Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hayo mengine sijabisha. Swali langu alitamka mwaka gani hayo maneno?
Upo radhi kumnafikia mungu wako imradi tu usinyanganywe tonge na mfalme wa kidunia.Kwanza nikiri mm ni mRoma kidini.Kuna upungufu wa matoleo huko Kanisani (Sadaka,Zaka,nk) kwa sababu ya mzunguko wa pesa kupungua.........Inaweza kuwa moja ya Sababu ya kutoka kwa waraka huu.T.Y.K
Viongozi wa bakwata elimu zao zinekaaje kwanza tuanzie hapoSisi viongozi wetu wa kiislamu ( kasoro sheikh Ponda) sijawai kusikia hata siku moja kutoa waraka au tamko la kuilamu serikali wala kutoa ushauri,
elimu IPI unayotaka wewe?..theolojia,tawheed,fiqh au elimu ya mazingira!?Viongozi wa bakwata elimu zao zinekaaje kwanza tuanzie hapo
Wakina mgonjwa mtambuka na ma madomokaya jingalao anachungulia na kurudiWatani kwenye uzi huu wamekwenda likizo, nilifikiri hapa ndo wangenena kinoma.
Kiongozi mkuu ni mkatoliki.
ni vibaraka wa emperialists..dini inakua kama chama cha siasa..mkristo mweusi atamuona muislam mweusi si mwenzie Bali mzungu..then wanalipwa kwa ruzuku kupitia taasisi zaoKanisa ndio ma puppeteer wenyewe, hao ndio wenye hii nchi.
Behind the iron curtain the church runs this country.
Unafikiria hapa kupambana na hawa wa nje itahitajika elimu gani ili umkosoe sizonje?elimu IPI unayotaka wewe?..theolojia,tawheed,fiqh au elimu ya mazingira!?
nafikiri mwanakondoo kaleta zahma..hatoki kutoa mafuta watumie wala manyoya wajikinge na baridi..sadaka zimepaaKwa hiyo Baraza la Maaskofu limegeuka kuwa msimamizi wa mambo ya siasa? Kanisa limewashinda, week iliyopita tumeona wanamzika Kingunge lakini kwa walala hoi angezikwa kama hana thamani. Leo hii wanatoa wapi moral authority ya kujidai wanajali usawa?
wa nje ni nani na wa ndani ni yupi?!Unafikiria hapa kupambana na hawa wa nje itahitajika elimu gani ili umkosoe sizonje?
This is hom of great thinkers kama hata hilo unaomba ufafanuzi its better ukaenda kufanya mazoezi huko facebook tunahitaj watu wakomavu kifikra.wa nje ni nani na wa ndani ni yupi?!
Unasomwa jumapili ya kwanza ya kwaresima.... Sio jumapili ya kwanza kabla ya kwaresima...nafikiri umeelewahuo umetoka Ijumaa, kwa hiyo kama kusomwa ingekuwa Jumapili ya jana.
Andikeni na ninyi wa kwenu ambao hamtabembeleza kwani Hamna dini?Umeona eh,tena wameandika kwa Lugha ya kubembeleza sana tu
Wataambiwa wanajihusisha na siasa. Wanaweza kutishiwa hata kufutwa kwa Kanisa!nahisi huu utakuwa sindano ya moto kama ule wito wa kutubu wa Kutubu wa Kakobe
Imebidi nikakinunue kitabu kabla hakijaisha.