Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pengo!Mimi: Tamko hilo sio msimamo wa kanisa katoliki.
Mmenijua?
Punguza ukali, Mkuu waache wawe huru kutoa maoni yaoKwa hiyo Baraza la Maaskofu limegeuka kuwa msimamizi wa mambo ya siasa? Kanisa limewashinda, week iliyopita tumeona wanamzika Kingunge lakini kwa walala hoi angezikwa kama hana thamani. Leo hii wanatoa wapi moral authority ya kujidai wanajali usawa?
Baraza la Maaskofu siyo wasimamizi wa mambo ya siasa, wao kama "wachungaji" wanao wajibu mkubwa sana katika jamii.Kwa hiyo Baraza la Maaskofu limegeuka kuwa msimamizi wa mambo ya siasa? Kanisa limewashinda, week iliyopita tumeona wanamzika Kingunge lakini kwa walala hoi angezikwa kama hana thamani. Leo hii wanatoa wapi moral authority ya kujidai wanajali usawa?
Nani anajua wangekwenda mahakamani ingeishia vipi? Na je mahakama zetu (Tanzania ndo za mwisho?). Tuzijaribu tuone matokeo. Hata Padre Mtikila aliwahi kushinda.Hivi hujasoma huu waraka?
Sasa waende mahakaman kufanya nn?wakat mahakama yenyewe inaingiliwa na muhimili uliojichimbia chini zaidi.!!!
Kwa hiyo unataka wanyamaze hata wanapo ona mambo hayaendi vizuri?Kwa hiyo Baraza la Maaskofu limegeuka kuwa msimamizi wa mambo ya siasa? Kanisa limewashinda, week iliyopita tumeona wanamzika Kingunge lakini kwa walala hoi angezikwa kama hana thamani. Leo hii wanatoa wapi moral authority ya kujidai wanajali usawa?
Who is Pengo...?? Teritory yake inaishia DSM pekeeKwani Pengo naye kasemaje
Usihangaike nao Askofu wa jimbo katoliki DSM amelitolea ufafanuzi suala la marehemu KingungeBaraza la Maaskofu siyo wasimamizi wa mambo ya siasa, wao kama "wachungaji" wanao wajibu mkubwa sana katika jamii. Huwa inashangaza kwamba Serikali huwa zinapenda kuyatumia makanisa kuendeleza ajenda zao. utakuta kiongozi anakwenda kanisani na analitumia kama platform ya kuendeleza ajenda yake. atatoa kauli, ataomba "aombewe". ataomba viongozi wa Kanisa wawaambie waamini wao mambo kadha wa kadha. Viongozi wa Serikali na wanasiasa wanatambua nguvu za viongozi wa dini. lakini hawataki viongozi hao hao waongee mambo ambayo hayapendezi kwa upande wa serikali au wanasiasa, hasa inapoonekana viongozi wa serikali wamekiuka kanuni ambazo wao wenyewe wameapa kuzilinda. Yesu Kristu alipambana sana na VIONGOZI WANAFIKI. Injili ya Mathayo sura ya 23 yote inaongelea Makaripio makali ya Yesu dhidi ya viongozi wanafiki.
Kuhusu mazishi ya Kingunge, nadhani ni vema ukiongea vitu ambavyo una uhakika navyo. Kingunge alianza mchakato wa toba, hivyo kwa kiwango fulani Kanisa limemheshimu japo hakupewa hadhi ya juu kabisa ambayo ni kuzikwa kwa Misa Takatifu ya Wafu, kwa sababu hakukamilisha mchakato wa Toba.
Wataanza kutozwa kodi shauri zao,au kuchunguzwa uraia wako.wangekuwa na ubavu huo si wangewatenga na kuwafukuza ushiriki wale wote wasababishi wa waliyoyaandika kwenye waraka wao.Katoliki ndio dola kuu duniani! Hakuna kibaraka mwenye uwezo wa kuwapima mkojo!
Usisahau na TRA wakahojiwe na kufanyiwa upekuzi mpaka kwenye nyumba zaoSozinje, tuma idara ya uhamiaji ichunguze uraia wa maaskofu wote Katoliki Tanzania. Hawa sio Watanzania. Wanaleta uchochezi kwa wanananchi na hawakukupigia kura mwaka 2015 kwenye uchaguzi uliokuweka madarakani. Chonde chonde baba jesca. ...( tehe tehe, akili za kuambiwa changanya na za kwako).