushabiki,kwenye nyeusi tunakubali nyeusi na nyeupe tunakubali nyeupe
Kwa style ya matusi niliyoexperience mitandaoni pale unapotoa opinion kwao unakutana na lundo la matusi bila hata wao kutafakari kilichoongelewa.

Inasikitisha sana unaposhauri ili wao waweze kupata public support halafu unaitwa CCM na hawajui wengine kuitwa CCM ni kama dhambi Ila pia sio wanachadema sababu siasa yao haireflect uhalisia wa wanachokitaka.

Hata ningekuwa mimi ni Rais, kwa siasa za kejeli na matusi unafika wakati unawawasha risasi aisee kila mtu ameumbwa kwa damu na nyama hakuna wa chuma.
 
Sikuhizi too much mihemko na matusi na hamna anayejenga hoja mbadala imegeuka genge la wahuni
Nikitoa a very humble opinion aisee nimekula matusi mpaka nikashindwa kuelewa kwamba shida ni elimu, mihemuko, double kick, Kvant au ni vijana wasiojielewa wao wanadhani ukiwa mpinzani basi unabisha tu na haupaswi kushauriwa na yeyote na ukishauriwa unatukanwa tu.

Chama kisipokemea aina fulani ya siasa hakika kinaenda kupoteza middle class support ambayo imekuwepo sana kichinichini.

Hatuwezi kukaa meza moja na vijana wasioweza kujadili kwa ushawishi Ila wao wanaona kunyamazisha ushauri ni kutukana tu.
 
Mkuu, hapa unaweza tukanwa mpaka kijiji ulichosoma aiseee, hahahaha
Yani ushauri wa bure tu kwamba watumie karata yao vizuri maana strategy waliyotumia hapo nyuma Rais aliyekuwepo aliwakomesha na walifyata wote. Tuliwaonea huruma sana hata siasa hawakufanya na hata mishahara hawalipwi kwa sasa wanatembeza mabakuli kuombaomba tu.

Chama hakina miradi inayoingiza pesa zaidi ya kutegemea pesa za wahisani, wahisani walibanwa akina Sabodo wakafilisiwa ikabidi warudi CCM tu. Leo tunawashauri mambo ya msingi ili kuondoa utegemezi ambao chama kikikosa uhisani basi kiendelee kuwa na pesa zake za kutoka kwenye miradi yake.

Angalia leo hata kama CCM waliiba viwanja vya mpira Ila viwanja vya mikoa vyote ni vya CCM, wenzetu ukiacha kwamba wana serikali Ila hata huko kwenye mamiradi wanayo pesa nyingi mno, mashamba, majengo ya upangishaji, vyuo nk.

Sasa jaribu kuwashauri vijana wa CHADEMA wao hawatakaa kutafakari effect ya ushauri wako watakutukana tu.

Sasa hiyo ni level ya watu wa chini sana, hiyo haiwezi kuwa siasa ambayo unategemea in 5/10 years watapewa nchi. Never.

Hatuwezi kuongozwa na wahuni, nimekuwa nasapoti sana wapinzani, Ila kwa hii, hapana nchi haiendeshwi na genge la machokoraa, lazima kujipanga.

CCM wanaona sababu wanatumia mbinu za kisiasa ya hali ya juu, unawachokoslza then wao wanakujibu halafu wanakaa kimya hawajibizani tena na wanawaacha muendelee na hilo kumbe wao wamehamia kwingine. Mnabaki na kupiga domo at the end unasikia uchaguzi umefika na hakuna aliyeweka strategy ya kushinda zaidi ya vurugu tu.

Nchi haiwezi kuendeshwa na watu wa namna hiyo. Wasipobadilika waendelee tu na siasa zao.
 
Katika nyakati ambazo Wapinzani wanatakiwa wawe makini basi ni nyakati hii.

Ni nyakati ya wapinzani kaucha jazba na kuwa wastaarabu sana na wenye kujenga hoja bila MIHEMKO.

Kwa sababu sasa hivi sio kwamba CCM ni saafi saaaaaana laa hasha, sababu ni kuwa mama anacheza karata zake kwa utulivu na ustaarabu.

