Waraka wa Bashir Yakub: Tundu Lissu japo unaumwa lakini umeshindwa

Anayeelewa kilichokubaliwa, anajua Tundu Lisu alikuwa sahihi kwa asilimia 100. Bahati mbaya wengi akiwemo mleta mada, hawajaelewa kilichokubalika kwa sababu hawakuwahi kuijua biashara ya madini na hata sasa hawaijui. Hakuna kikubwa tulichokipata zaidi ya mrabaha wa 6%. Vingine vyote ni hadithi kwaajili ya wajinga.

50/50 good to hear but mean nothing.
 
Lissu the puppet! Shame upon him!!
 
Umemhukumu na kumlisha dharau . Tundu Lissu amepigania madini ya nchi hii kuliko mtu mwingine yoyote hasa ndani ya ccm. Hata bwana mkubwa alikuwa miongoni mwa watu waliowezesha wizi huu, kwa kushangilia hizo sheria na mikataba mibovu alipokuwa mbunge na waziri ktk awamu ya 3 na 4. Tundu Lissu hajawahi kuwa mnafiki na msaliti katika hili!!

Kikubwa ni kuwa angalau kama taifa kuna mwanga kidogo ktk uwekezaji na sasa tukubali tumeibiwa sana na hicho ndio amekuwa akipigania maisha yake yote ya sheria hata kama ana mapungufu kama mwanadaamu [emoji120] [emoji122]
 
Ni bora tungeshtakiwa MIGA kuliko kipigo tulichopata. Madai ya sh. 425 trilioni tuje kulipwa 673 bilioni!? Yaani hata trilioni moja haifiki! Na zile Noah zetu je?
Tufikiri kwa kina,ulitengemwa kulipwa tirion 300 halafu unalipwa pesa ambayo hata thelusi haifiki harafu na T.R.A wanaikusanya ndani ya nusu mwezi halafu unashabikia kuwa ni ushindi.. Tunatambua kazi aliyoifanya lakini bado
 
Kwani ungeanzisha tu ' uzi ' huu kwa kutumia ile ' ID ' yako pendwa na inayojulikana na wengi humu ungepungukiwa nini hadi uje na hii ' ID ' mpya? Kwanini hamjiamini nyie?
 
Pamoja na kutuaminisha kuwa tutashitakiwa na tutalipa mabilioni kwa Acacia, kuanzia leo namuona Tundu Lissu simwelewa yaani ni mweupe kabisa kichwani kwenye masuala ya sheria za kimataifa, naomba awaachie wataalamu wa hayo masuala akina Profesa Kabudi yeye aendelee na vikesi vya kuwatetea wavuta bangi hizo kesi za aina hiyo anaziweza sana.
 
Unaandika kwa lissu ukiwa na kiburi cha uzima.Lisu ameponea chupchupu kuuwawa ,andiko hili haliakisi vizuri hoja ya mtu ambaye ni ajabu amepona.Ingependeza zaidi aandikiwe akiwa tayari karudi siasani ili akabiliwe kwa hoja yake.Andiko hili lina ukakasi sana kumjibu mtu aliye bado mgonjwa, hata kama mmepata ushindi dhidi ya hoja zake.Kumbe kushindana kwa hoja ni bora? Sasa mambo yale ya nini ikiwa unaweza kumshinda mpinzani wako kwa hoja tu?
 
aisee mumeangukia pua ndio maana sasa si kushindwa kwenu kunegotiate na barrick nu kumtaja Lissu aliyewaambia ukweli wa jambo lililotokea leo hamjapewa chochote hata kimoja hata sheria Prof Thornton kasema in future hela kasema accacia na directors walioko london ndio watakao amua kama watakubali na wenyewe wamesema hiyo proposal hawaijaaprove mpaka wapate clarification toka barick .so wao wamewin kwani hisa zao zimeshafikia asilimia 165 kupanda kwa masaa tu
 
Kwa kunulia magari ya washawasha na kuilambisha tume ya uchaguzi ya 2020 ili wabaki madarakani, inatosha lakini hailingani na tunachokidai. Hivyo sioni sababu ya kufurahia.
 

Leo cjaona Samia wala Majaliwa,hakuna Bashite, hakuna Ziro wala CDF! Sijaona Waziri wa Madini wala nani.....!Likely something comedian on action.........!!!!!
 
Lissu hafai kabisa na watanzania wote tunamlani sio mzalendo kabisa
 
Wazungu kweli ni wajanja sana wamezungumza weee wakatolewa kwenye kodi, wakaja na gia ya 50/50 ya profit ambayo wataipanga baada ya kuondoa matumizi, kuhusu hako ka milioni 300 hapo ni makanikia anauza analipwa.
 
MTABIRI AMESHINDWA. UZURI HAKUJIBIWA. ALIOWASIFU NA KUWATABIRIA USHINDI WAMEMJIBU NA KUKATAA UTABIRI WAKE. ANGEKUWA MWANASHERIA MZURI WANGEMSIKILIZA. HAYA SASA MNABIDI WAFUASI MSIOJIULIZA SABABU YA UPENZI WENU KWAKE MCHANGANYE NA AKILI ZENU.
 
Buku7 at work
 
Hat

Tumepigwa na ni hadaa kubwa sana maana wanachokifanya hawa jamaa wanajisafisha kutokuwa na hatia kwa shareholders wake na ndio maana hisa zao zimepanda. Wanachotoa kwetu ni at good faith na sio malipo halali.. Tumeshindwa na kwa kuondoa aibu wakatoa hiyo $ million 300
 
Tz kuna wasomi na weledi wangapi tena wazalendo ambao hawako tayari kushirikiana na wezi kama msomi Lisu?....Nadhani sasa ni muda muafaka tujui hii serekali haipo kuleta mbwebwe kama walivyotuaminisha akina TL
lissu ndio talk of the town badala ya magufuli kutaka kumuuwa angemshirikisha kwenye mjadala hakika tungepata cha kwetu sasa tumekamuliwa matumbo mchana kweupe hatuna chetu mkataba umesainiwa waendelee na kazi na siajabu akauze hata makinikia bila kutoa chochote yaani madai yote ya magufuli ni kaputi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…