econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Kwa upinzani upi mpaka serikali iogope?
Huu upinzani wa kwapani kwa Mbowe?
Shida yako unaangalia majina ya watu na kudhani ndio upinzani Upinzani ni movement sio Mbowe, ndio maana wamepita watu wengi ila Upinzani bado unadumu. Upinzani upo tangu ukoloni na utaendelea miaka na miaka. Wewe Baki kwa kumuangalia Mbowe kwamba ndio upinzani.