Mi huwa nakereka sana hayo viungo wanayatujaziaNadhani watu tuliokulia kanda zote za Tanganyika isipokuwa pwani na visiwani hatujazoea viungo.
Mtu beef, pork au chicken anaweka viungo hadi inakuwa ni nyama nyingine kabisa 😭
Walahi!Mi huwa nakereka sana hayo viungo wanayatujazia
KabisaWalahi!
karibu biriani mkuu hapa the dreamzWapishiii nawaita mara 3, kweli jiko sanaa ila mnazidisha bwana, unakuta mtu kajaza maviungo mpaka hujui unakula viungo au chakula maana ladha halisi ya chakula inapotea na kama una tumbo tia maji kidogo basi unaanza kukimbiza mwenge.
Kuweni wabunifu ila msiwe waharibifu, kama hujui matumizi ya viungo uliza mpishi jamani, na jua kinawekwa wakati gani na kwa kipimo gani, siyo unajaza maviungo unashindwa kujua unakula nyama au uzile loh.
Yangu ni hayo tu kwa leo,
Wakuu mnaokinaje chakula kinachowekwa viungo vingi?
Ukute pilipili ya Mnigeria, Muhindi au Mpakistani 😂😂😂Wapishiii nawaita mara 3, kweli jiko sanaa ila mnazidisha bwana, unakuta mtu kajaza maviungo mpaka hujui unakula viungo au chakula maana ladha halisi ya chakula inapotea na kama una tumbo tia maji kidogo basi unaanza kukimbiza mwenge.
Kuweni wabunifu ila msiwe waharibifu, kama hujui matumizi ya viungo uliza mpishi jamani, na jua kinawekwa wakati gani na kwa kipimo gani, siyo unajaza maviungo unashindwa kujua unakula nyama au uzile loh.
Yangu ni hayo tu kwa leo,
Wakuu mnaokinaje chakula kinachowekwa viungo vingi?
Biriani ni overrated hakuna kitu mule🚮karibu biriani mkuu hapa the dreamz
Tatizo la chakula kila mtu ana akupendacho,wewe hupendi viungo wengine wanapendaWapishiii nawaita mara 3, kweli jiko sanaa ila mnazidisha bwana, unakuta mtu kajaza maviungo mpaka hujui unakula viungo au chakula maana ladha halisi ya chakula inapotea na kama una tumbo tia maji kidogo basi unaanza kukimbiza mwenge.
Kuweni wabunifu ila msiwe waharibifu, kama hujui matumizi ya viungo uliza mpishi jamani, na jua kinawekwa wakati gani na kwa kipimo gani, siyo unajaza maviungo unashindwa kujua unakula nyama au uzile loh.
Yangu ni hayo tu kwa leo,
Wakuu mnaokinaje chakula kinachowekwa viungo vingi?
karibu nyagi mkuuBiriani ni overrated hakuna kitu mule🚮
Nimekula captain Morgan bwashee nyagi nitachafua utamu😁karibu nyagi mkuu