WARAKA: Maaskofu Katoliki waonya uminywaji wa demokrasia na uhuru wa vyombo vya habari nchini

WARAKA: Maaskofu Katoliki waonya uminywaji wa demokrasia na uhuru wa vyombo vya habari nchini

Huyo wa kuwavuruga ni nan ? Na ajaribu aone moto wake .
Endeleeni na wehu wenu, amani ya nchi hii haitawekwa rehan kwasababu ya wehu wachache, atakufa beki ama kipa lkn mambo yaende mende hawasumbui mwenye nyumba
 
Yakobo 2:12-14 Imani bila Matendo ni Imani mfu
 
Askofu Pen.go naye hakawii kuwasaliti maaskofu wenzake hivi;

"Waraka wa Maaskofu Katoliki,sio kauli ya waumini wa kanisa Katoliki...

'waumini wakatoliki wanataka,Umeme,Elimu na matibabu bora na salama hadi vijijini...

'mauaji ya Rwanda ya 1994 yalichochewa na kanis.a,vyama vya siasa na magazeti na hawa akina Mange Kimambi..'

'naiombea nchi yetu Amani,pia rais wetu mpendwa busara na hekima na Tuienzi Amani waliyotuachi waasisi wetu..' By Kadinali
 
Unapatikana katika Duka la vitabu la Paulines Books and Media Centre, au maarufu kama CATHEDRAL BOOKSHOP. Duka liko jirani na Kanisa Kuu la Mt. Yosefu

Hahahahah, huo ni waraka upo Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania
 
Kanisa limesema ngoja tuone maana tulikuwa tunaelekea kubaya sana.
 
Yeye ameshauri upinzani upitie njia ya mahakama kupinga huu udhalimu. Nafikiri mkakati huu ni wakutilia nguvu. Najua mwanzo walisema wangeenda mahakamani sijui iliishia wapi?

Hivi hujasoma huu waraka?
Sasa waende mahakaman kufanya nn?wakat mahakama yenyewe inaingiliwa na muhimili uliojichimbia chini zaidi.!!!
 
Kwa kawaida ukiona tu Walaka zimeanza kutoka ujue Kisu Kimegusa mfupa.
Kwa sasa hamna namna inabidi watulie tu Dawa iingie vizuri, mambo ya "NIBEBE NIBEBE" hayana nafasi Utawala huu.
 
Back
Top Bottom