WARAKA: Maaskofu Katoliki waonya uminywaji wa demokrasia na uhuru wa vyombo vya habari nchini

WARAKA: Maaskofu Katoliki waonya uminywaji wa demokrasia na uhuru wa vyombo vya habari nchini

Kanisa ndio ma puppeteer wenyewe, hao ndio wenye hii nchi.
Behind the iron curtain the church runs this country.
Kwa hiyo Baraza la Maaskofu limegeuka kuwa msimamizi wa mambo ya siasa? Kanisa limewashinda, week iliyopita tumeona wanamzika Kingunge lakini kwa walala hoi angezikwa kama hana thamani. Leo hii wanatoa wapi moral authority ya kujidai wanajali usawa?
 
Kuna mambo mengi sana yanafanywa kwa uonevu nina mdogo wangu kila akija nyumbani kutoka kazini anasema mengi mpaka unamwonea imani kwanza kafutiwa daraja alilopanda kihalali kwa taratibu zao za kiualimu ukimwona kama anajuta tuuu mda wote
 
Ninachoipenda sana Roman Catholic hua sio wanafiki.Nahisi kuna siku nitahama protestant kuwafuata.Ingekua ni sisi mtu wetu yupo on power..... Nikiangalia na DRC Kabila ni MTU wao na wamemgeuka! but haki ndio msingi Mkuu wa hili dhehebu. Mungu awabariki sana. Nadhani Luther alibase kiroho zaidi ila kina Malasusa hawa wanapenda mno sifa nakumbuka alikuepo taifa km Askofu Mkuu kumuapisha huyu Sizonje.
Mkuu hili kanisa Lipo imara sana, utakumbuka kuwa miaka kadhaa iliyopita wimbi kubwa la watu walilihama kanisa na kukimbilia kwny makanisa yanayoitwa ya 'kilokole'.

Kanisa Catholic halikutikisika, tumeshuhudia siku za karibuni umati wa watu wakirudi tena ndani yq Roman Catholic Baada ya kugundua kuwa kanisa Lipo imara na huko walikokuwa ni vikundi vya kimaslahi vinatofatutq utajiri!
 
Mmenikosha maaskofu wangu. Nadhani Maaskofu wa DRC wamewapa somo. Sasa naahidi kuongeza mchango wa Tegemeza Jimbo kwa mwaka huu mpaka laki moja. Nilishaacha kuchangia kabisa kwa sababu ya Pengo!
[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Ngoja aje mkubwa wao awageuke kama wakati ule wa katiba mpya.
Mkuu kwa Kanisa Katoliki, mkubwa ni mwenyekiti wa Baraza la Maaskofu kwa muda hubo sino Kardinali kama wengi wanavyodhani
 
Uongozi wa nchi yetu hauna utaratibu wa kujibu waraka.Ingekuwa hivyo ingebidi kuwe na mtu maalum wa kujibu nyaraka za kanisa maana ni nyingi mno na ni za kila wakati.Wametoa mawazo yao tunawadhukuru lakini nchi inasonga mbele kwa taratibu za kinchi na sio za kanisa.Kanisani tuonane hukohuko na ni lazima tuje kusali kwani tuna muhitaji Mungu vilevile.
 
Kama aliesema ATUBU walisagula sagula mpaka chupi zake... Sijui hawa wazee wa Vatican itakuaje.
Ndiyo maana wenzao wanasoma miaka 7 kabla hata ya kuupata upadre siyo kina Kakobe na Gwajima. Mtu anaweza kukutukana kwa kutumia maneno mazuri bila kutumia maneno ya Mange maana ndiyo maana ya usomi. Lakini ukianza kutukana kama walevi wa vilabu za pombe za kienyeji elimu yako inakua na msaada gani kwako?

Ukisoma huu waraka hawamsemi Magufuli kama Magufuli wanaisema serikali na watendaji wake. Na ujumbe unawaendea waumini wao ili waelewe jinsi gani mambo yanavyoendelea katika maisha yao ya kila siku. Ukisimama katika mimbali na kumshambulia rais wa nchi unakua kama mwanasiasa kama walivyo kina Lema. Hawa wakatoliki wanajua namna ya namna gani kuishauri serikali siyo kuitukana maana wanajua serikali ipo juu kimamlaka.

Shule ni nzuri sana angalia Dr Slaa alipokua UKAWA na UKAWA ya sasa ya mipango inayoishia kutangazwa magazetini tu bila kufanyiwa mikakati ya maana.

Hawa maaskofu kama wangekwenda katika vyuo vikuu vya kawaida wangetoka wakiwa madaktari. maana falsafa inasomwa miaka miwili, theology miaka mitatu na mwaka mmoja ni juu ya uongozi wa kanisa na jumuiya ya kanisa. jumla miaka saba lakini ma jesuit wanasoma miaka zaidi ya kumi kabla ya upadre. mpaka kuwa na masters degree kabla hujaupata upadre.

ndiyo maana huwezi ona wakatoliki wakijipendekeza pendekeza kama yule aliyetukanwa na Mange ama yule aliyekua mfuasi wa Lowasa.
 
Huo waraka ni tamthilia ya kaniKa Katoliki hiyo. Magufuli wamemweka wenyewe . CCM ni mali ya kanisa Katoliki
 
Huo waraka ni tamthilia ya kaniKa Katoliki hiyo. Magufuli wamemweka wenyewe . CCM ni ya mali kanisa Katoliki
Labda upo sahihi lakini sikuwaona wakati wa kampeni wakizunguka na Magufuli ila nilimuona Askofu mmoja tu akizunguka na Lowasa.
 
Back
Top Bottom