Waraka kwa Rais Samia kuhusu vilio vyetu sisi Wahandisi tulioajiriwa kama Walimu

Kila la kheri Mkuu, Halmashauri nyingi hazina Wahandisi hasa baada ya wengi kuhamia Tarura na Ruwasa baada ya Kuanzishwa kwake hizo taasisi, kwahiyo recategolization ingefanyika nyie wote mngehamia Idara za Ujenzi za Halmashauri iwapo mna Bachelor degree za Civil Engineering
Changamoto sana, pressure za maisha kama mtu ana B.Eng Civil hakosi mahala kama anasubira. Nakumbuka nilipomaliza chuo wiki ya kwanza nilikuwa navi stress nikataka hadi niwe mwalimu na nilienda hadi fanya interview na B.Eng flani.. ila nilipo rudi gheto nikawazaaa.. nikafunga mkandaa ndio ikawa mwanzo wa hostory mpya. Vijana wengi wanatoka chuo na image flani zikipishana kidogo tu wanajikuta wanafanya chochote hasa ukiangalia wengi background zetu kipesa sio nzuri
 
Mie siendi ualimu hata iwejee, yaan 4,yrs afu nikashike chaki, sasa si ningesoma ualimu tyuuh. Aaaaaah
 
Kuna stress sana hasa sie wanaume ambao tulikuwa tunasomea vijiji ( ukoo mzima unakutegemea ). Unaona mwisho wa siku bora ufanye kazi yoyote usaidie home na wewe ujikwamue.. ila kama maisha safi una relax tu
 
Mkuu asante Kwa ushauri wako

Embu fikiria baadhi ya watu wameajiriwa na Diploma za Engineering lakini analipwa mshara wa TGTS C3,

Ana deni la bodi ya mikopo Kwa maana wakati anaajiriwa alikua final year ya Bachelor Degree in Engineering

Amejaribu kupeleka cheti cha Bachelor Degree in Engineering, Maafisa utumishi wanasema system haikubali hadi apeleke cheti cha ualimu Kwa maana bachelor degree in education (yaani akasome tena 3 years Kwa gharama zake)[emoji24]

ana familia, amepanga nje Kwa mshahara wa around 400K

Mkuu acha tu,
Kwanini asifanye re-categorization awe Mhandisi kamili. Anapenda kufundisha tu.
 
Kuna stress sana hasa sie wanaume ambao tulikuwa tunasomea vijiji ( ukoo mzima unakutegemea ). Unaona mwisho wa siku bora ufanye kazi yoyote usaidie home na wewe ujikwamue.. ila kama maisha safi una relax tu
By the way mie ualimu sio fani yangu kabisaa, duuh mbna hataree hii lol
 
Hata walio walimu wengi sio kitu wakipendacho ila hali za maisha wakaona wakimbilie huko.. hata ukandarasi pia wapo walio komaa nao kwa kuhisi kupata kazi haraka ila sio karama yao.. basi hapa bongo nyosoo
 
Mbna mnatutishaaa, tulikimbia ualimu, then turudi huko tena kwa mlango wa nyumaa, aaaaaaah
Unaweza kupitia Ualimu then ukishaajiriwa ukaomba ufanyiwe recategolization ukarudi kwenye Uhandisi wako.

Kama utakuwa umesoma Civil Engineering ni rahisi kufanikiwa kwakuwa Halmashauri nyingi hazina Wahandisi Ujenzi
 
Iyo re-categorization anakufanyia nani?

Jamani hawa DHRO hawafanyi chochote wanasubiri tamko kutoka Tamisemi,

Ingekuwa rahisi ivo sizani kama kuna mtu angebaki hata kwenda kufanya interview utumishi hawataki na hawapitishi barua yako,

Binafsi nimejaribu sna kuhama Idara, kuomba transfer au re- categorization, bila mafanikio,

Kuna jamaa mmoja alifanikiwa wa Shule moja nae Baba Ake ni mtu mkubwa Tamisemi,

Mkuu kama unajua jinsi ya kunipa connection ya kuchomoka naomba sna.
Kwanini asifanye re-categorization awe Mhandisi kamili. Anapenda kufundisha tu.
 
