Waraka uliowaondoa Zitto Kabwe na Kitila Mkumbo CHADEMA huu hapa

CHADEMA inaingia madarakani, wale born oppositions lazima watoke nduki...

Hongera kamanda wa anga, tunakukubali saaana....!!
 

Pathetic,kwahyo mbowe alikua anataka kujipindua mwenyewe?alikua haridhiki na uongozi wake?
 

Mbona iko wazi.baba josephine ndio MM2.
 
Kama mkakati huu ulishindwa kuisambaratisha Chadema chakubanga na mkakati wake mbuzi ataiweza Chadema.
 
Hii nyuzi INA maana gani wakati huu
"Those who cannot remember the past are condemned to repeat" :-George Santayana
"Wale ambao wanasahau yaliyopita kuna hatari kubwa ya kuyarejea yale yale":-George Santayana

Mkuu huoni kwamba kwenye mitandao kuna mikakati na proaganda za kumchafua Mbowe asipewe Uenyekiti wa Chadema
 
Asipewe au asiendelee kuwa Mwenyekiti.
 
Ina maana CHADEMA hakuna mtu mwingine anayeweza kuongoza hicho chama isipokuwa Mbowe tu? Ifikie wakati hiyo demokrasia wanayoihubiri, waiishi!
 
Ina maana CHADEMA hakuna mtu mwingine anayeweza kuongoza hicho chama isipokuwa Mbowe tu? Ifikie wakati hiyo demokrasia wanayoihubiri, waiishi!
Demokrasia ni wengi wape kwanini husemi ifike wakati CCM nayo ipishe chama kingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…