Waraka wa Bashir Yakub: Tundu Lissu japo unaumwa lakini umeshindwa

You can Fool Some People Sometimes But You cant Fool All The People All The Time
 
Mkuu hapo tumepewa rushwa in the name of Good faith
Hauwezi ukapewa ahadi ya 0.15% ya unachokidai ukajisifu mshindi . Hiyo ni bakshishi a.k.a rushwa ili unyamaze, uache makelele ya kuwaharibia kwenye soko la hisa duniani.
Wabongo tatizo kweli hata yale maneno ya Live umeshindwa kuelewa ngoja nikusaidie, Ni hivi kwenye makadirio ya kodi na kiasi wanachodaiwa bado mazungumzo yataendelea kwa kuwa inatakiwa kupitia nyaraka mbali mbali zen ndio ufike muafaka pia kama ulimsikia Kabuda kwamba itakuwepo kamati/timu ndogo ambao watafanya nao kazi hii pia Tshs 700 bn ambazo Barrick watatoa ni kuonyesha kama wapo tayari katika kulipa deni ila wanataka kujiridhisha.
 
Ni sawasawa na mtu unamdai gunia la mahindi alafu mwisho wa siku unapewa sado moja alafu unasifia kupewa sado duh ndo mana nachukiaga siasa
Tumenunusurika kushtakiwa na kulipa fidia kubwa kwa mujibu wa bwana yule.
 
Hivi wewe ulisoma anglau majira ya nukta? Nukta iko wapi kwenye ule mstari waliouchora wataalam wetu wa TRA?
 
Bashir ulichoandika hapa kinaonyesha mambo mawili makubwa: 1. Hukupata nafasi ya kulelewa vizuri. Tuliobahatika tulifundishwa na jamii kutomsimanga mgonjwa. Mtu mwenye busara angesubiri Lissu apone ndio ampe ya moyoni ama kutomwambia kitu kabisa. 2. Ni jambo la hekima kutomsimange yeyote ambaye umempa chakula ale hata kama katenda kosa. Haya mambo mawili inaelekea Bashir sio kosa lako bali hujawahi kuyajua. Hapa Lissu anahusika na namba moja maana yuko hospitalini. Kwa tunaoelewa mambo Rais wetu na Tundu Lissu walikuwa na approaches mbili tofauti lakini kila mmoja alikuwa na nia njema na nchi yake. Hata kama Lissu angefanikisha mambo kwa kutumia njia yake tusingesema rais wetu si mzalendo maana alikuwa akitetea rasilimali zetu. Sasa imetokea kuwa approach ya Rais imezaa matunda nasi sote tumpongeze. Lakini pia tumpongeze mbunge wa singida ambaye alikuwa na njia mbadala aliyeiamini sana. Wewe ndugu yangu Bashir sijui ulikuwa na njia gani mbadala! inawezekana ulikuwa nayo lakini hukuthubutu kuisema. Watanzania tujivunie kwamba tuna watu wenye mitazamo tofauti tofauti katika kutatua matatizo yetu maana bado tunayo mengi sana. Huna sababu ya kumsimanga Lissu tushukuru Mungu team ya Prof Kabudi imefanikisha hili jambo. Pia wanaobeza mafanikio haya hawafanyi vizuri. Hata kamattusipolipwa hata senti bado mimi ninaona mabadiliko ya sheria na taratibu zingine zitakazofuatwa na kampuni ile ya madini ni ya muhimu zaidi kuliko pesa. Bashir nakutakia mchana mwema.
 
What a shame to the Government..
From a claim of USD 400+ Trillion and u get only USD 300 Bil..!!
Mruma and Ossoro reports were purely Professorial Nonsense and Rubbish.
something is better than nothing,,, haters will always hate,, JPM gooo
 
lisu apone au afe? bnafs napenda asepe tu tumechoka ishi na wanafki Tz
 
Sahihi kabisa. Watu wengine wanashindwa kutofautisha ufundi wa kuropoka na professionalism katika taaluma. Kwa hili TAL ni mropokaji na. Fundi wa kupangilia maneno na sio MSOMI. Tunamuombea apone arudi ili tumsilize tena atasemaje maana hwaishiwi. Maneno hawa.
 
Jamani bado sijaelewa naomba kwautaratibu anae jua vizuri ajitokeze afafanie Mana natamani kuona Antipasi anakosea sikumoja Mana imebaki kidogo nimwite mtukufu
 
Mtamfanya asipone wapendwa. Mwache aje arudishe pesa ya watu aliyolamba na kwaaminisha kuwa Magu mtamshinda na kupata zaidi ya mnachotaka.
 
Mbow ndiye alitaka kumuua liss. Serikali haikuwa na mpango na mropokaji asiyekuwa na akili kama liss. Mbow ndiye muuaji wa liss. Na akirudi Mbow lazima ammalizie maana lengo lake halijakamilika maana serikali haijateteleka na watu ndiyo wamezidi kuwa na imani na Dkt Magufuli na serikali kwa ujumla. Pole zake huyu mnafiki, na nadhani Mbow na kundi lake walifanya vizuri kumtwangwa risasi huyu mnafiki maana kesi tumeshinda na yeye bado yupo hospitali anaugulia
 
Hii inaitwa kuna watu na vitu, wewe bure kabisa. Hizo shangwe zote unajadili majadiliano ambayo hayajawa approved na bodi, pia makubaliano mengi ni kwasiku za usoni. Fidia haijalipwa ila tumepewa takrima mzigo usafiri. kalaghabaho kweli ww.
 
Ha ha ha haaaaa.. Namba ya simu ya nini sasa?

Huyu wakili njaa anataka ateuliwe ndio maana anaweka namba ya simu hujui? Lkn tunamwambia kwamba kilichotokea ni aibu ya mwaka kwa Taifa kupewa rushwa ya $300M badala ya mwekezaji kulipa kodi alinayostahili ya $194,000M halafu sisi tulivyo na akili ya Nyumbu tunashangilia bakishishi. Vile vile badala ya kujadiliana kuongeza mrahaba eti mnataka kugawana faida ya 50/50, nani atakutegenezea mahesabu ya faida? labda mjinga.

Tumeshindwa vibaya kama Taifa na Tundu Lissu ni Mshindi na ataendelea kuwa mshindi kwasababu Tundu huwa ana kawaida ya kutulia anapopanga mashambulizi yake ninyi mnakurupuka na kutumia akili kidogo mabavu mengi na ndio maana kila mara mnaangukia pua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…