msonobali
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 1,521
- 1,607
Yesu aliuliwa mbinguni? Yaani unataka waishi kama wako mbinguni wakati wako duniani. Muhammad wakati anapigana vita vya jihad kuuteka Maka na alkaab palikuwa mbinguni pale?Mapadri Wakatoliki ndiyo walisaidia kutekeleza mauaji ya kimbari huko rwanda. Dharau mliyo ionyesha kwa serikali awamu ya sita ni kubwa sana kwanza nyie ni nani kwenye Nchi mpaka mchanganye dini na siasa?
Mkae mkijua mmekosea sana kuonyesha makucha yenu kisa Samia ni muislamu na ni mwanamke mnaona hawezi wala hafai ila huyu ndiye raisi wa wote na dini zote nyie viongozi wa dini ufalme wenu ni mbinguni Mambo ya kidunia achaneni nayo
Jibuni hoja za Hilo ji makubaliano libovu kuwahi kuwako .