Mwengeso, we were to be paid 400 trillions, sasa wamelipa? Ndilo swali langu au wamekubali kulipa? si unasikia kuwa hata zile US$ 300 million hawatalipa mpaka hapo...... au hawatalipa kabisa.Kama alivyodadavua Yajub, wenye upeo mdogo wataishia kuona mwisho wa pua zao. SIYO WEWE RETIRED Mkuu, una heshima kubwa humu jamvini
Hiyo fedha inayolipwa $300m, hata kama haitalipwa, haina mabadiliko makubwa kuliko makubaliano ya kurejea mikataba kulingana na marekebisho ya sheria ya madini, 2017.
Mbali na hilo la mikataba, kwamba barrick imekubali shughuli zote za mauzo kufanyika nchini na Watanzania kuwa wajumbe wa bodi ya kuendesha kampuni mpya ya kusimamia uchimbaji wa dhahabu migodi inayomilikiwa na Barrick, ni ushindi mkubwa sana.
Isitoshe, kuna makubaliano ya kujenga kinu cha kuchakatua madini na Barrick watasalimisha, kwa Serikali, aina ya madini yote yasiyo kwenye mkataba. Ukirejea ripoti ya pili, hayo madini pia yana thamani kuliko.
Hitimisho, makubaliano hayo yamefungua mlango wa kudhibiti rasmali zetu wenyewe.
HATUSHITAKIWI kama upinzani ulivyotegemea. Kama siyo aibu kwao ni nini!!
Mkuu, MMENUNUA MBEREKO MTOTO HAJAZALIWA
Okay;Kuna uwezekano ukawa miongoni mwa hao watu
Sasa sio wewe ndo umekurupuka tena maana wamesema hawalipi point 3 znarud kwa TLWaraka wa BASHIR YAKUB.
+255784482959.
Pole sana msomi Lissu kwa kuumwa. Lakini sasa kwa taarifa za jana ni kuwa unapata nafuu na Mungu Mwenyezi awe nawe urejee.
Hata hivyo huku ulipotuacha ni umeshindwa vibaya. Wale uliosema watatushitaki na kuwalipa mabilioni sasa wao ndio wanatulipa sisi mabilioni.
Kile ulichosema kuwa ni makosa yetu ya mikataba na ulofa, wamekubali kuwa ni makosa yao na wako tayari kwa marekebisho ya "terms" vipengele vipya kwenye mikataba.
Hata zile kesi ndogondogo tulizokuwa nao katika mahakama "tribunal" mbalimbali sasa nazo wamekubali iundwe kamati ya kuzimaliza kwa mazungumzo.
Lakini kubwa kuliko yote msomi Lissu ni kuwa wamekubali mgao wa 50/50 wa faida na Tz kuwa na wawakilishi kwenye bodi ya wakurugenzi na mengine mengi yenye kutia moyo. Sijui, lakin nadhan habari hizi sio njema sana kwako.
Msomi Lissu, siku nyingine ukiambiwa wako watu wana akili kuliko wewe uwe mwepesi tu kuelewa. Ukiambiwa wako watu wanaona maili 50 zaidi yako uelewe haraka.
Hatukatai, unaweza kuwa mzungumzaji mzuri lakin sio mwenye upeo. Upeo hupimwa kwa matokeo ya matendo. Na kwa matokeo haya twaweza tu kupima nani mwenye upeo kati ya wale uliowaita wa hovyo na wewe. Pia twaweza kujua wa hovyo ni nani sasa.
Nilikushangaa sana uliposema huoni kosa la Acacia. Watu wamedanganya uzito wa madini, wamedanganya sampuli walizobeba na ushahidi upo, msomi unasema huoni kosa !!!? , Looh.
Unajua vyema kuwa hawa jamaa wangekuwa upande salama kama ulivyopiga chapuo wasingefikia makubaliano kama haya. Wangeenda kwenye tribunal za kimataifa kama ulivyowasaidia kupendekeza na wangeshinda na tungelipa mabilioni kama ulivyokuwa umetabiri.
Ulikera sana hapa :
Makontena yakazuiwa, ukasema kimkataba ni yao na yamezuiwa kimakosa.
Ripoti ya kwanza ikasomwa,ukasema ripoti hiyo ni takataka"rubbish".
Ripoti ya pili ikasomwa, ukasema hamna jipya.
Akaja bosi wa Acacia Prof. John.L.Thompton akasema watalipa, ukasema hajasema kama watatulipa na hawawezi kutulipa.
