Waraka kwa Rais Samia kuhusu vilio vyetu sisi Wahandisi tulioajiriwa kama Walimu

hadi tukasomee post graduate
Hii ndio point. Sheria ipo hivyo, mnajisumbua tu., soneni miezi 9 PGD, Mbona mna akili.
Kuna watu wamesoma BSC phy maths,bio,bila ualimu wanaozea mtaani, shukuruni nyie mmepata ajira.
Kwa andiko lako hili bado kuna mambo/sheria za kiutumishi inabidi uzisome.
Kumbuka utumishi kazi yao kukuita na kukuajiri baada ya hapo TSC ndio anakuwa bosi wako mpya. Imetokea mara nyingi sana utumishi /tamisemi wanamuajiri mwalimu halafu TSC wanamkataa kata kata.
Ndugu kuna mkanganyiko mkubwa sana ktk sekta ya utumishi ya TZ wizara ya elimu vs tamisemi, hawana maelewano kabisa hawa watu, hata utekelezaji wa sera wanakanganyana tu.
 
Ila mlikimbia ualimu mkaona haulipi sasa mmerudi kwa mlango wa nyuma.
Mlisoma kwa mihemko bila kuwa na vision. Kitendo cha engineer kurudi kwenye chaki maana yake mmefeli dream zenu.
Sasa nyie mainjinia mmeshindwa kujiajiri na digrii zenu, je hao watoto wa veta watajiajiri kweli?
Acheni kulia lia, anzisheni side husle, warabu,wachaga hawana hiso dugrii zenu ila wana workshop kubwa, nyie mnaujuzi mnalialia.
Nchi hii mtalalamika sana, hata wakiwaongezea hayo madaraja maisha bado ni magumu. Bungueni bongo.
 
Mkuu shukrani sna Kwa mawazo yako yakinifu, na tumeyapokea, binafsi nimekuelewa sna

Kuhusu iyo point no: 6, tulimuandikia barua katibu Mkuu utumishi wa umma kuhusu hili swala na majibu yake ni kuwa hili swala lenu lipo chini ya Mkurugenzi, Yeye ndiye anayehusika na kuthibitishwa kwenu.

Point no: 08, Yes Kwa baadhi ya barua tumezipeleka Kwa dispatch, mfano iliyoenda Kwa Katibu Mkuu Tamisemi na nakala kupekwa Kwa RAS na DED.

 
Shukrani Mkuu tunaufanyia kazi
Kila la kheri Mkuu, Halmashauri nyingi hazina Wahandisi hasa baada ya wengi kuhamia Tarura na Ruwasa baada ya Kuanzishwa kwake hizo taasisi, kwahiyo recategolization ingefanyika nyie wote mngehamia Idara za Ujenzi za Halmashauri iwapo mna Bachelor degree za Civil Engineering
 
Mkuu unamawazo bora sna na chanya Mungu akubariki sna

Tunaomba sna hii serikalini itusikie na kutusaidia,

Kwa asilimia kubwa Sisi wahandisi tulioajiriwa kama walimu, ndilo tunalotamani serikali yetu itufanyie

Natumai tutasikiwa na kutatuliwa hii changamoto yetu
 

Mbona yuko sahihi

1. Diploma ya engineering ndio unaanza na TGS C
2. Kama umepeleka bachelor ya engineering then DHRO anasema "Ulete education" means kwasasa han uhitaji wa engeers.

Nakushuri hama halmashauri uende kwenye halmashauri zenye uhitaji halafu huko ndio ufanyiwe recategorization.

#YNWA
 
Tulipata bahati iyo ya kuajiriwa Mkuu wakati anamalizia kipindi cha kwanza na kwenda kipindi chake cha pili
Nyie hiyo 2020 mliajiriwaje ilhali tunaambiwa serikali haikuwahi kuajiri kipindi cha miaka sita toka 2016?
 
Mkuu point yako no:1, viwango vya walimu vya mshahara Kwa maana ya scale ni tofauti na scale ya wahandisi,

Mfano mwalimu wa science anaanza na scale TGTS D na mhandisi anaanza na TGS E,

Kwaiyo scale ya mwalimu wa Diploma sio sawa na Scale ya mhandisi mwenye Diploma,

Hivyo mwandisi (Mwenye Diploma) analipwa scale ya mwalimu wa Diploma ya science, hiki kitu sio sawa pia sio haki

Point ya 2: kama DHRO alikubali Diploma ya Engineering, Akafundishe shule ya ufundi anashindwa nini kumu upgrade mtu Kwa cheti chake cha Bachelor Degree in Engineering, ingawa anaendelea kufundisha shule? Na analipwa mshahara sawa mwalimu wa science?

Point 3: Watu tunatamani sna kuhama Ila changamoto Wakurugenzi wamekuwa hawapitishi barua za kuhama kwenda halmashauri zingine zenye uhitaji wa wahandisi
 
Mwenye TGTS C3 atapanda daraja baada ya miaka mingapi ili awe tgts DI na mwenye TGTS C1 atapanda daraja baada ya miaka mingapi awe tgts D I Naomba maelekezo, pole Kwa changamoto nitaifanyia kazi
 
Shukrani Mkuu

TGTS (C1,C2 na C3) ni daraja moja
Kwa scale za kiualimu

The same kama D, kuna D1, D2 na D3.

Utofauti mfano mwalimu wa Diploma ya masomo ya arts ataanza na C1, na Mwalimu wa Diploma ya masomo ya sayansi ataanza na C3.

Ila kuna utofauti mdogo wa mshahara kati ya C1 na C3.

Mfano mwingine mwalimu wa Degree ya arts kabla ya nyongeza ya Mama alikua anapata D1 =716K na wa science alikua anapata D3 = 750K .


Kwenye inshu ya kupanda madaraja wote watapanda baada ya miaka 4 kwenda wa 5, (daraja Lao la Kwanza kupanda)

Natumai utalifanyia kazi kama ulivo ahidi

Uwe na wakati mwema Mkuu
Mwenye TGTS C3 atapanda daraja baada ya miaka mingapi ili awe tgts DI na mwenye TGTS C1 atapanda daraja baada ya miaka mingapi awe tgts D I Naomba maelekezo, pole Kwa changamoto nitaifanyia kazi
 
Sawa Mkuu nimekuelewa, inaweza kuonekana rahisi kwenda kusoma, Ila Mkuu ajira yetu ina complications nyingi ambazo tunaamini katibu Mkuu alikuwa anaweza kuziondoa

(Tunasubiri Tamko lake mwaka wa 2 huu)

Lakini imeshindikana tunaomba Burasa na hekima za Mkuu wa nchi mama yetu Dr. Samia Suluhu Hassan.
Lakini soma tu hio postgraduate mambo yakuendee ukikaza fuvu/kukaidi maboss utapata shida sana

Kubali tu usome yaishe mkuu
 
Duuuh bora kuacha hiyo kazi,.

Mfano mie miaka hii 4, afu baadae niende Education miaka 3.

Sasa si bora ningeenda zangu BSc ED 3yrs. Lol.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…