Wapo watu wanne ndani ya nchi hii wakikuambia jambo nenda katafute ukweli kwingine kabla ya kulichukua kama lilivyo!

Wapo watu wanne ndani ya nchi hii wakikuambia jambo nenda katafute ukweli kwingine kabla ya kulichukua kama lilivyo!

Kwa mawazo yako we unafikiri vyuo vikuu vya tanzania kwa mwaka vinazalisha wahitimu wangap? Ukipata jibu zidisha mara miaka 5, ajira kweli zinaweza kuwa zimezalishwa lakin ujue pia wahitimu wanaozalishwa ni wengi, un employment rate kwa TZ bado ni ndogo na watu wengi wapo kwenye informal sector


Unemployment By Country 2020
Labda nikupe mchanganuo wa hiyo milioni sita na zaidi ipo hivi, yaani ni sawa utoe ajira kwa wakazi wote wa mikoa ya kanda ya ziwa yote wawe na ajira. Au uajiri wakazi wote wa mkoa wa Dar es Salaam na Arusha na Kilimanjaro wawe na ajira sasa hapo unategemea saivi kungekuwa na malalamiko ya ajira kwa vijana?
 
Hoja nzito hizi...
Ndani ya hii nchi kuna watu wanne ambao wakikwambia jambo basi usilichukue kabla ya kutafuta ukweli wake kwingine.

Watu hao ni
1. Dkt. John Pombe Magufuli.
2. Prof. Palamagamba Kabudi
3. Prof. Joyce Ndalichako
4. Paul Makonda
20200628_050156.jpeg
 
Ndani ya hii nchi kuna watu wanne ambao wakikwambia jambo basi usilichukue kabla ya kutafuta ukweli wake kwingine.

Watu hao ni
1. Dkt. John Pombe Magufuli.
2. Prof. Palamagamba Kabudi
3. Prof. Joyce Ndalichako
4. Paul Makonda
Masahihisho: FISIEMU WOTE HAWANA KAULI ZA KWELI... HAWAAMINIKI WALA HAWAJIAMINI!!
 
Kati ya watu ambao hata kutaja jina lao naona ni kufuru basi ni no 4
Ndani ya hii nchi kuna watu wanne ambao wakikwambia jambo basi usilichukue kabla ya kutafuta ukweli wake kwingine.

Watu hao ni
1. Dkt. John Pombe Magufuli.
2. Prof. Palamagamba Kabudi
3. Prof. Joyce Ndalichako
4. Paul Makonda
 
Kiongozi wa wanyonge
Huyo namba moja ni balaa sana juzi kasema tangu aingie madarakani kazalisha ajira milioni sita na zaidi.

Ajira milioni sita kwa tz hii saivi kusingekuwepo na vijana wanalialia huku Mtandaoni kutafuta ajira.
 
Ndani ya hii nchi kuna watu wanne ambao wakikwambia jambo basi usilichukue kabla ya kutafuta ukweli wake kwingine.

Watu hao ni
1. Dkt. John Pombe Magufuli.
2. Prof. Palamagamba Kabudi
3. Prof. Joyce Ndalichako
4. Paul Makonda
Mambosasa
 
Ndege zipo, flyover zinajengwa, masoko mapya na ya kisasa yanajengwa.

Dodoma imeng'ara ujenzi mkubwa wa majengo ya serikali unafanyika.

Wazembe serikalini na wezi wanashughulikiwa wanapobainika.

Kila mkoa kuna ujenzi mkubwa wa maendeleo ya kijamii hakika analosema no
1, LINAAMINIKA mengine ni ubinadamu.

Hakuna mkamilifu ndo maana hata humu watu wameficha UTAMBUZI WAO.
 
If you cant be trusted in small things, forget about being trusted on big things.
Mama yako aliishakuacha ukilia kipindi bado mdogo na kukwambia narudi sasa hivi mwanangu,kisha siku nzima ikapita ukalala hujamuona mpaka kunakucha unamuuliza mama umerudi saa ngapi??

Uliacha kumwamini hata ukubwani??
 
Kwa mapigo haya ; WANAAMINIKA SANA.

1- MRADI WA UMEME
2 - SGR
3- DODOMA

mengineyo mbwembwe tu!
 
Namba moja aisee ni fix sana anasema viwanda zaidi ya elfu 8 vimejengwa! Halafu anadai hiyo kazi anayofanya ni ngumu lakini anakimbilia kuchukua fomu tena
 
Yule wanasema eti wazungu waliona ni kipanga sana wakamrusha kutoka first degree hadi Phd bila kupitia Mastaz
Sema mama Ndalichako msanii sana atanavopepetaga mdomo wake unajua kabisa huu ni uongo
 
Back
Top Bottom