Wapinzani wa Tanzania mnaokimbilia huku Kenya mtatuchonganisha, tumieni mbinu kama za Lissu

Bila shaka mnaogopa JPM asije kupiga marufuku mahindi kuingia Kenya!

Mwambieni Kenyatta na Mabwenyenye wenzake waachie ardhi kwa Wakenya ili wazalishe mazao ya chakula vinginevyo mtaendelea kumuogopa JPM ili kubembeleza mahindi "yake"!
Pote chadema wanakataliwa home and away, hii ni laana, hasa nikikumbuka namna mlivyokua mkijipendekeza kwa Uhuru na kujitia Ukenya kuliko wenye nchi
 
Wafukuzeni kabisa au wapelekeni kwenye vituo vya Corona
 
Si mabwana zao wapo hapo Kenya!! Hata Lissu alianziaga hapo Kenya. Chezea mbano wa Tanzanite na madini mengine wewe!! Mafisadi wote walikuwa wanatuibia raslimari zetu siku hizi wanakuja hapo Kenya na kupanga mipango ya kutuhujumu kupitia Nairobi. Lakini tutawanyoosha tu!
 
Amani sio utulivu tu. Tanzania tafuteni amani ya ukweli ya kudumu. Sio hii amani yenye mtu hawezi kutoka inje kusherekea ushindi wa kishindo kwenye uchaguzi kwa sababu polisi atafikiria ni mfuasi wa kikundi cha kigaidi cha CHADEMA.

Inasikitisha kweli, vile hapa inaonekana Watanzania hawajafurahishwa na enablers wa huyo dictator wenyu.


 

Ulitegemea Lissu akimbilie Burundi au Rwanda au Uganda baada ya kulishwa risasi 38, ilibidi aje kwenye nchi iliyo bora kiaina kwenye utawala na mifumo.
ila hiyo nchi mumeiharibu sio mchezo duh....
 
Ulitegemea Lissu akimbilie Burundi au Rwanda au Uganda baada ya kulishwa risasi 38, ilibidi aje kwenye nchi iliyo bora kiaina kwenye utawala na mifumo.
ila hiyo nchi mumeiharibu sio mchezo duh....
Sisi huku hatutaki wasaliti vibaraka wa mabeberu.
 
Kwamba Kenya haiwezi kuwapa asylum Watanzania ambao ni viongozi wa upinzani wanaokimbilia Kenya,kwa sababu kwa kufanya hivyo Magufuli ataudhika sana?

Aiseee nilikuwa sijui kama Kenya inamwogopa Magufuli kiasi hiki,leo ndio nimejua.
Huyo jamaa wenyu ata overreact awafungie Watanzania mipaka wasiweze kuuza bidha zao Kenya na kuwaadhiri vibaya zaidi Watanzania
 
MK254,
Msiwe na hofu hili ni suala la haki za binadamu na haki ya kuishi, toeni msaada kwa wanaotafuta hifadhi, leo sisi kesho kwenu nyie maana Afrika bado tupo katika mtanziko wa kidemokrasia Democratization, sequencing, and state failure in Africa: Lessons from Kenya

Nimesoma makala ya Jaji mstaafu Mutunga na harakati zao. Kumbe wengi walikimbilia Tanzania wakiwa vijana na kupewa hifadhi. Listi ya wanafuzi radical , hata washukiwa tu au wanaharakati kama kina Koingi Wamwere, Raila Odinga, Prof. George Luchiri Wajackoyah, John Githongo n.k walikimbilia Tanzania au walipita Tanzania kutafuta hifadhi nchi zingine

Willy Mutunga, a Lifelong Activist​

Source :Willy Mutunga, a Lifelong Activist
 
Ester mariko na ester bulaya wako mpaka wa sirari kuomba kuingia nchini kenya. Muda mfupi ujao watakuwa jiji la nairobi.wakenya msituchoke sisi ni ndugu. Tupokeeni huku kwetu ujamaa umeshindikana
 
Hii ni aibu kwa nchi yangu Tanzania. Badala ya kupokea wakimbizi nasi tumeanza kuzalisha wakimbizi
 
CHADEMA SANAA GROUP. Hizi sinema za Chadema waandike upya stori. Hivi nani amtishie maisha Nyalandu.
Una kideri we mwanamwali.

Lissu kimlimpata nini? Si mlimkashifu ni attention seeker?

Vipi Ben saanane, Lwajabe, Alphonse Mawazo, akwilina, azory gwanda nk?

Nakuita shetani kwasababu unataka kuona vifo alafu baadae msingizie ni mboye.
 
Una kideri we mwanamwali.

Lissu kimlimpata nini? Si mlimkashifu ni attention seeker?

Vipi Ben saanane, Lwajabe, Alphonse Mawazo, akwilina, azory gwanda nk?

Nakuita shetani kwasababu unataka kuona vifo alafu baadae msingizie ni mboye.
Kumbe muhusika unamjua. Kaa kimya
 
Watanzania tunaona akili za watu waliokua eti wanataka hii nchi. Vilaza watupu, wanatapatapa kwa propaganda za kitoto.
awajui hata kutengeneza drama.
Lucifer at work

Usituletee drama za huko kwenu

Ndio umefundwa na mamako hivyo?

Lissu si mlisema drama?

Mashetani kwa mwili wa binadamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…