Waraka wa Bashir Yakub: Tundu Lissu japo unaumwa lakini umeshindwa

wakati mwingine unaweza kujiuliza huyu mtu kazaliwa na binaadamu aliye timia au labda ni zao la mwendawazimu !!?
Tumelipwa wapi!!?
Tumelipwa Haki yetu tuliyo dai!?
 
What a shame to the Government..
From a claim of USD 400+ Trillion and u get only USD 300 Bil..!!
Mruma and Ossoro reports were purely Professorial Nonsense and Rubbish.

Duh! kama kawaida mmeshabadili gia angani - kutoka kututishia tutashitakiwa na kuwalipa mabilioni hadi kulalamika tumelipwa tubilioni tuchache.
 
Zuzu kabadilisha almasi na kipande cha chupa, ha ha ha asante sana Hayati baba wa Taifa.
Uwezo wa mtu kiakili,haupimwi kwa namna anavyopanga maneno bali anabyotenda kwa ufanisi.Congrats my Prezda,am proud to a citizen of this country!!
 
Zuzu kabadilisha almasi na kipande cha chupa, ha ha ha asante sana Hayati baba wa Taifa.
Uwezo wa mtu kiakili,haupimwi kwa namna anavyopanga maneno bali anabyotenda kwa ufanisi.Congrats my Prezda,am proud to be a citizen of this country!!
 

Kinachotuuma CHADEMA ni kwa nini hawajatushitaki na kutudai tuwalipe mabilioni kama kamanda wetu Tundu Lissu alivyokuwa akituaminisha?
 

mkuu kila ulichosema uko sahihi sana kwa mtazamo wa juu, hii ni issue ya JPM na utashi wake

1.alikuvuta ukawaza trillioni, sijajua hapo,ulikubaliana naye kuwa tunadaiwa hizo trillioni, haukukubaliana naye? maana naona kama ulikubaliana naye na unacholalamika ni kuwa defeated japo imepatikana kiduchu, ni inalipwa hata kama jina la deni linabadilika
2.kitu gani kingefanyika hapo kabla ili kuhamsha hayo mazungumzo ya 50/50?? una procedures au plan zozote ambazo ungefanya kufikia same achievement

mimi kwa akili zangu ndogo, kulikuwa hamna namna ya kuingilia mikataba ambayo iko in place, akili ya system ilikuwa kutibuabtibua na kuleta sekeseke au platform kuyajadili haya

kuona kuwa hakuna kilichofanyika, I am afraid hauko sahihi kimkakati
 
Afadhali tungeshtakiwa, hapo tumedharauliwa kwa thamani kiduchu
What is 300m USD kwa Barrick na madai ya USD 194 bn, it's just peanut
Malipo ya 300m USD hayahusiani na deni na ndio maana wamesema kuwa kamati nyingine ya majadiliano lazima iundwe ili ili kukagua maana miaka ya ukwrpaji kodi ni mingi na muda ni mdogo.....
 
Nadhani watanzania hiyo kutojua vizuri lugha ya malkia inatuhadaa. Pamoja na serikali isiyo na uwazi kwa taifa lake yote hayo yanaleta mkanganyiko.
 
Lisu alianza mapambano,kbla ww hujawa mwanasheria,alafu jifunze adabu huwez msema rais wako kuwa anaropoka,na hana hakili wew wenzako wangemchagua km hana akili?
 
Yaani toka bil $194 mpaka $300m halafu mtu anatamba?
 
Kutoka tirioni hadi bilioni alafu unajisifu umeshinda mtu kaiba ng'ombe zako 10 alafu unamkamata anakurudishia ng'ombe 1 unajisifu mshindi Duuuuuh eti umemuweza mwizi hapa tumepigwa aiseeeer
 
My prudence would have been to hold this press conference until everything has been approved by their shareholders and the board in London.., to avoid any potential embarrassment in future.

Hivi ni mimi sielewi au? Mana bado naona ngoma mbichi je huko wakikataa kuipitisha itakuwaje? Wasomi wetu ina maana hiki kipengele hawajakipa kipaumbele? Akili za ajabu sana za mwafrika wazungu hii game nna wasiwasi wameicheza kwa ujanja sana isije kuwa wametuvua nguo tena
 
Kwani Yakub ni msomi kumbe?tena wakili mmesema,aki ya nani ukiwa na kesi wakili akawa huyu unapigwa mvua,hovyoooo
 
Hili tuttusa linalojiita msomi ni hovyo kabisa, hata uandishi wako unaonyesha mapungufu makubwa mno mno. Nina uhakika kijana wa form 6 angeweza kuja na mtirirko wa 'kishule' kuliko huu upuuzi.
 
Mkuu hapo tumepewa rushwa in the name of Good faith
Hauwezi ukapewa ahadi ya 0.15% ya unachokidai ukajisifu mshindi . Hiyo ni bakshishi a.k.a rushwa ili unyamaze, uache makelele ya kuwaharibia kwenye soko la hisa duniani.
ujinga mtupu hata huyu tompton anaonekana anavyoongea lissu bado ni mshindi na arudi hapa afukunyue yoote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…