Mama ni mtu anayeheshimika na Watanzania wa rika, vyama na dini zote, Watanzania wote wanamjua kwamba ni mtu mstaarabu na mtu mwenye staha ya maneno.

Hivyo mtakapojifanya wazalendo sana, mtakapojifanya mnakuja na maneno ya jeuri kwa sababu ya uhuru wa kuongea basi mtajiharibia kwa Watanzania wengi sana.

Mama anaongea kwa ustaarabu wewe unakuja na kauli za kifedhuli hoja yako haitaonekana kitakachoonekana ni hizo kauli zako mbovu.

Mukitaka mumuweze mama sasa hivi basi mnnatakiwa muwe humble kuliko nyakati zote kwa sababu sasa hivi tuna Rais wa aina nyingine kabisa.

Ushahidi ni kwa Mdude anavyojifanya shujaa na maneno yake Watanzania wengi wanamuona hana adabu kwa sababu ya rais aliyekuepo sio wa dizaini hizo.

Sio kwamba CCM imesafika saaana bali huyu mama ni mtu muungwana, hivyo lazima mufanye siasa za kiungwana sana.
Yes hoja yako ina mantiki ila nakumbuka awamu ya 4 Seif,Mbatia,Lipumba n.k waliacha siasa kali wakawa moderate na wakimuunga mkono wazi JPM wakiamini "Atalainika" na kuwapa uchaguzi fair kwa expense ya more-radical CHADEMA.

Lakini wote ni mashahidi uchaguzi wa 2020 hao wote walipata Less than CHADEMA licha ya kwamba walijisalimisha.

Nachosema ni kwamba CCM ni ile ile tu Mama anaweza kuwa na nia njema ila kujikomba haiwezi kuwa suluhu. Mnaweza kuwa wapole ikafika 2025 na asipite mpinzani hata mmoja!! kuweka presha ni kutafuta attention ya Rais ili mkiwa kwenye negotiation table muwe na cards za kutosha!! Sio yale ya kujipeleka Kama Mbatia na Seif mwisho wa siku wakaonekana vulnerable na kunyimwa kila kitu.
 
Katika nyakati ambazo Wapinzani wanatakiwa wawe makini basi ni nyakati hii.

Ni nyakati ya wapinzani kaucha jazba na kuwa wastaarabu sana na wenye kujenga hoja bila MIHEMKO.

Kwa sababu sasa hivi sio kwamba CCM ni saafi saaaaaana laa hasha, sababu ni kuwa mama anacheza karata zake kwa utulivu na ustaarabu.

Mama ni mtu anayeheshimika na Watanzania wa rika, vyama na dini zote, Watanzania wote wanamjua kwamba ni mtu mstaarabu na mtu mwenye staha ya maneno.

Hivyo mtakapojifanya wazalendo sana, mtakapojifanya mnakuja na maneno ya jeuri kwa sababu ya uhuru wa kuongea basi mtajiharibia kwa Watanzania wengi sana.

Mama anaongea kwa ustaarabu wewe unakuja na kauli za kifedhuli hoja yako haitaonekana kitakachoonekana ni hizo kauli zako mbovu.

Mukitaka mumuweze mama sasa hivi basi mnnatakiwa muwe humble kuliko nyakati zote kwa sababu sasa hivi tuna Rais wa aina nyingine kabisa.

Ushahidi ni kwa Mdude anavyojifanya shujaa na maneno yake Watanzania wengi wanamuona hana adabu kwa sababu ya rais aliyekuepo sio wa dizaini hizo.

Sio kwamba CCM imesafika saaana bali huyu mama ni mtu muungwana, hivyo lazima mufanye siasa za kiungwana sana.
na wacheze karata zao vzr mno kwa kudai katiba mpya kwa huyu mwanamke mpaka kieleweke. Wakishindwa kwa mwanamke huyu wasije wakategemea katiba mpya maishani mwao mwote.
 
Kwa style ya matusi niliyoexperience mitandaoni pale unapotoa opinion kwao unakutana na lundo la matusi bila hata wao kutafakari kilichoongelewa.

