Hawana option nyingine mleta mada, maanake majirani wengine wote wa kutajika waliosalia wanaongozwa na ma'role model' wa Jiwe, madikteta. We fikiria mpinzani afunge safari kisirisiri labda ndani ya boot la gari bila kitambulisho chochote, tena akiwa amevalia nguo zilizochanika chanika kama 'camouflage'. Alafu ajikute yupo kwa mfano kwa Museveni. Hapo lazima atatiririkwa na machozi karibia lita tatu maanake akikamatwa lazima wamrejeshe motoni.
[emoji23][emoji23][emoji23] Nimecheka kweli magufuli sio wakuchezea anaweza kufunga na mipaka kabisa, na Hali ikiwa tight kenya inawarudisha Tanzania tundu lisu mjanja kakimbilia ubalozi wa u German hao wanaokimbilia kenya wako hatarini sana
Ester mariko na ester bulaya wako mpaka wa sirari kuomba kuingia nchini kenya. Muda mfupi ujao watakuwa jiji la nairobi.wakenya msituchoke sisi ni ndugu. Tupokeeni huku kwetu ujamaa umeshindikana
Nimesoma kwa mshtuko kwamba aliyekua mbunge huko Tanzania bwana Nyalandu naye amekamatwa akijaribu kukimbilia Kenya, ilhali huku tayari tunaye yule wa Arusha bwana Lema, ambaye tayari tumechimbwa mkwara na asasi za kimataifa asirudishwe kwao Tanzania maana huko wanasakwa na kuuawa, kuna yule aliyegombea urais bwana Lissu keshajiokoa kwa kuchukua hifadhi ndani ya ubalozi wa mabeberu wa Ujerumani, huyo yuko nafuu maana wale ni baadhi ya Mataifa ambayo hutoa misaada Tanzania, hivyo wana uwezo wa kusema chochote na kikasikilizwa.
Lakini sisi huku mkija, mnatuingiza kwenye hali ngumu ya ugomvi baina yetu na huyo mnayemkimbia Rais wenu John Pombe Magufuli halafu upande wa pili asasi za kijamii za kimataifa kama Amnesty International, ambao tumesharidhia sheria za kuhifadhi mkimbizi yeyote anayeitoroka nchi yake kuokoa uhai wake. Muda wowote Magufuli anaweza akafungia ndege zetu kuruka kuja huko. Hehehe
Tumieni busara kama hiyo ya Lissu, mjichomeke kwenye balozi zozote za mabeberu, huko hamtaguswa ila duh yaani hiyo Tanzania iliyokua inapokea Warundi wanaoikimbia nchi yao, leo imegeuka kuwa chanzo cha wakimbizi, poleni sana ndugu zetu, tunawaombea.
========
Aliyekuwa mgombea ubunge jimbo la Singida Kaskazini, (Chadema), Lazaro Nyalandu amezuiwa kutoka nchini kupitia mpaka wa Tanzania na Kenya wa Namanga baada ya kukosa nyaraka muhimu.
Mh lazaro NYALANDU amezuiliwa namanga akiwa anaelekea Kenya kutafuta hifadhi. Amezuiliwa namanga. Kufika mwakani tutabaki mimi na wewe ------ Aliyekuwa Mgombea ubunge jimbo la Singida Kaskazini, (Chadema) Lazaro Nyalandu amezuiwa kutoka nchini kupitia mpaka wa Tanzania na Kenya wa Namanga baada...
Akili kama hizi ndio zinafanya tanzania inarudi nyuma badala ya kwenda mbele. Wapinzani wameanza kukimbia mmoja mmoja nyinyi mnajichekesha tu. Magu amekua serikali, upinzani, media, mahakama, msanii, kitengo cha polisi, yaani mwisho mtamuacha yeye na nchi tu. Hivi ulishwahi fikiria kuna hata siku moja watz wenzako watatorokea Kenya?
