smarte_r
JF-Expert Member
- Nov 8, 2013
- 4,564
- 12,014
Wakija kwenye uzi huu watakayoandika yatakuwa zaidi na msukumo wa hisia za udini kuliko uhalisia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakija kwenye uzi huu watakayoandika yatakuwa zaidi na msukumo wa hisia za udini kuliko uhalisia.
Unajisi haufanywi na viongozi wa Kanisa Katoliki pekee. Hiyo ni jinai inayohusu jamii nzima. Hivyo yeyote yule anaweza kufanya, na sheria kufuata mkondo wake.Kanisa lijinasue kwenye kashfa ya viongozi wake kunajisi watoto mahali popote palipotolewa kashfa hizo.
Hilo ndo jukumu namba moja la kiroho.
Wajikite huko majuzi Kiongozi wao alikuwa Portugal vijana baada ya kuona unyanyasaji wa kingono wamelisusa kanisa na sasa Kiongozi alienda kujaribu kuleta fikra chanya ila bado kashfa hizi hazijaliacha salama kanisa.Unajisi haufanywi na viongozi wa Kanisa Katoliki pekee. Hiyo ni jinai inayohusu jamii nzima. Hivyo yeyote yule anaweza kufanya, na sheria kufuata mkondo wake.
Hapo sasa ndio patamu !kanisa liliwapingaje wakolon wakati kanisa ni moja ya vitangulizi vya ukoloni?
😆😆😆Wakatoliki kwenye hii nchi ni 11% tu lakini wana jifanya kama nchi yao😂😂
Tuongelee bandari kwanzaWajikite huko majuzi Kiongozi wao alikuwa Portugal vijana baada ya kuona unyanyasaji wa kingono wamelisusa kanisa na sasa Kiongozi alienda kujaribu kuleta fikra chanya ila bado kashfa hizi hazijaliacha salama kanisa.
Kanisa Katoliki lina wajibu pia wa kuwakemea nyinyi akina Chifu Mangungo, mnaouza raslimali za Taifa kwa wageni.Wajikite huko majuzi Kiongozi wao alikuwa Portugal vijana baada ya kuona unyanyasaji wa kingono wamelisusa kanisa na sasa Kiongozi alienda kujaribu kuleta fikra chanya ila bado kashfa hizi hazijaliacha salama kanisa.
Mbona unaongelea idadi fake ya Wakatoliki pekee! Weka na idadi yenu ili tujiridhishe. Au ndiyo ile ya kufikirika, ya 54%?Wakatoliki kwenye hii nchi ni 11% tu lakini wana jifanya kama nchi yao😂😂
Ongelea wewe mimi nipo na uharibifu wa maadili katika kanisa.Tuongelee bandari kwanza
Unatoa wapi hiyo moral authority wakati unawafania molestation vitoto vidogo?Kanisa Katoliki lina wajibu pia wa kuwakemea nyinyi akina Chifu Mangungo, mnaouza raslimali za Taifa kwa wageni.
Kama ni kuhusu kashafa za unajisi, hata baadhi ya walimu wenu wa madrasa wanawadhulumu wanafunzi wao kila siku.
Hamia kanisani kabisa ukahubiri sio huku jfOngelea wewe mimi nipo na uharibifu wa maadili katika kanisa.
JF sio nyumbani kwa Baba yako.Hamia kanisani kabisa ukahubiri sio huku jf
Ulizia historia ya mvutano kati ya jozee kabila na kanisa mama katoliki huko drcSasa Je ! Katika Hizo Wanazosemaga Siri-kali Za Serikali Hakuna Huo Utambulisho Wa Kuonyesha Kuwa Tanganyika Ipo Chini Ya Katoliki Ili Kila Kiongozi Mjuu Akiingia Ajue Na Kuobey Makubaliano Ya Kanisa Na Waasisi Wa Nchi ? Na Usipofuata Makubaliano Na Mwongozo Wa Katoliki Kuna Disadv Gani?
Ni Vema Tujue Hilo,Hili Mama Asipotekeleza Maoni Ya Waraka Wa Maaskofu Wa Katoliki TEC Tujue Kabisa Amekiuka Makusudi Au La Hajui,na Kama Kuna Hasara Yoyote Kama Nchi Tutaipata Tusipofuata Makubaliano Yetu Na Vatican.
Amejipambanua kuwa yeye ni wa timu fulani ! Kwahiyo wale wa timu ile fulani nyingine sidhani kama wataukubali uchambuzi wake !! Nchi hii kwa sasa kila kitu ni kama Simba na Yanga !!Kuwepo kwa hilo mwanzoni tu kumeharibu. Ungetafuta namna ukadecrare mwishoni hilo ingekuwa poa sana. We ni mwandishi mzuri sana ungeweza tu.
Haya sasa Kanisa limetoa tamko. Kama hutaki, hamia Oman kwa ndugu zako Waarabu.Unatoa wapi hiyo moral authority wakati unawafania molestation vitoto vidogo?
Jf zipo Akili kubwa humu 😅😅🙏🙏Wewe unataka kuuza kitabu tu
Litoe tuu lakini limejaa wahuni.Haya sasa Kanisa limetoa tamko. Kama hutaki, hamia Oman kwa ndugu zako Waarabu.