Ulidhihirisha uadui na nia ovu na ndio maana ni halali leo kusema JAPO UNAUMWA LAKINI UMESHINDWA. Haikujulikana ulitaka nini hasa.
Msomi, hawa watu hawakuwa wasafi na hili kila Mtanzania aliliona isipokuwa wewe. Kwa matokeo haya sasa twaweza kujua nani ana maamuzi ya KUKURUPUKA na kuzungumza hovyo.
Tunakutakia afya njema lakini upunguze kidogo kuropoka msomi. Watu wako makini kuliko unavyofikiria.
Lissu ana akili sana. Alichokuwa akiongea kilikuwa hakitoki moyoni. Aliufahamu ukweli wote na uhalali wa hatua za serikali. Ila alikuwa kwenye ajira. Hao jamaa walishafahamu kuwa kuwanyamazisha wapinzani wenye ushawishi inalipa. Walianza kwa Zitto alipokuwa kwenye tume ya Bomani na baada ya kuona mafanikiyo wakaenda kwa mzee mzima. Bwana usidanganywe kila mtu ana bei. Walifikia bei ndio tukasikia reports zikiitwa professorial rubbish. Mungu anawaona lakini.Waraka wa BASHIR YAKUB.
+255784482959.
Pole sana msomi Lissu kwa kuumwa. Lakini sasa kwa taarifa za jana ni kuwa unapata nafuu na Mungu Mwenyezi awe nawe urejee.
Hata hivyo huku ulipotuacha ni umeshindwa vibaya. Wale uliosema watatushitaki na kuwalipa mabilioni sasa wao ndio wanatulipa sisi mabilioni.
Kile ulichosema kuwa ni makosa yetu ya mikataba na ulofa, wamekubali kuwa ni makosa yao na wako tayari kwa marekebisho ya "terms" vipengele vipya kwenye mikataba.
Hata zile kesi ndogondogo tulizokuwa nao katika mahakama "tribunal" mbalimbali sasa nazo wamekubali iundwe kamati ya kuzimaliza kwa mazungumzo.
Lakini kubwa kuliko yote msomi Lissu ni kuwa wamekubali mgao wa 50/50 wa faida na Tz kuwa na wawakilishi kwenye bodi ya wakurugenzi na mengine mengi yenye kutia moyo. Sijui, lakin nadhan habari hizi sio njema sana kwako.
Msomi Lissu, siku nyingine ukiambiwa wako watu wana akili kuliko wewe uwe mwepesi tu kuelewa. Ukiambiwa wako watu wanaona maili 50 zaidi yako uelewe haraka.
Hatukatai, unaweza kuwa mzungumzaji mzuri lakin sio mwenye upeo. Upeo hupimwa kwa matokeo ya matendo. Na kwa matokeo haya twaweza tu kupima nani mwenye upeo kati ya wale uliowaita wa hovyo na wewe. Pia twaweza kujua wa hovyo ni nani sasa.
Nilikushangaa sana uliposema huoni kosa la Acacia. Watu wamedanganya uzito wa madini, wamedanganya sampuli walizobeba na ushahidi upo, msomi unasema huoni kosa !!!? , Looh.
Unajua vyema kuwa hawa jamaa wangekuwa upande salama kama ulivyopiga chapuo wasingefikia makubaliano kama haya. Wangeenda kwenye tribunal za kimataifa kama ulivyowasaidia kupendekeza na wangeshinda na tungelipa mabilioni kama ulivyokuwa umetabiri.
Ulikera sana hapa :
Makontena yakazuiwa, ukasema kimkataba ni yao na yamezuiwa kimakosa.
Ripoti ya kwanza ikasomwa,ukasema ripoti hiyo ni takataka"rubbish".
Ripoti ya pili ikasomwa, ukasema hamna jipya.
Akaja bosi wa Acacia Prof. John.L.Thompton akasema watalipa, ukasema hajasema kama watatulipa na hawawezi kutulipa.
Ulidhihirisha uadui na nia ovu na ndio maana ni halali leo kusema JAPO UNAUMWA LAKINI UMESHINDWA. Haikujulikana ulitaka nini hasa.
Msomi, hawa watu hawakuwa wasafi na hili kila Mtanzania aliliona isipokuwa wewe. Kwa matokeo haya sasa twaweza kujua nani ana maamuzi ya KUKURUPUKA na kuzungumza hovyo.
Tunakutakia afya njema lakini upunguze kidogo kuropoka msomi. Watu wako makini kuliko unavyofikiria.
