Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I like itWanajamii
Naomba niseme Kwamba kama kinachoendelea ndani ya CDM ni hiki kilichofikishwa hapa. Basi chama hiki hakuna mwendo wala mwisho mzuri.
Matatizo ya mbowe na slaa yaliyoainishwa kwenye waraka huu ni ya kweli na ya msingi sana. Hata mm nakubaliana nayo sana na ninayajua yote kabla ya kusoma hapa na kama mdau wa karibu wa chama yamekua yakinitatiza sana na kwa muda mrefu sana.
Uamuzi wa hawa member wanne mm nauona kama ni uamuzi au mpango sahihi kabisa na usio na madhara yoyote Hasi kwenye chama. Tatizo ni Kwamba una madhara hasi kwa wakuu wa chama waliotajwa. Kwa hiyo vita hii na uamuzi huu wa kuwasimamisha Hawa member wane ni vita ya kuchumia tumbo kwa Hawa mabeana Wawili wanaiitwa mkuu na Mtendaji mkuu. Kwa mantiki hiyo basi CDM Sasa iache kujinadi Kwamba inapinga ufisadi wakati ukweli si huo. Uroho wa madaraka wakati uwezo wa uwajibikaji ni Mdogo ni tatizo kubwa sana kwa chama hiki kwa Sasa. Na ndoto ya kuiona ikulu ya magogoni Sasa ni ndoto ya alinacha kwa chadema.
Hivi ni nani asiyejua Kwamba operesheni zote za chama zinakufa kibudu, na tatizo ni mbowe. At the end malengo hayafikiwi hata kidogo, kama kuna mtu atlishiriki katika uzinduzi wa kanda na M4C anafahmu filaments operesheni hiyo ilivyokuwa nzuri lakini imekufa kwa sababu ya mbowe.
Lakini pia mm binafsi sijaona Kama kuna matusi yoyote kwa viongozi hao wakuu wa chama kwenye waraka huu. Hizo ni propaganda za kipuuzi sana. Na dhahiri shahiri Kwamba mkakati huu ulishanaswa mapema mno na ndio maana mwigamba alifanyiwa umafia ule though mkakati huu Unaonekana kama umeandaliwa baada ya tukio lile la mwigamba.
Nimegundua pia kutokana na aina ya ushiriki wa tundu lisu kwenye hili Kwamba na yy pia amesimamia upande wa mbowe na slaa kwa hilo namuona kama si mwanamageuzi wa kweli ndani chama na kwa Tanzania nzima. Nataka nitumie fursa hii kumkumbusha Kwamba wakati Chacha wangwe yanaanza kumkuta kama haya zitto nae akikuwa akifurahia upande wa mbowe, Sasa yamemkuta. Kwa mantiki hiyo lisu akae akijua Kwamba siku na yy atakapotaka kufanya au kusupport mabadiliko yoyote positive ndani ya chama dhidi ya hawa jamaa kaburi la kisiasa ndani ya chama linamsubiria.
Mwisho kabisa niwape pole Hawa member watatu wanaotarajiwa kutokuwa CDM member ndani ya wiki Kwamba niko nao pamoja kimsimamo kwa lile walilotaka kulifanya. Ikiwekekana watumie Namna mbadala Kama itakuwepo kueffect these positive changes.
Thanks
Uchambuzi: Baada ya kuisoma kwa kutulia huu waraka yaonyesha wazi kwamba muandishi wa ile "RIPOTI YA SIRI" ndie huyo huyo alieandika waraka huu.
Cha kujiuliza ni kwamba kwa nini hawakukubali kuwa chama ndio kiliisuka ile RIPOTI YA SIRI? Kuna senario mbili tu za msingi hapa.
- Mh Zitto alikuwa mjanja na alipoupata ule waraka wa Ripoti ya siri akatuma vijana wake waumwage mtandaoni kuwapima viongozi wa CHADEMA (wasukaji-Mbowe, Slaa na Lissu) watasema nini. Zitto alifikiri hiyo ndio njia nyepesi ya kuwanyamazisha.
- Viongozi wa CHADEMA (Mbowe, Slaa na Lissu) waliisambaza Ripoti hiyo mtandaoni ili kujua na kupima reactio ya Zitto na kikosi chake na hasa reaction ya wanachadema. Walipoona wanachadema wengi hakumuunga mkono Zitto ndipo wakasuka huu Waraka wa kitoto ili wammalize Zitto na Kitila.
Hiki ni chama cha siasa au chama cha FITINA? CHADEMA IMEKUFA. NIMEWASIKIA MBEYA NA KIGOMA HAWATAKI KUISIKIA CHADEMA TENA. WANAMPANGO WA KUANZISHA CHADME2.
Hivi hiki CHAMA kingechukua nchi 2010 si kingetutosa BAHARINI. Lo ewe Mungu epusha majanga haya.
