Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda nikupe mchanganuo wa hiyo milioni sita na zaidi ipo hivi, yaani ni sawa utoe ajira kwa wakazi wote wa mikoa ya kanda ya ziwa yote wawe na ajira. Au uajiri wakazi wote wa mkoa wa Dar es Salaam na Arusha na Kilimanjaro wawe na ajira sasa hapo unategemea saivi kungekuwa na malalamiko ya ajira kwa vijana?Kwa mawazo yako we unafikiri vyuo vikuu vya tanzania kwa mwaka vinazalisha wahitimu wangap? Ukipata jibu zidisha mara miaka 5, ajira kweli zinaweza kuwa zimezalishwa lakin ujue pia wahitimu wanaozalishwa ni wengi, un employment rate kwa TZ bado ni ndogo na watu wengi wapo kwenye informal sector
Unemployment By Country 2020
Tulia sindano ikuingie vizuri kabisa.Ongezea na DJ muangushwa konyagi
Ndani ya hii nchi kuna watu wanne ambao wakikwambia jambo basi usilichukue kabla ya kutafuta ukweli wake kwingine.
Watu hao ni
1. Dkt. John Pombe Magufuli.
2. Prof. Palamagamba Kabudi
3. Prof. Joyce Ndalichako
4. Paul Makonda
Masahihisho: FISIEMU WOTE HAWANA KAULI ZA KWELI... HAWAAMINIKI WALA HAWAJIAMINI!!Ndani ya hii nchi kuna watu wanne ambao wakikwambia jambo basi usilichukue kabla ya kutafuta ukweli wake kwingine.
Watu hao ni
1. Dkt. John Pombe Magufuli.
2. Prof. Palamagamba Kabudi
3. Prof. Joyce Ndalichako
4. Paul Makonda
Mtoa mada ni huyo jamaa wa pembeni ya Mr DJView attachment 1493955
Umenikumbusha siku ile anampiga mkwara mchina, huo ung'eng'e sasa.Sema mama Ndalichako msanii sana atanavopepetaga mdomo wake unajua kabisa huu ni uongo
Ndani ya hii nchi kuna watu wanne ambao wakikwambia jambo basi usilichukue kabla ya kutafuta ukweli wake kwingine.
Watu hao ni
1. Dkt. John Pombe Magufuli.
2. Prof. Palamagamba Kabudi
3. Prof. Joyce Ndalichako
4. Paul Makonda
Hususani huyo no 1 ndiyo anaongoza kwa kupiga "fix" hapa nchini kwa kipindi hiki
Huyo namba moja ni balaa sana juzi kasema tangu aingie madarakani kazalisha ajira milioni sita na zaidi.
Ajira milioni sita kwa tz hii saivi kusingekuwepo na vijana wanalialia huku Mtandaoni kutafuta ajira.
MambosasaNdani ya hii nchi kuna watu wanne ambao wakikwambia jambo basi usilichukue kabla ya kutafuta ukweli wake kwingine.
Watu hao ni
1. Dkt. John Pombe Magufuli.
2. Prof. Palamagamba Kabudi
3. Prof. Joyce Ndalichako
4. Paul Makonda
Mama yako aliishakuacha ukilia kipindi bado mdogo na kukwambia narudi sasa hivi mwanangu,kisha siku nzima ikapita ukalala hujamuona mpaka kunakucha unamuuliza mama umerudi saa ngapi??If you cant be trusted in small things, forget about being trusted on big things.
Kweli kabisa hata aki-quote Bibke wapo tutakaofuatilia kama ni kweli, kwani hukumbuki aliposema Daniel alitupwa kwenye tanuru la moto wakati siyo kweli, waliotupwa kwenye tanuru la moto ni Shedrak, Meshak na Abednego.
Sema mama Ndalichako msanii sana atanavopepetaga mdomo wake unajua kabisa huu ni uongo
Mi mbowe akinimbia za Asubuhi ama za jioni lazima niangalie saaa[emoji23][emoji23]