Mwande na Mndewa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2021
- 1,117
- 3,153
- Thread starter
- #61
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aliyetufikisha hapa ni BETINA!Kesho tunasali Misa ya kwanza Kanisa la Roma kusikiliza waraka wa tamko la Maaskofu 37,Wakiwakilisha Mikoa 31 na Mikoa ya kikanisa yaani majimbo 6. Watanzania kesho watajaa makanisani kusikiliza waraka huo wa Maaaskofu baada ya vyombo vyote vya habari kukataa kurusha waraka huo wa Maaskofu Wakatoliki Tanzania,Jambo la ajabu media zote kubwa (Main streams) hazijaripoti habari hiyo. Sio ITV, ETV, Channel Ten, Clouds, WachafuTV etc. Wameipotezea,
Nimesoma waraka wa tamko la Maaskofu na nilifanikiwa kuwafuatilia toka awali nikagundua;
01.kazi ya kanisa kubwa duniani ni kulisumamia taifa
02.kazi ya kanisa ni kuleta mapinduzi ya Haki na amani kwa taifa,
03.kupinga ukiukwaji wa Utu
Kwakweli lile azimio la mkataba wa Bandari halina tija kwa nchi yetu
Ili kuleta ufanisi zaidi katika kusimamia rasilimali za nchi zetu tusiwape waeekezaji badala yake tutumie vyombo vya ulinzi na usalama kuratibu shughuli zote na bunge liunde sheria mahsusi zitakazolazimisha uzalendo,
Niseme tu huwezi kuwa mtanzania (hasa mtanganyika) ukashabikia kuingizwa utumwani kupitia rasilimali zako halafu ukategemea watakuita majina sukari ama asali! Uta-derseve usaliti wa taifa na maneno yote yanayomfaa msaliti kumtambulishia kwa vizazi vyote vitakavyokuwa hai!
Acheni kuuza nchi mbwa nyie. Waraka huo utasomwa misa zote, na kama nyie wanaume, pelekeni jeshi likazuie misa ya ibada takatifu popote pale katika hii nchi.Mapadri Wakatoliki ndiyo walisaidia kutekeleza mauaji ya kimbari huko rwanda. Dharau mliyo ionyesha kwa serikali awamu ya sita ni kubwa sana kwanza nyie ni nani kwenye Nchi mpaka mchanganye dini na siasa?
Mkae mkijua mmekosea sana kuonyesha makucha yenu kisa Samia ni muislamu na ni mwanamke mnaona hawezi wala hafai ila huyu ndiye raisi wa wote na dini zote nyie viongozi wa dini ufalme wenu ni mbinguni Mambo ya kidunia achaneni nayo
Ule ujinga umekutoka woteWakatoliki hawataki ujinga ndiyo maana waliitawala dunia
Wenye akili hatuwezi kugawanyika. hata wakitoa Bakwata, nitawaunga mkono sana maana wanatetea hakiNchi inaendelea kugawanyika, kwasababu ya kiongozi dhaifu asiyejitambua.
Cc Lord denning njoo wagombeze na hawa wa Moshi[emoji1787][emoji1787]
johnthebaptist moto wawakaTamko la TEC ni amri kwa nchi na dunia, hivyo kutii ni lazima. Tujiandae kusikia mama mkubwa akijibadilisha kama kinyonga kuukana mkataba wa DPW. All