Mwande na Mndewa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2021
- 1,117
- 3,153
Kesho tunasali Misa ya kwanza Kanisa la Roma kusikiliza waraka wa tamko la Maaskofu 37, Wakiwakilisha Mikoa 31 na Mikoa ya kikanisa yaani majimbo 6. Watanzania kesho watajaa makanisani kusikiliza waraka huo wa Maaaskofu baada ya vyombo vyote vya habari kukataa kurusha waraka huo wa Maaskofu Wakatoliki Tanzania, Jambo la ajabu media zote kubwa (Main streams) hazijaripoti habari hiyo. Sio ITV, ETV, Channel Ten, Clouds, WachafuTV etc. Wameipotezea.
Nimesoma waraka wa tamko la Maaskofu na nilifanikiwa kuwafuatilia toka awali nikagundua;
01. Kazi ya kanisa kubwa duniani ni kulisumamia taifa
02. Kazi ya kanisa ni kuleta mapinduzi ya Haki na amani kwa taifa.
03. Kupinga ukiukwaji wa Utu
Kwakweli lile azimio la mkataba wa Bandari halina tija kwa nchi yetu
Ili kuleta ufanisi zaidi katika kusimamia rasilimali za nchi zetu tusiwape waeekezaji badala yake tutumie vyombo vya ulinzi na usalama kuratibu shughuli zote na bunge liunde sheria mahsusi zitakazolazimisha uzalendo.
Niseme tu huwezi kuwa mtanzania (hasa mtanganyika) ukashabikia kuingizwa utumwani kupitia rasilimali zako halafu ukategemea watakuita majina sukari ama asali! Uta-derseve usaliti wa taifa na maneno yote yanayomfaa msaliti kumtambulishia kwa vizazi vyote vitakavyokuwa hai!