Ha ha ha haaaaa.. Namba ya simu ya nini sasa?
Umenukuu bandiko langu lote nikategemea kusoma hoja dhidi ya hoja zangu, kumbe na wewe una mwelekeo wa kujibu kisiasa. Kwamba, katika makubaliano yote, mnaona la kulipwa fedha ndilo la msingi na siyo matokeo makubwa, du!Mwengeso, we were to be paid 400 trillions, sasa wamelipa? Ndilo swali langu au wamekubali kulipa? si unasikia kuwa hata zile US$ 300 million hawatalipa mpaka hapo...... au hawatalipa kabisa.
Mwengeso hayo yote mpaka barrick wakubali, bodi ikae ikubali au ikatae! ( Ni mwanzo mzuri lakini la kushangilia hivyo as if tayari ni washindi, sio sawa. Let us keep our fingers crossed?!
Matokeo makubwa si lazima bodi ya ikubali! Ndicho nilichokiandika hapo.(soma hapa Mwengeso hayo yote mpaka barrick wakubali, bodi ikae ikubali au ikatae!) ndvyo nilivyoandika hujasoma between lines!Umenukuu bandiko langu lote nikategemea kusoma hoja dhidi ya hoja zangu, kumbe na wewe una mwelekeo wa kujibu kisiasa. Kwamba, katika makubaliano yote, mnaona la kulipwa fedha ndilo la msingi na siyo matokeo makubwa, du!
Hayo unayohisi ni matokeo makubwa ndio weakness kwenye mkataba tuliyokubali wenyewe kusaini sasa nakushangaa kweli yani wenzio wanakwambia umekalia kinyesi nawe ukaenda chooni kujisafisha kisha unarudi kuwatambia waliokwambia wewe mchafuUmenukuu bandiko langu lote nikategemea kusoma hoja dhidi ya hoja zangu, kumbe na wewe una mwelekeo wa kujibu kisiasa. Kwamba, katika makubaliano yote, mnaona la kulipwa fedha ndilo la msingi na siyo matokeo makubwa, du!
Ha ha ha haaaaa.. Namba ya simu ya nini sasa?
Matokeo makubwa si lazima bodi ya ikubali! Ndicho nilichokiandika hapo.(soma hapa Mwengeso hayo yote mpaka barrick wakubali, bodi ikae ikubali au ikatae!) ndvyo nilivyoandika hujasoma between lines!
Hamuwezi kushitakiwa wakati mmekubali kuachia stahiki yenu na kukubali kulipwa peanuts. Unatarajia aliyekuibia milioni kumi akushtaki ilhali umekubali akulipe shilingi moja? Atakuwa hana akili. Hebu tujaribu kudai zile trilioni 400 tuone kama atatuchekea! Naona Lissu hakueleweka kabisa.Kwa hyo ni sawa na tumeshtakiwa??
Lissu aliposema tujitoe MIGA ndipo tuongee na hawa watu ili watuheshimu kisawasawa hajaeleweka. Anaitwa msaliti na kutaka kuuawa. Saa hizi wana uhakika hatuna ubavu kwa lolote. Hatuwezi kuwabana kwa kutuibia wala kwa kutolipa kodi. Sie tuendelee kechekelea kulipwa peanuts!Mwengeso, we were to be paid 400 trillions, sasa wamelipa? Ndilo swali langu au wamekubali kulipa? si unasikia kuwa hata zile US$ 300 million hawatalipa mpaka hapo...... au hawatalipa kabisa.
Mwengeso hayo yote mpaka barrick wakubali, bodi ikae ikubali au ikatae! ( Ni mwanzo mzuri lakini la kushangilia hivyo as if tayari ni washindi, sio sawa. Let us keep our fingers crossed?!
Maisha ya MTU hayalinganishwi na Tumbo lako. You better shut the hell up.Mbow ndiye alitaka kumuua liss. Serikali haikuwa na mpango na mropokaji asiyekuwa na akili kama liss. Mbow ndiye muuaji wa liss. Na akirudi Mbow lazima ammalizie maana lengo lake halijakamilika maana serikali haijateteleka na watu ndiyo wamezidi kuwa na imani na Dkt Magufuli na serikali kwa ujumla. Pole zake huyu mnafiki, na nadhani Mbow na kundi lake walifanya vizuri kumtwangwa risasi huyu mnafiki maana kesi tumeshinda na yeye bado yupo hospitali anaugulia