Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
dah?,Wapinzani wapo kama milofa fulani, wanasubiri tukio ndio wadandie mada kama komba.
Kila tukio linalotokea Tanzania wapinzani lazima walidandie. Liwe zuri au baya.
Akitokea mpuuzi mmoja kuanzisha uzushi wowote wapinzani wanatembea na hiyo trend kama Matahira vile.
Majuzi kuna mjinga mmoja ambaye aliwahi kuzusha kifo cha Philip Mpango kwa mara mbili tofauti na Vifo vya viongozi wengine amezusha kifo cha Rais Samia. Wapinzani bila aibu wakaanza kufarijiana na kupongezana mitandaoni.
Rais akaonekana Ikulu Dodoma wakaanza hoja za kijinga oooh mara propaganda za kuficha msiba. Leo yupo huko anaongoza maelfu ya waombelezaji wapinzani watabadili mada bila aibu.
Kwa ujinga huu hamtapata hata mtaa mmoja wa kuuongoza
Hao uliowaona wakipongezana ulifanya sensa ukajua ni wapinzani au ni uchawa tu unakusukuma kuwaita wapinzani? Shughulikieni sababu zinazowafanya raia wawachukie viongozi, na sio kuwabatiza wanaohoji utekaji, mauaji, ufiraji, wizi wa rasilimali za taifa n.k. kuwa ni wapinzani.Majuzi kuna mjinga mmoja ambaye aliwahi kuzusha kifo cha Philip Mpango kwa mara mbili tofauti na Vifo vya viongozi wengine amezusha kifo cha Rais Samia. Wapinzani bila aibu wakaanza kufarijiana na kupongezana mitandaoni.
Kuna yule mpuuzi wa Arusha ambae(Lema) hadi aandikiwe cha kupost na Malisa na kenge Twaha ndio wanaongoza kusambaza ushuzi mitandaoni.Wapinzani wapo kama milofa fulani, wanasubiri tukio ndio wadandie mada kama komba.
Kila tukio linalotokea Tanzania wapinzani lazima walidandie. Liwe zuri au baya.
Akitokea mpuuzi mmoja kuanzisha uzushi wowote wapinzani wanatembea na hiyo trend kama Matahira vile.
Majuzi kuna mjinga mmoja ambaye aliwahi kuzusha kifo cha Philip Mpango kwa mara mbili tofauti na Vifo vya viongozi wengine amezusha kifo cha Rais Samia. Wapinzani bila aibu wakaanza kufarijiana na kupongezana mitandaoni.
Rais akaonekana Ikulu Dodoma wakaanza hoja za kijinga oooh mara propaganda za kuficha msiba. Leo yupo huko anaongoza maelfu ya waombelezaji wapinzani watabadili mada bila aibu.
Kwa ujinga huu hamtapata hata mtaa mmoja wa kuuongoza
Kupitia mitandao ya kijamii walionyesha dhahiri jinsi walivyo na akili ndogo.Hao uliowaona wakipongezana ulifanya sensa ukajua ni wapinzani au ni uchawa tu unakusukuma kuwaita wapinzani? Shughulikieni sababu zinazowafanya raia wawachukie viongozi, na sio kuwabatiza wanaohoji utekaji, mauaji, ufiraji, wizi wa rasilimali za taifa n.k. kuwa ni wapinzani.
Watanzania wa wapi,tunawekana tu kwenye mikumbo?Kwasasa chama Dola CCM kinapambana na watanzania Wananchi wa kawaida kabisa wengine hata vyama hawana. Kuingiza upinzani wakati upinzani nchii hii hakuna ni kutaka kukwepa uwajibikaji. Labda useme Wananchi wanaoipinga serikali haramu hapo kidogo unaweza kueleweka. Ukweli Huwa haujifichi na ukilazimisha sanaa kuukwepesha utadhalilika hili ni angalizo tu nawapa Wana CCM wenzangu.
Kama haupo ni wewe na hao kina abduli sisi tupo. Wengi wapeWatanzania wa wapi,tunawekana tu kwenye mikumbo?
Wengi uliwahesabu wapi?Kama haupo ni wewe na hao kina abduli sisi tupo. Wengi wape
Mama watoto mtarajiwa mambo? Siku nikiweka ndani na kula utakacho huu ujinga utaanza ujutia.Wapinzani wapo kama milofa fulani, wanasubiri tukio ndio wadandie mada kama komba.
Kila tukio linalotokea Tanzania wapinzani lazima walidandie. Liwe zuri au baya.
Soon sasa hivi wapinzani watapita na trend ya mgao wa maji. Serikali ikifix wanakaa kimya na kutafuta jambo jingine.
Sasa mjinga kama huyu wa kutembea na trends umpe nchi aifanyie nini?
Akitokea mpuuzi mmoja kuanzisha uzushi wowote wapinzani wanatembea na hiyo trend kama Matahira vile.
Majuzi kuna mjinga mmoja ambaye aliwahi kuzusha kifo cha Philip Mpango kwa mara mbili tofauti na Vifo vya viongozi wengine amezusha kifo cha Rais Samia. Wapinzani bila aibu wakaanza kufarijiana na kupongezana mitandaoni.
Rais akaonekana Ikulu Dodoma wakaanza hoja za kijinga oooh mara propaganda za kuficha msiba. Leo yupo huko anaongoza maelfu ya waombelezaji wapinzani watabadili mada bila aibu.
Kwa ujinga huu hamtapata hata mtaa mmoja wa kuuongoza
Sasa mnahangaika Nini kama siyo wengi?Wengi uliwahesabu wapi?
Wanaozusha kifo cha samia ni genz ila yeye anasema ni kina LemaKwasasa chama Dola CCM kinapambana na watanzania Wananchi wa kawaida kabisa wengine hata vyama hawana. Kuingiza upinzani wakati upinzani nchii hii hakuna ni kutaka kukwepa uwajibikaji. Labda useme Wananchi wanaoipinga serikali haramu hapo kidogo unaweza kueleweka. Ukweli Huwa haujifichi na ukilazimisha sanaa kuukwepesha utadhalilika hili ni angalizo tu nawapa Wana CCM wenzangu.
Sasa anawasiwasi gani wakati anajua Samia yupo hai na Leo kasali pale kiwanja cha ndege kumuaga jenista?Wanaozusha kifo cha samia ni genz ila yeye anasema ni kina Lema