DolphinT
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 2,014
- 2,979
Wewe chawa upo? Afadhali katika hili umetumia akili hahaa kuliko MwashambwaWakatoliki hawataki ujinga ndiyo maana waliitawala dunia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe chawa upo? Afadhali katika hili umetumia akili hahaa kuliko MwashambwaWakatoliki hawataki ujinga ndiyo maana waliitawala dunia
Wataanza kusema kuna udini kwenye utoaji wa huduma hizo. Hawana dogo hao watu ingawa si wote.Na ikiwa hivyo taasisi za dini zitoe huduma nafuu kwa watu wao tu, na wa dini nyingine walipie bila ruzuku! Kama maji hamtaita mma!
Wasome tu,hata bible si husomeana kila wikiendKesho tunasali Misa ya kwanza Kanisa la Roma kusikiliza waraka wa tamko la Maaskofu 37,Wakiwakilisha Mikoa 31 na Mikoa ya kikanisa yaani majimbo 6. Watanzania kesho watajaa makanisani kusikiliza waraka huo wa Maaaskofu baada ya vyombo vyote vya habari kukataa kurusha waraka huo wa Maaskofu Wakatoliki Tanzania,Jambo la ajabu media zote kubwa (Main streams) hazijaripoti habari hiyo. Sio ITV, ETV, Channel Ten, Clouds, WachafuTV etc. Wameipotezea,
Nimesoma waraka wa tamko la Maaskofu na nilifanikiwa kuwafuatilia toka awali nikagundua;
01.kazi ya kanisa kubwa duniani ni kulisumamia taifa
02.kazi ya kanisa ni kuleta mapinduzi ya Haki na amani kwa taifa,
03.kupinga ukiukwaji wa Utu
Kwakweli lile azimio la mkataba wa Bandari halina tija kwa nchi yetu
Ili kuleta ufanisi zaidi katika kusimamia rasilimali za nchi zetu tusiwape waeekezaji badala yake tutumie vyombo vya ulinzi na usalama kuratibu shughuli zote na bunge liunde sheria mahsusi zitakazolazimisha uzalendo,
Niseme tu huwezi kuwa mtanzania (hasa mtanganyika) ukashabikia kuingizwa utumwani kupitia rasilimali zako halafu ukategemea watakuita majina sukari ama asali! Uta-derseve usaliti wa taifa na maneno yote yanayomfaa msaliti kumtambulishia kwa vizazi vyote vitakavyokuwa hai!
Watanganyika tunaunga waraka wa TEC 100%. Hutaki unaacha, tembea kafie mbeleMapadri Wakatoliki ndiyo walisaidia kutekeleza mauaji ya kimbari huko rwanda. Dharau mliyo ionyesha kwa serikali awamu ya sita ni kubwa sana kwanza nyie ni nani kwenye Nchi mpaka mchanganye dini na siasa?
Mkae mkijua mmekosea sana kuonyesha makucha yenu kisa Samia ni muislamu na ni mwanamke mnaona hawezi wala hafai ila huyu ndiye raisi wa wote na dini zote nyie viongozi wa dini ufalme wenu ni mbinguni Mambo ya kidunia achaneni nayo
Nani aliekuambia wanajali.Usomwe popote, tunachotaka ni pesa za umma wanapewa kila mwezi zisitishwe haraka sana.
Ikiwa serikali imesitisha kuwapa ruzuku mashirika ya umma, na zinazokwenda taasi za kanisa zisitishwe.
