Wapinzani wa Tanzania mnaokimbilia huku Kenya mtatuchonganisha, tumieni mbinu kama za Lissu

Mbwa ww, hatutaki prayers zako za kinafiki as if u luv us, pray for your tribalist, corrupted, Animal rapist godforsaken kunyaland, uchaguzi wetu ushapita, huko kila election lazima muuane, pray for yourself, stupid.
Life is harder huko kwenu, tunapajua in and out, y'all are worse. Hao wanasiasa wanakimbilia huko tunajua how Kenya was involved kwenye huu uchaguzi wetu, hakuna mwenye time nao, wamekataliwa sanduku la kura, wakaitisha maandamano wananchi wakarefuse kuandamana, afu serikali iwawinde, wa kazi gani, msando ako wapi? Jacob juma? To mention the few. Nyie hamkumuibia raila kura zake last election. Ati Life in Tz is so friggin hard, the audacity u have, food is cheaper here, no lockdown no Corona, life is simpler here, uliza wakunya wenzako waliojibana huku. Stupid
Punguza matusi basi haitobadilisha chochote kitakachotokea.
Acha nichukue [emoji897] popcorns nikalie Kochi.
 
Tumieni busara kama hiyo ya Lissu, mjichomeke kwenye balozi zozote za mabeberu, huko hamtaguswa ila duh yaani hiyo Tanzania iliyokua inapokea Warundi wanaoikimbia nchi yao, leo imegeuka kuwa chanzo cha wakimbizi, poleni sana ndugu zetu, tunawaombea.
Nawewe ni ctim wa hizi stunts za alina LISSU na Lema?
Hawa kuna mchezo wanaucheza kistadi sana.

Lakini sijui kama utamuondoa Magufuli madarakani, sana sana utawafaidisha wao na familia zao kupata vibali vya ukazi au kupata uraia Ulaya na Marekani.

Unaweza kujiuliza Lissu alirudi vipi nchini ilihali hakuhakikishiwa usalama wake na serikali kama alivyoomba awali?

Jiulize Lema aliiahi vipi siku zote na hakuuwawa?
Nyarandu auwawe kwa kosa look au kitiaho gani?

Lissu na Lema wanakimbia kesi zao na kutafuta malisho bora pia kukwepa aibu na msoto wa maisha bila kipato Cha kisiasa.

Mbowe peke yake ndiyo mwanaume mpambanaji mwanamapinduzi ya kweli bado yupo kupambania anacho hisi ni haki yake.
 
Mbwa ww, hatutaki prayers zako za kinafiki as if u luv us, pray for your tribalist, corrupted, Animal rapist godforsaken kunyaland, uchaguzi wetu ushapita, huko kila election lazima muuane, pray for yourself, stupid.
Life is harder huko kwenu, tunapajua in and out, y'all are worse. Hao wanasiasa wanakimbilia huko tunajua how Kenya was involved kwenye huu uchaguzi wetu, hakuna mwenye time nao, wamekataliwa sanduku la kura, wakaitisha maandamano wananchi wakarefuse kuandamana, afu serikali iwawinde, wa kazi gani, msando ako wapi? Jacob juma? To mention the few. Nyie hamkumuibia raila kura zake last election. Ati Life in Tz is so friggin hard, the audacity u have, food is cheaper here, no lockdown no Corona, life is simpler here, uliza wakunya wenzako waliojibana huku. Stupid
povuuuuuu......
 
Mtoa mada ameandika akitaka kusema yeye ni mkenya ila kiukweli umeandika kwa lugha ya kiswahili ya bongo na wewe ni mbongo
 
Mbwa ww, hatutaki prayers zako za kinafiki as if u luv us, pray for your tribalist, corrupted, Animal rapist godforsaken kunyaland, uchaguzi wetu ushapita, huko kila election lazima muuane, pray for yourself, stupid.
Life is harder huko kwenu, tunapajua in and out, y'all are worse. Hao wanasiasa wanakimbilia huko tunajua how Kenya was involved kwenye huu uchaguzi wetu, hakuna mwenye time nao, wamekataliwa sanduku la kura, wakaitisha maandamano wananchi wakarefuse kuandamana, afu serikali iwawinde, wa kazi gani, msando ako wapi? Jacob juma? To mention the few. Nyie hamkumuibia raila kura zake last election. Ati Life in Tz is so friggin hard, the audacity u have, food is cheaper here, no lockdown no Corona, life is simpler here, uliza wakunya wenzako waliojibana huku. Stupid

Ina maana imeshindikana kwako wewe kujadili hoja humu bila ya matusi.
 
Tatizo kubwa ni kufanya ubunge kama ajira. Lissu au Lema nje ya ubunge, mkono hauendi kinywani. Hii ndiyo njia ya kupata pesa za kujikimu

hiyo janja inalipa, nasikia ukiwa mkimbizi wa kisiasa, basi hata watoto wanasomeshwa, pia posho yake si haba. Kama expatriate fulani hivi.
😛 😛😛
 
Mwandishi hata sio Mkenya, tunasema hivi wanaanza viongozi na sisi wafuasi wao tunakuja k254 Mara moja
Wali wahimiza wananchi tuandamane tukagoma sasa naona wao wameanza kuandamana huko Kenya, hawana jpya ni kuichafua nchi baada ya kitumbua kuingia muchanga
 
Mimi nitoe huyo sio rais wangu maana sikumchagua,siwezi chagua dikteta uchwara mimi.Waacheni waishi huko kwani wakiishi kuna nini maana sheria za kimataifa zinaruhusu watu kuomba hifadhi ya ukimbizi
 
Wali wahimiza wananchi tuandamane tukagoma sasa naona wao wameanza kuandamana huko Kenya, hawana jpya ni kuichafua nchi baada ya kitumbua kuingia muchanga
kwani kenya ndio kuna kitumbua chao hadi wakimbilie? mbona hao sio wa kwanza wako akina Roma na yule mwandishi wa habari hao nao wamefuata.
Kwa akili zako unaweza kimbia mali zako na kila kitu kwa kujiskia au?
 
Ukumbuke 1980 waliotaka kupindua Moi.Tanzania walifanya. Kwa wale marubani na fundi ndege. Na mpaka ukafunguliwa. Na Kenya kuna mapigano kila mara ya kisiasa
 
CHADEMA SANAA GROUP. Hizi sinema za Chadema waandike upya stori. Hivi nani amtishie maisha Nyalandu.
Si ndo apo nyarandu & lema kwa maajabu gani waliokuwa nayo hadi watake kuuliwa, washenzi sana hao
 
Back
Top Bottom