Inasikitisha sana unaposhauri ili wao waweze kupata public support halafu unaitwa CCM na hawajui wengine kuitwa CCM ni kama dhambi Ila pia sio wanachadema sababu siasa yao haireflect uhalisia wa wanachokitaka.

Hata ningekuwa mimi ni Rais, kwa siasa za kejeli na matusi unafika wakati unawawasha risasi aisee kila mtu ameumbwa kwa damu na nyama hakuna wa chuma.
Kwa Tanzania upinzani unahitaji ukarabati mkubwa

Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app
 
To me naona tunahitaji upinzani mpya ambao haujatokana na watu waliokimbia CCM au wanaopingana na CCM. Tunahitaji watu waliokuwa neutral ambao wamekuwa na maoni ya pekee kuhusu hatma ya taifa letu kiuchumi, kijamii na kisiasa.

Kuna kundi kubwa la watu ambao wao hupiga kura kulingana na wanayemuona anafaa na sio sababu ya uchama, imagine mwaka 2020 kuna watu walishindwa kupiga kura sababu wagombea wote wakubwa walikuwa ni tatizo kubwa. Huku una Lissu ambaye ana matusi na mavurugu na kule una Magu ambaye hakubaliki siasa na utawala wake.

Tunahitaji chama kipya cha siasa chenye mlengo wa kujijenga kisera, Imani na wafuasi ambao Wana fikra zenye Ushindani sio wenye kudhani kutukanana ndio siasa.

Ukiangalia vijana wa CCM tuliwapigia sana kelele kwamba waache lugha na matamko yasiyo na staha, Leo wamepunguza sasa wanaibuka CHADEMA tena wanaongea bila staha huku wanarefer vijana wa CCM, sasa unabaki kujiuliza, Ina maana CHADEMA wanafuata siasa za CCM au vipi? Why wasiwe na Sera yao isiyotetereka? Unaanzaje kudai demokrasia kwa kutumia matusi? Unaendaje kanisani kuomba Baraka ingali haujatubu kwanza ili uwe na moyo Safi?

Tungepata chama ambacho hakina hizi damu chafu za CHADEMA waliohama CCM ingesaidia sana. Hawa watu wanagombana kama wake wenza Ila ukiangalia CHADEMA hawana nia kabisa ya kuchukua dola. Wameridhika kazi kuzurura na kutoa matamko, wapate ruzuku, wale na familia zao ingali wengi tunabaki kuamini wanapigania maslahi ya Taifa ili wachukue nchi.

Matusi na kejeli Kati yao CCM na CHADEMA hayana tija kwa wananchi. Tunaacha kujadili whether tunahitaji Katiba mpya na hiyo Katiba iweje? Tunabaki kuona wengine wanaimba wanataka Katiba mpya na wengine hawataki Ila sababu hazitolewi na hata tukianza mchakato tuwe na Katiba yenye kubeba masuala gani hakuna zaidi ya matusi

We need a new political party isiyo na viongozi wanaotaka hivyo vyama vinavyosigishana. Unaweza kukuta hii hali inafanywa kwa kuelewana na viongozi wanalipwa kuruhusu huu upuuzi.
 
Mkuu Leo umetema nyongo sana.

Karibu tumuunge mkono mama atuletee maendeleo ya kweli.
 
Katika nyakati ambazo Wapinzani wanatakiwa wawe makini basi ni nyakati hii.

Ni nyakati ya wapinzani kaucha jazba na kuwa wastaarabu sana na wenye kujenga hoja bila MIHEMKO.

Kwa sababu sasa hivi sio kwamba CCM ni saafi saaaaaana laa hasha, sababu ni kuwa mama anacheza karata zake kwa utulivu na ustaarabu.

Mama ni mtu anayeheshimika na Watanzania wa rika, vyama na dini zote, Watanzania wote wanamjua kwamba ni mtu mstaarabu na mtu mwenye staha ya maneno.

Hivyo mtakapojifanya wazalendo sana, mtakapojifanya mnakuja na maneno ya jeuri kwa sababu ya uhuru wa kuongea basi mtajiharibia kwa Watanzania wengi sana.

