Kwa upinzani upi mpaka serikali iogope?
Huu upinzani wa kwapani kwa Mbowe?
Una ushahidi wa TISS kuisaidia CCM?
Wapinzani Tanzania ni NGO ni moving private company
nasema tena ZZK alikua sahihi kuhama
jiulize hizo hoja za kudai katiba mpya zimeishia wapi?
zimeishia mbowe kupost mjengo wake Hai na Lissu kupigwa majungu na Mbowe ,wanagombana nani agombee urais real?
Wapinzani wameshadakia mijadala ya maandazi ,hakuna tena anayeulizia katiba mpya , nieleze wewe Mbowe umemsikia lini anaongelea katiba mpya?
Kwani wewe unadhani nauli ndo Tatizo la Taifa,Chadema hamjawai kuwa na Akili...ndo mana mnapokea ruzuku ya Wabunge mnaowaita haram ili kuendesha chama chenu Haram.