Wakati tunafanya harakati za kumtoa Kikwete madarakani mwaka 2010, waraka wao wa kuiondoa ccm madarakani ulifika kwa kila muumini, lakini hatukufanikiwa.Kesho tunasali Misa ya kwanza Kanisa la Roma kusikiliza waraka wa tamko la Maaskofu 37,Wakiwakilisha Mikoa 31 na Mikoa ya kikanisa yaani majimbo 6. Watanzania kesho watajaa makanisani kusikiliza waraka huo wa Maaaskofu baada ya vyombo vyote vya habari kukataa kurusha waraka huo wa Maaskofu Wakatoliki Tanzania,Jambo la ajabu media zote kubwa (Main streams) hazijaripoti habari hiyo. Sio ITV, ETV, Channel Ten, Clouds, WachafuTV etc. Wameipotezea,
Nimesoma waraka wa tamko la Maaskofu na nilifanikiwa kuwafuatilia toka awali nikagundua;
01.kazi ya kanisa kubwa duniani ni kulisumamia taifa
02.kazi ya kanisa ni kuleta mapinduzi ya Haki na amani kwa taifa,
03.kupinga ukiukwaji wa Utu
Kwakweli lile azimio la mkataba wa Bandari halina tija kwa nchi yetu
Ili kuleta ufanisi zaidi katika kusimamia rasilimali za nchi zetu tusiwape waeekezaji badala yake tutumie vyombo vya ulinzi na usalama kuratibu shughuli zote na bunge liunde sheria mahsusi zitakazolazimisha uzalendo,
Niseme tu huwezi kuwa mtanzania (hasa mtanganyika) ukashabikia kuingizwa utumwani kupitia rasilimali zako halafu ukategemea watakuita majina sukari ama asali! Uta-derseve usaliti wa taifa na maneno yote yanayomfaa msaliti kumtambulishia kwa vizazi vyote vitakavyokuwa hai!
Serikali inazo taasisi hizo za kuchukuwa nafasi ya zile za makanisa ?!. Roho za kwanini wakati walivyonavyo, dola havina !!Usomwe popote, tunachotaka ni pesa za umma wanapewa kila mwezi zisitishwe haraka sana.
Ikiwa serikali imesitisha kuwapa ruzuku mashirika ya umma, na zinazokwenda taasi za kanisa zisitishwe.
Kanisa takatifu katoliki la mitume huwezi kushindana na kanisa katolikiUsomwe popote, tunachotaka ni pesa za umma wanapewa kila mwezi zisitishwe haraka sana.
Ikiwa serikali imesitisha kuwapa ruzuku mashirika ya umma, na zinazokwenda taasi za kanisa zisitishwe.
Siasa zimebadilika sana DunianiMapadri Wakatoliki ndiyo walisaidia kutekeleza mauaji ya kimbari huko rwanda. Dharau mliyo ionyesha kwa serikali awamu ya sita ni kubwa sana kwanza nyie ni nani kwenye Nchi mpaka mchanganye dini na siasa?
Mkae mkijua mmekosea sana kuonyesha makucha yenu kisa Samia ni muislamu na ni mwanamke mnaona hawezi wala hafai ila huyu ndiye raisi wa wote na dini zote nyie viongozi wa dini ufalme wenu ni mbinguni Mambo ya kidunia achaneni nayo
Kwann kanisa lisianze kusali novena kwaajil ya kuwaondoa mafisadi wote?Kesho tunasali Misa ya kwanza Kanisa la Roma kusikiliza waraka wa tamko la Maaskofu 37,Wakiwakilisha Mikoa 31 na Mikoa ya kikanisa yaani majimbo 6. Watanzania kesho watajaa makanisani kusikiliza waraka huo wa Maaaskofu baada ya vyombo vyote vya habari kukataa kurusha waraka huo wa Maaskofu Wakatoliki Tanzania,Jambo la ajabu media zote kubwa (Main streams) hazijaripoti habari hiyo. Sio ITV, ETV, Channel Ten, Clouds, WachafuTV etc. Wameipotezea,
Nimesoma waraka wa tamko la Maaskofu na nilifanikiwa kuwafuatilia toka awali nikagundua;
01.kazi ya kanisa kubwa duniani ni kulisumamia taifa
02.kazi ya kanisa ni kuleta mapinduzi ya Haki na amani kwa taifa,
03.kupinga ukiukwaji wa Utu
Kwakweli lile azimio la mkataba wa Bandari halina tija kwa nchi yetu
Ili kuleta ufanisi zaidi katika kusimamia rasilimali za nchi zetu tusiwape waeekezaji badala yake tutumie vyombo vya ulinzi na usalama kuratibu shughuli zote na bunge liunde sheria mahsusi zitakazolazimisha uzalendo,
Niseme tu huwezi kuwa mtanzania (hasa mtanganyika) ukashabikia kuingizwa utumwani kupitia rasilimali zako halafu ukategemea watakuita majina sukari ama asali! Uta-derseve usaliti wa taifa na maneno yote yanayomfaa msaliti kumtambulishia kwa vizazi vyote vitakavyokuwa hai!