Ulitegemea Lissu akimbilie Burundi au Rwanda au Uganda baada ya kulishwa risasi 38, ilibidi aje kwenye nchi iliyo bora kiaina kwenye utawala na mifumo.
ila hiyo nchi mumeiharibu sio mchezo duh....
Mmoja alikuwa na kundi la majangiri akiwa waziri na mwingine alikuwa mwizi wa magari kabla ya ubunge, so wapokeeni at your own risk.
Watu wasije kuwa wanatafuta jinsi ya kurudia shughuli zao za zamani
Ukute ww ndio shetani maradufu, hao wote hakuna evidence wameuliwa na serikali, except akwilina, mbowe asingeandamanisha watu, binti wa watu asingekufa.
Nilijua tu ww ni shetani. Mashetani ndio hutusi baba za watu ambao wala hawahusiki, sasa sijui huwaga mnajisikia raha gani kutusi wazazi wa watu mnabishana nao.
Natumaini umejiona ulivyo shetani, kutusi 3rd part ya mtu unabishana nae, haswa wazazi ni tabia za mashoga.
Una mashetani ww
Nimesoma kwa mshtuko kwamba aliyekua mbunge huko Tanzania bwana Nyalandu naye amekamatwa akijaribu kukimbilia Kenya, ilhali huku tayari tunaye yule wa Arusha bwana Lema, ambaye tayari tumechimbwa mkwara na asasi za kimataifa asirudishwe kwao Tanzania maana huko wanasakwa na kuuawa, kuna yule aliyegombea urais bwana Lissu keshajiokoa kwa kuchukua hifadhi ndani ya ubalozi wa mabeberu wa Ujerumani, huyo yuko nafuu maana wale ni baadhi ya Mataifa ambayo hutoa misaada Tanzania, hivyo wana uwezo wa kusema chochote na kikasikilizwa.
Lakini sisi huku mkija, mnatuingiza kwenye hali ngumu ya ugomvi baina yetu na huyo mnayemkimbia Rais wenu John Pombe Magufuli halafu upande wa pili asasi za kijamii za kimataifa kama Amnesty International, ambao tumesharidhia sheria za kuhifadhi mkimbizi yeyote anayeitoroka nchi yake kuokoa uhai wake. Muda wowote Magufuli anaweza akafungia ndege zetu kuruka kuja huko. Hehehe
Tumieni busara kama hiyo ya Lissu, mjichomeke kwenye balozi zozote za mabeberu, huko hamtaguswa ila duh yaani hiyo Tanzania iliyokua inapokea Warundi wanaoikimbia nchi yao, leo imegeuka kuwa chanzo cha wakimbizi, poleni sana ndugu zetu, tunawaombea.
========
Aliyekuwa mgombea ubunge jimbo la Singida Kaskazini, (Chadema), Lazaro Nyalandu amezuiwa kutoka nchini kupitia mpaka wa Tanzania na Kenya wa Namanga baada ya kukosa nyaraka muhimu.
Mh lazaro NYALANDU amezuiliwa namanga akiwa anaelekea Kenya kutafuta hifadhi. Amezuiliwa namanga. Kufika mwakani tutabaki mimi na wewe ------ Aliyekuwa Mgombea ubunge jimbo la Singida Kaskazini, (Chadema) Lazaro Nyalandu amezuiwa kutoka nchini kupitia mpaka wa Tanzania na Kenya wa Namanga baada...
Hawana option nyingine mleta mada, maanake majirani wengine wote wa kutajika waliosalia wanaongozwa na ma'role model' wa Jiwe, madikteta. We fikiria mpinzani afunge safari kisirisiri labda ndani ya boot la gari bila kitambulisho chochote, tena akiwa amevalia nguo zilizochanika chanika kama 'camouflage'. Alafu ajikute yupo kwa mfano kwa Museveni. Hapo lazima atatiririkwa na machozi karibia lita tatu maanake akikamatwa lazima wamrejeshe motoni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.