Mama anaongea kwa ustaarabu wewe unakuja na kauli za kifedhuli hoja yako haitaonekana kitakachoonekana ni hizo kauli zako mbovu.

Mukitaka mumuweze mama sasa hivi basi mnnatakiwa muwe humble kuliko nyakati zote kwa sababu sasa hivi tuna Rais wa aina nyingine kabisa.

Ushahidi ni kwa Mdude anavyojifanya shujaa na maneno yake Watanzania wengi wanamuona hana adabu kwa sababu ya rais aliyekuepo sio wa dizaini hizo.

Sio kwamba CCM imesafika saaana bali huyu mama ni mtu muungwana, hivyo lazima mufanye siasa za kiungwana sana.
Hakuna rais aliyeingia madarakani akakuta kuna urahisi wa kupata umaarufu kama rais Samia. Rais Samia ameingia kipindi ambacho Magufuli alikuwa amei-terrorize nchi na kila mtu alikuwa anatafuta pa kupumulia. Tangu Samia aingie, hajafa lolote special ila ameondoa ile hali ya hofu iliyokuwepo. Hii fungate haiwezi kuendelea kwa muda mrefu. Soon wananchi watazoea hali ya hii ambayo walikuwa nayo kabla ya Magufuli halafu wataanza kukumbuka tena shida zao za kila siku. Kwa hiyo naweza kusema kwa kujiamini kuwa baada ya fungate ya rais Samia kuisha atakuwa kwenye wakati mgumu sana na pengine kuliko rais mwingine yoyote tangu tupate uhuru.
 
Katika nyakati ambazo Wapinzani wanatakiwa wawe makini basi ni nyakati hii.

Ni nyakati ya wapinzani kaucha jazba na kuwa wastaarabu sana na wenye kujenga hoja bila MIHEMKO.

Kwa sababu sasa hivi sio kwamba CCM ni saafi saaaaaana laa hasha, sababu ni kuwa mama anacheza karata zake kwa utulivu na ustaarabu.

Mama ni mtu anayeheshimika na Watanzania wa rika, vyama na dini zote, Watanzania wote wanamjua kwamba ni mtu mstaarabu na mtu mwenye staha ya maneno.

Hivyo mtakapojifanya wazalendo sana, mtakapojifanya mnakuja na maneno ya jeuri kwa sababu ya uhuru wa kuongea basi mtajiharibia kwa Watanzania wengi sana.

Mama anaongea kwa ustaarabu wewe unakuja na kauli za kifedhuli hoja yako haitaonekana kitakachoonekana ni hizo kauli zako mbovu.

Mukitaka mumuweze mama sasa hivi basi mnnatakiwa muwe humble kuliko nyakati zote kwa sababu sasa hivi tuna Rais wa aina nyingine kabisa.

Ushahidi ni kwa Mdude anavyojifanya shujaa na maneno yake Watanzania wengi wanamuona hana adabu kwa sababu ya rais aliyekuepo sio wa dizaini hizo.

Sio kwamba CCM imesafika saaana bali huyu mama ni mtu muungwana, hivyo lazima mufanye siasa za kiungwana sana.
Kwamba rais wa sasa yupo chini ya katiba tofauti na Magu aliyesiina katiba ?
 
To me naona tunahitaji upinzani mpya ambao haujatokana na watu waliokimbia CCM au wanaopingana na CCM. Tunahitaji watu waliokuwa neutral ambao wamekuwa na maoni ya pekee kuhusu hatma ya taifa letu kiuchumi, kijamii na kisiasa.

Kuna kundi kubwa la watu ambao wao hupiga kura kulingana na wanayemuona anafaa na sio sababu ya uchama, imagine mwaka 2020 kuna watu walishindwa kupiga kura sababu wagombea wote wakubwa walikuwa ni tatizo kubwa. Huku una Lissu ambaye ana matusi na mavurugu na kule una Magu ambaye hakubaliki siasa na utawala wake.

Tunahitaji chama kipya cha siasa chenye mlengo wa kujijenga kisera, Imani na wafuasi ambao Wana fikra zenye Ushindani sio wenye kudhani kutukanana ndio siasa.

