Waraka: Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC) latoa tahadhari kuhusu ugonjwa wa Corona nchini

Waraka: Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC) latoa tahadhari kuhusu ugonjwa wa Corona nchini

ONDOA MASHAKA YAKO NI MAELEKEZO TOKA VATCAN HANA NAMNA.

Halafu mnataka muambiwe CORONA IPO ili iweje au mmeambiwa dawa imepatikana. AU kuna pesa utapata.

SASA KAMA TZ KUNA CORONA MBONA MAKABURI MAPYA YALIYOPO KWA WINGI HATUYAONI .
 
10126120311.jpg
 
Hakuna serikali inachoweza fanya zaidi ya kutuhimiza kunawa,vaa barakoa,Epuka misongamano etc...
Muhimu serikali itahadharishe wananchi kuwa hali si shwari ili watu warejee kwenye zile jitihada za mwaka jana huku tukiomba Mungu. Serikali inapokuwa kimya na kuaminisha watu kuwa kila kitu kiko sawa tatizo ndio linaanzia hapo.
 
Kanisa lisipokanusha hii habari ndani ya saa 72 basi nipigeni ban! Naamini watakanusha sio kwa sababu hawajaandika au hawaamini suala la uwepo wa corona bali watakanusha kwa sababu kutoa taarifa kama hii ni kuipigana vita vya kiuchumi dhidi ya taifa letu huku kanisa likiwa upande wa mabeberu.
 
Back
Top Bottom