Kwangu mimi katika misingi huru, ni mara chache kwa mamlaka kutoa uamuzi kama huu bila kuridhika na ushahidi. Na kimsingi kujitetea ni utaratibu wa kawaida ili kuweka kumbukumbu vizuri. Kinachoniuma hapa ni kuwa watu walioaminiwa na kuwa mfano wa kuigwa wako tayari kupotosha ukweli kwa mahitaji binafsi. Ni hapa mshangao wangu unaanzia!nakubaliana nawe kabisa. Umekuwa balanced ktk analysis yako. Kwa maoni yangu kamati kuu imekuruouka katika kufanya maamuzi. Natamati michangi ya wana JF humu ingeonyesha kutabua kuwa watuhumiwa wanabakia kuwa watuhumiwa mpaka baada ya hizo siku 14. Kwa sisi wanachama wa kawaida tunatskiwa kuwa wavumilivu kwa matarajio kuwa uamuzi uliofanyika ni sahihi. Hata kama hatimaye itathibitika kuwa kamati kuu ilifanya makosa bila kudhamiria tutawasamehe. Ni imani yangu historia itahukumu pande zinazokinzana kwa haki. Viva CDM.
Huyo mmoja ameshaandika barua ya kujiuzulu. Huu ni wakati wa kurudisha umoja wetu ktk chama.
Mungu mkubwa aisee, vinginevyo tulikuwa tunaizika Chadema hivi hivi.
Tatizo la waraka ni kuwa walioandika walikuwa na uwezo wa kutoaJamani labda huu waraka sio wenyewe.
Kama ni wenyewe kuna nini cha ajabu hapa kwenye siasa za vyama na demokrasia? Bila mikakati huwezi kupata hata ubalozi.
Chadema imeshakufa, thats all. Kwenye uchaguzi kunakuwa na kambi, kwann chadema ni dhambi kuwa na kambi na ni dhambi kutofautiana kimawazo na mtizamo?
Wanajamii
Naomba niseme Kwamba kama kinachoendelea ndani ya CDM ni hiki kilichofikishwa hapa. Basi chama hiki hakuna mwendo wala mwisho mzuri.
Matatizo ya mbowe na slaa yaliyoainishwa kwenye waraka huu ni ya kweli na ya msingi sana. Hata mm nakubaliana nayo sana na ninayajua yote kabla ya kusoma hapa na kama mdau wa karibu wa chama yamekua yakinitatiza sana na kwa muda mrefu sana.
Uamuzi wa hawa member wanne mm nauona kama ni uamuzi au mpango sahihi kabisa na usio na madhara yoyote Hasi kwenye chama. Tatizo ni Kwamba una madhara hasi kwa wakuu wa chama waliotajwa. Kwa hiyo vita hii na uamuzi huu wa kuwasimamisha Hawa member wane ni vita ya kuchumia tumbo kwa Hawa mabeana Wawili wanaiitwa mkuu na Mtendaji mkuu. Kwa mantiki hiyo basi CDM Sasa iache kujinadi Kwamba inapinga ufisadi wakati ukweli si huo. Uroho wa madaraka wakati uwezo wa uwajibikaji ni Mdogo ni tatizo kubwa sana kwa chama hiki kwa Sasa. Na ndoto ya kuiona ikulu ya magogoni Sasa ni ndoto ya alinacha kwa chadema.
Hivi ni nani asiyejua Kwamba operesheni zote za chama zinakufa kibudu, na tatizo ni mbowe. At the end malengo hayafikiwi hata kidogo, kama kuna mtu atlishiriki katika uzinduzi wa kanda na M4C anafahmu filaments operesheni hiyo ilivyokuwa nzuri lakini imekufa kwa sababu ya mbowe.
Lakini pia mm binafsi sijaona Kama kuna matusi yoyote kwa viongozi hao wakuu wa chama kwenye waraka huu. Hizo ni propaganda za kipuuzi sana. Na dhahiri shahiri Kwamba mkakati huu ulishanaswa mapema mno na ndio maana mwigamba alifanyiwa umafia ule though mkakati huu Unaonekana kama umeandaliwa baada ya tukio lile la mwigamba.
Nimegundua pia kutokana na aina ya ushiriki wa tundu lisu kwenye hili Kwamba na yy pia amesimamia upande wa mbowe na slaa kwa hilo namuona kama si mwanamageuzi wa kweli ndani chama na kwa Tanzania nzima. Nataka nitumie fursa hii kumkumbusha Kwamba wakati Chacha wangwe yanaanza kumkuta kama haya zitto nae akikuwa akifurahia upande wa mbowe, Sasa yamemkuta. Kwa mantiki hiyo lisu akae akijua Kwamba siku na yy atakapotaka kufanya au kusupport mabadiliko yoyote positive ndani ya chama dhidi ya hawa jamaa kaburi la kisiasa ndani ya chama linamsubiria.
Mwisho kabisa niwape pole Hawa member watatu wanaotarajiwa kutokuwa CDM member ndani ya wiki Kwamba niko nao pamoja kimsimamo kwa lile walilotaka kulifanya. Ikiwekekana watumie Namna mbadala Kama itakuwepo kueffect these positive changes.
Thanks
haaa haaa
same applies