Andromeda Galaxy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 9,846
- 16,713
Chakula ni viungo, ila kila kitu kwa kiasi
hiyo ngoma huwa naifananisha na value😁😁 yaani ukinywa inakuvunja vunja balaa, ila ninachoipendea inaleta hamu ya kula msosi.Nimekula captain Morgan bwashee nyagi nitachafua utamu😁
Na ulevi wake una kua kama unaelea angani acha kwa sasa nijikite humu bwasheehiyo ngoma huwa naifananisha na value😁😁 yaani ukinywa inakuvunja vunja balaa, ila ninachoipendea inaleta hamu ya kula msosi.
Hahahaha sawa bwana si tunakupata sana mteja wetu lakini ni tatizotu la kiufundi tunaahidi kujitahidi 😗😗😗Wapishiii nawaita mara 3, kweli jiko sanaa ila mnazidisha bwana, unakuta mtu kajaza maviungo mpaka hujui unakula viungo au chakula maana ladha halisi ya chakula inapotea na kama una tumbo tia maji kidogo basi unaanza kukimbiza mwenge.
Kuweni wabunifu ila msiwe waharibifu, kama hujui matumizi ya viungo uliza mpishi jamani, na jua kinawekwa wakati gani na kwa kipimo gani, siyo unajaza maviungo unashindwa kujua unakula nyama au uzile loh.
Yangu ni hayo tu kwa leo,
Wakuu mnaokinaje chakula kinachowekwa viungo vingi?