WARAKA: Maaskofu Katoliki waonya uminywaji wa demokrasia na uhuru wa vyombo vya habari nchini

Waraka umejibiwa vikali kwa tukio la kupigwa risasi Akwilina Akwilini
 
Aliuawa Mwangosi, mkakaa kimya ?

Kapotea Saanane, mko kimya ?

Azory ?

Watu wanaokotwa kwenye viroba Daily COCO BEACH mko kimya ?

Daudi wa Hanananif,

Aquiline kauawa kikatili

Hivi Tanzania tuna viongozi wa dini kweli aina ya YOHANA MBATIZAJI aliyemkemea HEROD waziwazi baada ya HEROD ( MFALME ) kuchukua mke wa nduguye ?

Tatizo ni nini kwa viongozi wa dini, HATUNA VIONGOZI WA DINI, NJAA, KUJIPENDEKEZA KULIKOPITILIZA, UOGA au nini ?
 
WAANZE NA WEWE MNAFIKI MKUBWA!
MNAUANA WENYEWE KWA MAKAFARA KWA AJILI YA RUZUKU ALAFU UNATUSUMBUA KWA VISENTI UNAVYOLIPA ILI UONEKANE UMEANZISHA UZI. BLADIFUL, MPUMBAVU WEWE NENDA KATAFUTE KAZI UZEE UNAKUJA PAMBAF
 
WAANZE NA WEWE MNAFIKI MKUBWA!
MNAUANA WENYEWE KWA MAKAFARA KWA AJILI YA RUZUKU ALAFU UNATUSUMBUA KWA VISENTI UNAVYOLIPA ILI UONEKANE UMEANZISHA UZI. BLADIFUL, MPUMBAVU WEWE NENDA KATAFUTE KAZI UZEE UNAKUJA PAMBAF
Ni laana au nini ??
- Maana kumwaga DAMU ya mtu asiye na HATIA ni LAANA !
 
swali lako la hadi wangapi wauawe lmenikumbusha civil war ya Liberia Foday Sankoh akaibatiza ile vita jina la Operation No Living Thing.

Wakati vita inaendelea kuna jamaa alikua anachukua video, anaitwa Sorious Samura documentary ikaitwa Cry Freetown. Kuna jamaa akiwa anahojiwa akasema..

"Ameanzisha vita ili atawale milele mara ghafla anaanzisha operation ya kuua kila mtu sasa atamuongoza nani?"
 
Yanayotokea Tanzania yanaogofya kwa kweli
 
Wamebaki kukusanya sadaka tuu, kwa kifupi hamna viongozi wa dini, viongozi wa michango, michango, michango
 
KWANZA NIKUPE LIKE
nimeshukuru kwasababu umekuja katika mlengo kwamba umesoma Ujumbe na unaweza kuuelewa. Jambo jingine ni kwamba unaelewa mazingira ambayo taifa linapitia. Je, Katika yote hayo na yanayoendelea kutokea, mababa hawa wa imani waendelee kukaa kimya? Au nao wataulizwa swali "Yupo wapi ndugu yako?"
 
WAANZE NA WEWE MNAFIKI MKUBWA!
MNAUANA WENYEWE KWA MAKAFARA KWA AJILI YA RUZUKU ALAFU UNATUSUMBUA KWA VISENTI UNAVYOLIPA ILI UONEKANE UMEANZISHA UZI. BLADIFUL, MPUMBAVU WEWE NENDA KATAFUTE KAZI UZEE UNAKUJA PAMBAF
Uwe makini sana na maneno yako. Usijisahau ukazani Upo salama unaweza kupatikana ulipo.
Asante.
 
Hata nyumba za serikali ni gharama kubwa tu, watu wanapeana kama karanga, na wanadunda na nyie mnashangilia kama mazuzu. hata kujenga kiwanja cha ndege kikubwa kule Chato ni gharama kubwa sana, tena isiyo na sababu. EPA ilikuwa fedha zilizochotwa kugharimia uchaguzi kwa ajili ya CCM. za ESCROW walizochota wakubwa wala hatujui kinachoendelea. hapo JPM wala hatii neno, atasema "hataki kufukua makaburi" hakuna nchi inayonyooshwa kwa matamko yasiyo na tija, ndiyo inazidi kupinda kwa ugumu wa maisha.

Hiyo gharama ya Demokrasia ni kama mtu amefariki labda. mnahonga watu na kuiba kura halafu mnamdanganya nani?
 
Naam, hilo swali na wao linawahusu haswa. ni msumeno unakata kuwili. Lakini wao wametimiza wajibu wao bila kupepesa macho. wametutengenezea mazingira ya kujadili hayo mambo kwa uwazi na kwa upana. tujimwage tutoe maoni yetu bila woga.
 
ahahahhaa toa povu likuishe kabisa mkuu. lisipoisha utapata shinikizo la moyo......
 
Dhalimu DU kwanini hataki kuwajibu Maaskofu wa Kikatoliki kuhusu huu Waraka wao wa kuinusuru nchi kuingia kwenye machafuko makubwa!?
 
Karibu mwezi sasa bado dhalimu DU kadharau huu waraka wa Baraza la Maaskofu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…