Wapishi mnatukera muda mwingine mnajaza viungo mpaka chakula kinakosa ladha

Mawele

Platinum Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
1,161
Reaction score
4,251
Wapishiii nawaita mara 3, kweli jiko sanaa ila mnazidisha bwana, unakuta mtu kajaza maviungo mpaka hujui unakula viungo au chakula maana ladha halisi ya chakula inapotea na kama una tumbo tia maji kidogo basi unaanza kukimbiza mwenge.

Kuweni wabunifu ila msiwe waharibifu, kama hujui matumizi ya viungo uliza mpishi jamani, na jua kinawekwa wakati gani na kwa kipimo gani, siyo unajaza maviungo unashindwa kujua unakula nyama au uzile loh.

Yangu ni hayo tu kwa leo,

Wakuu mnaokinaje chakula kinachowekwa viungo vingi?
 
Wewe kama mimi
Mimi sio muumini wa vyakula ambavyo havina uhalisia.
Unakuta Nyama ya ng'ombe imepigwa viungo mpaka unajiuliza hiki niiniii😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

Ndio maana ukienda Bush unakuta ulaji wako wa mjini na kijijini unakuwa tofauti. Bush vyakula vingi vinapikwa natural!! Uhalisia unakuwepo!!
 
Nadhani watu tuliokulia kanda zote za Tanganyika isipokuwa pwani na visiwani hatujazoea viungo.

Mtu beef, pork au chicken anaweka viungo hadi inakuwa ni nyama nyingine kabisa 😭

Niliona dagaa wanapikwa huko mjini instagram hadi nikajiuliza dagaa wana shida gani hadi uwaweke viungo vya unga unga karibu vinne?
 
Wapishiii nawaita mara 3, kweli jiko sanaa ila mnazidisha bwana, unakuta mtu kajaza maviungo mpaka hujui unakula viungo au chakula maana ladha halisi ya chakula inapotea na kama una tumbo tia maji kidogo basi unaanza kukimbiza mwenge.

Kuweni wabunifu ila msiwe waharibifu, kama hujui matumizi ya viungo uliza mpishi jamani, na jua kinawekwa wakati gani na kwa kipimo gani, siyo unajaza maviungo unashindwa kujua unakula nyama au uzile loh.

Yangu ni hayo tu kwa leo,

Wakuu mnaokinaje chakula kinachowekwa viungo vingi?
karibu biriani mkuu hapa the dreamz
 
Ukute pilipili ya Mnigeria, Muhindi au Mpakistani 😂😂😂
 
Vyakula vya viungi vingi naona asili yake ni asia. Haswa jamii ya wahindi, huku sisi tunaiga tu, ila ni inapendezesha chakula ikiwa tu inawekwa kwa wastani
 
Chakula bila viungo Mimi ni sawa na kuniibia pesa yangu, tena ntakuwa mkali Sana na kama ni nyumbani mke hatolala vizuri maana siwezi Kula kama mhandzabe Mimi.
 
Wapishiii nawaita mara 3, kweli jiko sanaa ila mnazidisha bwana, unakuta mtu kajaza maviungo mpaka hujui unakula viungo au chakula maana ladha halisi ya chakula inapotea na kama una tumbo tia maji kidogo basi unaanza kukimbiza mwenge.

Kuweni wabunifu ila msiwe waharibifu, kama hujui matumizi ya viungo uliza mpishi jamani, na jua kinawekwa wakati gani na kwa kipimo gani, siyo unajaza maviungo unashindwa kujua unakula nyama au uzile loh.

Yangu ni hayo tu kwa leo,

Wakuu mnaokinaje chakula kinachowekwa viungo vingi?
Tatizo la chakula kila mtu ana akupendacho,wewe hupendi viungo wengine wanapenda
 
Back
Top Bottom