WARAKA: Maaskofu Katoliki waonya uminywaji wa demokrasia na uhuru wa vyombo vya habari nchini

WARAKA: Maaskofu Katoliki waonya uminywaji wa demokrasia na uhuru wa vyombo vya habari nchini

Umeshaambiwa ili waraka uungwe mkono ni lazima 70% ya wajumbe waridhie.

Huyo pengo wako ni ile 30% iliyobaki.

Halafu majukumu ya Pengo yanaishie kwenye Jimbo lake hivyo yuko sawa tu kama maaskofu wengine.

Usiwe mpumbavu.
Ktk msafara wa MAMBA kenge HUWEPO!
 
Jamani Siku hizi ukiona mfalme kakaa uchi mfunike,usimuache apigwe picha na kuanikwa kwenye mitandao,
Zama za mawe aliondoka nazo JKN
 
??
 

Attachments

  • IMG_20181109_175859.jpg
    IMG_20181109_175859.jpg
    137.3 KB · Views: 52
Naona waraka unakula vyuo vya kikatoliki nchini. Mpaka sasa zaidi ya taasisi 10 za kikatoliki zimefungwa. Siasa za visasi zinaathiri sana jamii haswa ya wanyonge wasio na Plan B. Mungu wasaidie viongizi wetu wawe na hekima hata robo tu kama suleiman. Viva Tz
 
Naona zama za Kanisa Katoliki kutoa waraka dhidi ya serikali ziliisha wakati Rais Kikwete alivyomaliza muda wake, sasa hivi kuna mwana mpendwa wa kundini ambaye ana uhuru wa kufanya chochote ajisikiacho, kuminya demokrasia na haki za msingi za raia.
 
Saivi watatoa waraka tena?
Ni Kama washatiwa mfukoni.. woote wanaimba wimbo mmoja tu wa kusifu na kuabudu
 
Kuna mpuuzi mmoja amejaa udini wa kijinga eti anasema TEC huwa haikemei tawala fulani fulani!


Ujinga mtupu

Yaani tuache kupiga kelele mambo yanapokwenda ndivyo sivyo kwa kuogopa dini ya kiongozi aliyepo eti wanadini watasema tunakemea dini yake?
 
Back
Top Bottom