Nchii hii aiongozwi kikatoliki ndugu nchi Haina dini nyinyi sinamsemaga Mamlaka zote duniani zimewekwa na Mungu kwanini sasa hamtaki kutii Mamlaka ?Kesho tunasali Misa ya kwanza Kanisa la Roma kusikiliza waraka wa tamko la Maaskofu 37,Wakiwakilisha Mikoa 31 na Mikoa ya kikanisa yaani majimbo 6. Watanzania kesho watajaa makanisani kusikiliza waraka huo wa Maaaskofu baada ya vyombo vyote vya habari kukataa kurusha waraka huo wa Maaskofu Wakatoliki Tanzania,Jambo la ajabu media zote kubwa (Main streams) hazijaripoti habari hiyo. Sio ITV, ETV, Channel Ten, Clouds, WachafuTV etc. Wameipotezea,
Nimesoma waraka wa tamko la Maaskofu na nilifanikiwa kuwafuatilia toka awali nikagundua;
01.kazi ya kanisa kubwa duniani ni kulisumamia taifa
02.kazi ya kanisa ni kuleta mapinduzi ya Haki na amani kwa taifa,
03.kupinga ukiukwaji wa Utu
Kwakweli lile azimio la mkataba wa Bandari halina tija kwa nchi yetu
Ili kuleta ufanisi zaidi katika kusimamia rasilimali za nchi zetu tusiwape waeekezaji badala yake tutumie vyombo vya ulinzi na usalama kuratibu shughuli zote na bunge liunde sheria mahsusi zitakazolazimisha uzalendo,
Niseme tu huwezi kuwa mtanzania (hasa mtanganyika) ukashabikia kuingizwa utumwani kupitia rasilimali zako halafu ukategemea watakuita majina sukari ama asali! Uta-derseve usaliti wa taifa na maneno yote yanayomfaa msaliti kumtambulishia kwa vizazi vyote vitakavyokuwa hai!
Vyombo vya habari viko chini ya napeKesho tunasali Misa ya kwanza Kanisa la Roma kusikiliza waraka wa tamko la Maaskofu 37,Wakiwakilisha Mikoa 31 na Mikoa ya kikanisa yaani majimbo 6. Watanzania kesho watajaa makanisani kusikiliza waraka huo wa Maaaskofu baada ya vyombo vyote vya habari kukataa kurusha waraka huo wa Maaskofu Wakatoliki Tanzania,Jambo la ajabu media zote kubwa (Main streams) hazijaripoti habari hiyo. Sio ITV, ETV, Channel Ten, Clouds, WachafuTV etc. Wameipotezea,
Nimesoma waraka wa tamko la Maaskofu na nilifanikiwa kuwafuatilia toka awali nikagundua;
01.kazi ya kanisa kubwa duniani ni kulisumamia taifa
02.kazi ya kanisa ni kuleta mapinduzi ya Haki na amani kwa taifa,
03.kupinga ukiukwaji wa Utu
Kwakweli lile azimio la mkataba wa Bandari halina tija kwa nchi yetu
Ili kuleta ufanisi zaidi katika kusimamia rasilimali za nchi zetu tusiwape waeekezaji badala yake tutumie vyombo vya ulinzi na usalama kuratibu shughuli zote na bunge liunde sheria mahsusi zitakazolazimisha uzalendo,
Niseme tu huwezi kuwa mtanzania (hasa mtanganyika) ukashabikia kuingizwa utumwani kupitia rasilimali zako halafu ukategemea watakuita majina sukari ama asali! Uta-derseve usaliti wa taifa na maneno yote yanayomfaa msaliti kumtambulishia kwa vizazi vyote vitakavyokuwa hai!
Ikaja ohoo uhainiBaada ya wao kushindwa hoja walianza kudai eti Rais anapingwa sababu ya udini wake......heee!! Nikaona watu kweli ni mapopoma kama anavyosema Gentamycin
Wale wenzetu wao wanamtetea mwenzao. Hawana habari na rasilimali zetu.Wakatoliki hawataki ujinga ndiyo maana waliitawala dunia
Huu ulioandika ndio upuuzi wenyewe sasa asikuambie mtuMapadri Wakatoliki ndiyo walisaidia kutekeleza mauaji ya kimbari huko rwanda. Dharau mliyo ionyesha kwa serikali awamu ya sita ni kubwa sana kwanza nyie ni nani kwenye Nchi mpaka mchanganye dini na siasa?