Wapinzani hawana hoja kuelekea 2024/2025

Wapinzani hawana hoja kuelekea 2024/2025

Kwa upinzani upi mpaka serikali iogope?
Huu upinzani wa kwapani kwa Mbowe?

Shida yako unaangalia majina ya watu na kudhani ndio upinzani Upinzani ni movement sio Mbowe, ndio maana wamepita watu wengi ila Upinzani bado unadumu. Upinzani upo tangu ukoloni na utaendelea miaka na miaka. Wewe Baki kwa kumuangalia Mbowe kwamba ndio upinzani.
 
Una ushahidi wa TISS kuisaidia CCM?
Wapinzani Tanzania ni NGO ni moving private company
nasema tena ZZK alikua sahihi kuhama

Unajichanganya Sana. Unadai Upinzani ni NGO halafu unadai Zitto alikuwa sahihi kuhama CHADEMA. Sasa alihamia wapi?.
 
jiulize hizo hoja za kudai katiba mpya zimeishia wapi?
zimeishia mbowe kupost mjengo wake Hai na Lissu kupigwa majungu na Mbowe ,wanagombana nani agombee urais real?

Wewe naye unaropoka tu. Ulisikiliza hotuba ya Rais Samiah pale JNICC?. Alisemaje kuhusu katiba mpya?. Maana ni kama unaitupia lawama chadema wakati serikali ilishakubaliana na madai ya katiba mpya. Hapo wa kulaumiwa ni serikali
 
Wapinzani wameshadakia mijadala ya maandazi ,hakuna tena anayeulizia katiba mpya , nieleze wewe Mbowe umemsikia lini anaongelea katiba mpya?

Wewe naye unachosha. Serikali ilishakubali kuanza mchakato wa katiba mpya kupitia kwa Rais , ulitaka Mbowe aongee Nini kingine?.
 
Kwani wewe unadhani nauli ndo Tatizo la Taifa,Chadema hamjawai kuwa na Akili...ndo mana mnapokea ruzuku ya Wabunge mnaowaita haram ili kuendesha chama chenu Haram.

Tatizo lako hujitambui. Eti nauli sio tatizo la Taifa. Nauli ikipanda gharama za usafirishaji zinaongeka na kumpelekea Bei ya bidhaa kupanda
 
Back
Top Bottom