Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mtajibebaSijaona mahala katika waraka wa Mkumbo panapoonesha anataka kuigawa chadema. Hivi maana ya demokrasia ni kuhodhi madaraka maisha?
Mkuu bado Mwita Maranya hujue huyu Waitara alikuwa mwiba kwa John Heche kule Tarime.Mbowe anaogopa uchaguzi.
Mbowe anaogopa uchaguzi.
Hili zengwe la John Heche akisaidiwa na Mbowe na Dr.Slaa ili agombee ubunge Tarime, wanamtoa kafara Mwita Mwaikabe.
duh movie hii kali, chadema ilipona mwaka huu haswa baada ya siku kumi na nne nahama dsm
hili zengwe la john heche akisaidiwa na mbowe na dr.slaa ili agombee ubunge tarime, wanamtoa kafara mwita mwaikabe.
Sijaona mahala katika waraka wa Mkumbo panapoonesha anataka kuigawa chadema. Hivi maana ya demokrasia ni kuhodhi madaraka maisha?
Nimerudia kuusoma huo wakala sijaona unakigawa chama wapi. Mtu aniwekee hapa hata para1 inayoonesha hivyo.
mbowe anaogopa uchaguzi.
jiandae kuhama,,,chadema iko imara,,,,mungu ibariki chadema na viongozi wakeeee.
ccm kulikoni??? Mbona mwataharukiiii???
Mkuu umesahau na UDP ya Cheyo pamoja na DP ya Mtikila tokea nimezaliwa wote hao walikuwa ni wenyeviti wa vyama vyao lakini CDM tokea imeanza nimesikia mzee Mtei, Bob Makani na sasa Mbowe sasa ni wapi penye demokrasia?
Siunajuwa misukule mingi elimu ndogo,kama kiswahili tu watafsiri wanavyotaka wao je ingekua lugha ya Majahazi,au awajosoma waraka,pale umeandikwa mkakati wa kuifanya chadema kiwe chama upinzani sio SaccosSijaona mahala katika waraka wa Mkumbo panapoonesha anataka kuigawa chadema. Hivi maana ya demokrasia ni kuhodhi madaraka maisha?
Sijaona mahala katika waraka wa Mkumbo panapoonesha anataka kuigawa chadema. Hivi maana ya demokrasia ni kuhodhi madaraka maisha?
ndugu wana jf,pamoja na kunaswa kwa ule waraka uliokuwa umeandaliwa kwa lengo la kukigawa na kukipasua chama cha cdm, jana mjumbe wa mkutano mkuu kitila mkumbo alikiri kuuwandaa yeye na wenzake,lakini hakumtaja mtu mmoja anaetuhumiwa kushiriki nae ktk kuandaa mkakati huo aliejulikana kwa jina la mm2.
Habari za uhakika ni kwamba mtu huyo au msaliti huyo anaedaiwa kutumia jina la mm2 na anaefanya kazi makao makuu ya cdm na ambae inadaiwa ndie amekuwa akivujisha siri za chama sio mwingine bali ni mwita mwaikabe waitara!
Habari hizi ni za kweli na muda sio mrefu ataanikwa wazi ili kumaliza habari za tetesi!
Ikumbukwe kwamba ndg waitara anategemea kugombea ubunge jimbo la tarime kwa mara ya 2 baada ya kushindwa ktk uchaguzi wa 2010!
Nawasilisha.
Sikusahau Kamanda ila nilijuwa kuna watu wenye kumbukumbu sahihi km wewe ambao mtataja! Labda tuwaulize kina Ritz ni kwanini Demokrasia wanaitaja tu CDM na sio CCM!?
Je kuna mwaka CCM iliwahi kufanya uchaguzi wa mwenyekiti wa Taifa au ni mimi ndio sikumbuki kwamba waliwahi kufanya.
Na km hawakufanya wanahofia nini wasifanye badala yake wanarithishana?
Sio Waitara,huyo ni MTEMELWA MSAFIRI