WARAKA: Maaskofu Katoliki waonya uminywaji wa demokrasia na uhuru wa vyombo vya habari nchini

WARAKA: Maaskofu Katoliki waonya uminywaji wa demokrasia na uhuru wa vyombo vya habari nchini

Nahisi baba Jesica atafungua lupango kama ile ya Saudia walipowekwa ma princes wote ili maaskofu waweze kuwekwa hasa wakati huu wa kwaresima. Ajaribu aone nguvu ya Mungu. Baba bashite karibu anabadili dini na kujiunga na bashite first born wake pamoja na mke wake ingawa yule mama anaonewa kuingizwa kwenye siasa.
 
Kanisa Katoliki Tanzania limetoa waraka kwa ajili ya kuwaandaa waamini wake kwa ajili ya kipindi cha Toba, kinachoanza rasmi Jumatano ijayo tarehe 14 Februari 2018 [ambayo ndiyo siku ya wapendanao, Valentine. tusherehekee kwa Toba eeeh tafadhalini!]. Kipindi hicho hujulikana pia kama KWARESIMA, ambacho kinahitimishwa na JUMA KUU na kisha sikukuu ya PASAKA.

Kama una haraka sana, soma ukurasa wa 11 na 12 (kurasa orijino) au ukurasa wa 14 na 15 kwa kurasa za PDF. Naambatanisha waraka huo.
Karibu! Ni nondo Kali!
wamemuandikia nani?
 
hao baakwat
Ona wingi wao lakini hawana cha maana. MUM walipewa vijumba na Mkapa, yaani woooooooooooooooooooooooooooote wanashindwa kujenga kitu cha maana. Ila kila kona ya barabara kuna jumba lile linaitwaje.....
 
Ona wingi wao lakini hawana cha maana. MUM walipewa vijumba na Mkapa, yaani woooooooooooooooooooooooooooote wanashindwa kujenga kitu cha maana. Ila kila kona ya barabara kuna jumba lile linaitwaje.....
na wala hawanung,uniki kuachwa serikalini!
 
Sasa huu ni wa aina yake, maana haijawahi kutokea Baraza lenyewe likatoa tamko kali hivi. Huko nyuma matamko ya Kanisa yametolewa na kamati za Baraza, na siyo Baraza lenyewe. Na baadhi ya Maaskofu waliweza kutamka kutokubaliana. Hili ni tofauti. Hii ni rasmi kabisa ya Baraza zima na kama unavyoona kule mwisho Maaskofu wote wamejiorodhesha. siyo mchezo.
Yule wa Dsm hataukana?! Ninavyomjua lazima aseme ni msimamo binafsi na si wa kanisa!!
 
Back
Top Bottom