Wapishi mnatukera muda mwingine mnajaza viungo mpaka chakula kinakosa ladha

Mimi natokea kinda ya ziwa kiukweli mapishi ya migahawani Dar es salaam yananishinda kabisa!

Unakula nyama au samaki ladha utafikiri unakula kitu kingine kabisa.
 
Hahahaha sawa bwana si tunakupata sana mteja wetu lakini ni tatizotu la kiufundi tunaahidi kujitahidi πŸ˜—πŸ˜—πŸ˜—
 
Ni kweli niliona dagaa wanawekwa binzari nyembamba nikasema nijaribu nilikula kwa tabu nikagundua umaskin unatufanya tunaremba hadi dagaa πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…