Ukiangalia vijana wa CCM tuliwapigia sana kelele kwamba waache lugha na matamko yasiyo na staha, Leo wamepunguza sasa wanaibuka CHADEMA tena wanaongea bila staha huku wanarefer vijana wa CCM, sasa unabaki kujiuliza, Ina maana CHADEMA wanafuata siasa za CCM au vipi? Why wasiwe na Sera yao isiyotetereka? Unaanzaje kudai demokrasia kwa kutumia matusi? Unaendaje kanisani kuomba Baraka ingali haujatubu kwanza ili uwe na moyo Safi?

Tungepata chama ambacho hakina hizi damu chafu za CHADEMA waliohama CCM ingesaidia sana. Hawa watu wanagombana kama wake wenza Ila ukiangalia CHADEMA hawana nia kabisa ya kuchukua dola. Wameridhika kazi kuzurura na kutoa matamko, wapate ruzuku, wale na familia zao ingali wengi tunabaki kuamini wanapigania maslahi ya Taifa ili wachukue nchi.

Matusi na kejeli Kati yao CCM na CHADEMA hayana tija kwa wananchi. Tunaacha kujadili whether tunahitaji Katiba mpya na hiyo Katiba iweje? Tunabaki kuona wengine wanaimba wanataka Katiba mpya na wengine hawataki Ila sababu hazitolewi na hata tukianza mchakato tuwe na Katiba yenye kubeba masuala gani hakuna zaidi ya matusi

We need a new political party isiyo na viongozi wanaotaka hivyo vyama vinavyosigishana. Unaweza kukuta hii hali inafanywa kwa kuelewana na viongozi wanalipwa kuruhusu huu upuuzi.
Umechangia point nzuri sana, Bora kuwe na vyama vya siasa kuliko kuwa na Chama tawala na vyama vya upinzani. Hapa Tanzania wawakilishi wanaheshimu vyama kuliko wanavyojali wananchi

Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app
 
Umechangia point nzuri sana, Bora kuwe na vyama vya siasa kuliko kuwa na Chama tawala na vyama vya upinzani. Hapa Tanzania wawakilishi wanaheshimu vyama kuliko wanavyojali wananchi

Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app
Unajua wanapojiita wapinzani Ina maana walitoka CCM na Ina maana ni CCM B, hatuhitaji vyama vya watu waliotoka CCM wakaunda kikundi cha kuiba ilimradi wanaendelea kudanganya wananchi kwamba wanatafuta dola.

Hao wanajua kabisa hawatachukua nchi kamwe, wameamua kuweka strategy zao, wanarecruit vijana vichaa ili chama kikose critical thinkers wabakie watupa matusi tu wasio na uelekeo wanaodhani ipo siku chama Chao kitashinda dola.

Hawaangalii mpaka sasa watu wameanza kuwanyamazia wanawapima tu, sasa wameamua kuleta fujo. Hiyo sio siasa yenye Nia ya kuchukua dola.

Ukiangalia vijana waliokuwa trained kiongozi wapo wachache, majority ni warusha matusi tu.
 
Mimi nakuelewa mleta mada. Dhana yako ni kwamba wapinzani wakiwa wapole sana mwenyekiti wa ccm kwakuwa naye ni mpole kwa maumbile na hulka yake basi kuna siku atawahurumia wapinzani awapatie katiba mpya. Hell No! Narudia tena Hell No!.

Huyu mama kama angekuwa ni rais atokanaye na mgombea binafsi au angetokea CHADEMA basi katiba angetupatia ndani ya siku 100 za utawala wake. Lakn kwakuwa anatokana na kundi la walafi wa madaraka la CCM, kamwe msitegemee.

Hawa walafi wa CCM ndiyo waliombadilisha JK daikika za mwisho kabisa za mchakato wa kupata katiba mpya 2014. JK alikuwa na dhamira ya dhati kabisa ya kutupa katiba mpya lkn manyang'au hawa wakamwabia wee!
KWA HIYO NJIA SAHIHI NI KUTUMIA UBABE KUIPATA HIYO KATIBA MPYA?
 
Back
Top Bottom