WARAKA: Maaskofu Katoliki waonya uminywaji wa demokrasia na uhuru wa vyombo vya habari nchini

WARAKA: Maaskofu Katoliki waonya uminywaji wa demokrasia na uhuru wa vyombo vya habari nchini

Kwanza nikiri mm ni mRoma kidini.Kuna upungufu wa matoleo huko Kanisani (Sadaka,Zaka,nk) kwa sababu ya mzunguko wa pesa kupungua.........Inaweza kuwa moja ya Sababu ya kutoka kwa waraka huu.T.Y.K
 
Mkuu hayo mengine sijabisha. Swali langu alitamka mwaka gani hayo maneno?

Mkuu akikujibu ntaomba uni-tag hilo jibu lake.. Maana aina ya uandishi wa comments zake, umeegemea kwenye arrogance zaidi kuliko facts..
 
Kanisa ndio ma puppeteer wenyewe, hao ndio wenye hii nchi.
Behind the iron curtain the church runs this country.
ni vibaraka wa emperialists..dini inakua kama chama cha siasa..mkristo mweusi atamuona muislam mweusi si mwenzie Bali mzungu..then wanalipwa kwa ruzuku kupitia taasisi zao
 
Kwa hiyo Baraza la Maaskofu limegeuka kuwa msimamizi wa mambo ya siasa? Kanisa limewashinda, week iliyopita tumeona wanamzika Kingunge lakini kwa walala hoi angezikwa kama hana thamani. Leo hii wanatoa wapi moral authority ya kujidai wanajali usawa?
nafikiri mwanakondoo kaleta zahma..hatoki kutoa mafuta watumie wala manyoya wajikinge na baridi..sadaka zimepaa
 
Walianza kukosoa maaskofu mmoja mmoja sasa baraza sijui nao uhamiaji itawafuatilia kujua wote ni raia wa tanzania au?
 
kwa hili nawaunga mkono maaskofu. tumeshuhudia kinondoni mkurugenzi anashindwa kufuata taratibu za kuendesha uchaguzi.
 
Kama si kuamuru Kanisa katoliki kuchunguzwa uraia na kuambiwa ni wa Vatican, sijui!!!!
Naomba tu kanisa lisiambiwe LINAWASHWA.
 
Wosia aliotuachia Baba wa Taifa unazidi kuunguruma dhidi ya huyu mtu dhalimu na kaburu mweusi.

"Tujenge Utamaduni wa kuthibiti Viongozi wetu kama wanavunja sheria za nchi, TUSIOGOPE. Mkianza na mkiwa na woga I PROMISE YOU mtatawaliwa na dictators I PROMISE YOU mkiogopaogopa namna hii nyinyi Wabunge, nani wote na kusema Mzee wanakuwa wakali then you're making absolutely_____ that you'll be under a dictatorship." Baba wa Taifa.



Imebidi nikakinunue kitabu kabla hakijaisha.
 
Back
Top Bottom