Changamoto sana, pressure za maisha kama mtu ana B.Eng Civil hakosi mahala kama anasubira. Nakumbuka nilipomaliza chuo wiki ya kwanza nilikuwa navi stress nikataka hadi niwe mwalimu na nilienda hadi fanya interview na B.Eng flani.. ila nilipo rudi gheto nikawazaaa.. nikafunga mkandaa ndio ikawa mwanzo wa hostory mpya. Vijana wengi wanatoka chuo na image flani zikipishana kidogo tu wanajikuta wanafanya chochote hasa ukiangalia wengi background zetu kipesa sio nzuri
Ulichosema ni sahihi, wengi tukiwa Chuo tunakuwa na perception kubwa za mafanikio hasa tukiwa tunadanganyika na Neno Engineer.

Ukija kitaa ndiyo unakutana na uhalisia wake. Mimi kuna mahali nilipata tempo kwa Wahindi, washenzi wale wakawa wananilipa laki 1 kwa wiki wakati huo nasimamia Ujenzi wa Magati Bandarini.
 
Kwa mwezi kama laki nne , dah! Changamoto sana. Tunasafari ndefu kuwa sela nzuri ya ajira
 
Iyo re-categorization anakufanyia nani?

Jamani hawa DHRO hawafanyi chochote wanasubiri tamko kutoka Tamisemi,

Ingekuwa rahisi ivo sizani kama kuna mtu angebaki hata kwenda kufanya interview utumishi hawataki na hawapitishi barua yako,

Binafsi nimejaribu sna kuhama Idara, kuomba transfer au re- categorization, bila mafanikio,

Kuna jamaa mmoja alifanikiwa wa Shule moja nae Baba Ake ni mtu mkubwa Tamisemi,

Mkuu kama unajua jinsi ya kunipa connection ya kuchomoka naomba sna.
Onga vizuri na Afisa Utumishi. Honga hiyo ndio Tanzania.

Ukisikia muda umefika wa watu kupandishwa madaraja na wewe nenda ubadilishiwe Muundo, kutoka kwenye ualimu kwenda kwenye Uhandisi.

Mara nyingi suala la KUSUBIRIA tamko TAMISEMI huwa ni budget ila ikiruhusiwa kupandisha madaraja tayari ni tamko Hilo.
 
sasa mwamba shida ipo wapi, finya postgraduate hata open universty then peleka vyeti ili uthibitishwe , mimi nilisoma law nikapiga postgraduate in education nachapa kipindi hapo shule, nikiendelea na michongo mingine , tatizo la ajira ni kubwa nchi hii shikilia hapo kwanza badae utajiongeza
Kwanini uli opt post graduate ya education badala ya ile ya law school Mkuu?.
 
Kwaiyo Mkuu unaruhusu watu kuumia Kwa sababu ya kuwa na Perception kubwa?

Je kudai haki unayoamini ni yako ni vibaya?

Kwaiyo tuendelee kuwa hivi hivi? Bila kueleza linalotusibu?

Ni kweli mtaani ni pagumu lakini nafikiri isiwe excuse ya kuhalalisha ukandamizaji.
Ulichosema ni sahihi, wengi tukiwa Chuo tunakuwa na perception kubwa za mafanikio hasa tukiwa tunadanganyika na Neno Engineer.

Ukija kitaa ndiyo unakutana na uhalisia wake. Mimi kuna mahali nilipata tempo kwa Wahindi, washenzi wale wakawa wananilipa laki 1 kwa wiki wakati huo nasimamia Ujenzi wa Magati Bandarini.
 
Hata sijajua leseni ya kufundishia unaipataje?

Naomba Tips Mkuu
Mkuu kama hauna leseni ya kufundisha nadhani uitafute then uambatanishe kabla ya kuanza iyo post graduate. Usije kupita njia ndeeefu kwa kutokujua
 
Back
Top Bottom