Waraka wa kwanza wa c.t.u kwenda kwa wana chit chat wote......

ahahahahah Chilli hiyo ni sawa na chambo kula samaki au swala ku mkimbiza simba
Wamempeleka leo bana, alipeleka utata siasani mod wakasema nae. Hapa nilipo Mama v ashanipigia simu anaomba nimchekie wakili mzuri.
Chimbuvu hata sina hofu nae ujue ni nyuki wa mashine, hana madhara.
 
Last edited by a moderator:
hivi huyo majinuni anapata faida gani sasa?? jamani eee acheni kabisaaaaaa haya mambo ya kupeana ban. mbona we used ku-enjoy sana huku?? gfsonwin nimekumiss, isijekuwa ni wewe au Madame B maana nyie ndiye viherehere wa cc!!

mmh! mwali kwanza niombe rdhi haswaaa!!!!!!!!!.............mimi kwanza haya yote yanatokea mie niko msibani sina hili wala lile, na wala sikuona hizo nyuzi. istoshe najiami sana siwez kufanya ujinga wa kiasi hiki hata siku moja. mimi ni mtu mzima na napenda muda wote kuwa na furaha na amani sijawah kumnyima mtu raha ama kujinyima raha.

btw huu ni utoto tu wa baadhi ya watu kutokukua kiakili na hawa wanaoshoriki haya wanawakilisha lile kundi dogo sana ila ambalo linaipa sifa mbaya sana jinsia ya kike la WAMBEA NA WATETI. kimsingi huwa nikilitafakari hili kundi naonaga nai sawa watu kusema wanawake ni wamabea.

siku zote ukitaka mambo yako yaende kombo shirikisha wanawake utaona unless uwe na moyo wa chuma ndio utapita ila huu wa nyama utagombana tu. hujui kwanini Smile husema hapendagi company za kike?? sababu ndio hii.
 
Last edited by a moderator:
mi nlijua nipo nasoma gazeti la ELIMU HAINA MWISHO kumbe nipo jf chit chat. ngoja nisubiri toleo lijalo labda ntaelewa. mia
 
marejeshism kesho atakuja kukutafuta .mia siku izi thread zimakua ndefu kama jukwaa la siasa.100
mi nlijua nipo nasoma gazeti la ELIMU HAINA MWISHO kumbe nipo jf chit chat. ngoja nisubiri toleo lijalo labda ntaelewa. mia
 
Chill tuachane na hizi story za huyu mbuzi kagoma vipi kuhusu ladha ya ugali wa mhogo a.k.a udaga nimeumis sana nihadithie at least nitakuwa kama nimekula
 
marejeshism kesho atakuja kukutafuta .mia siku izi thread zimakua ndefu kama jukwaa la siasa.100

Mathread marefu nakuwaga mvivu kuyasoma hapa CC... Tena isitoshe nakuwa tayari najua kilichomo kwa kusoma sentesi tu yakwanza
 
Labda niendelee hivi hivi mana hata sielewi what's going on here! may be if someone can educate me please!
 
Mie thread ikawaga ndefu nasoma majibu ya walio tangulia kujibu then na mie na shusha komment yangu
Mathread marefu nakuwaga mvivu kuyasoma hapa CC... Tena isitoshe nakuwa tayari najua kilichomo kwa kusoma sentesi tu yakwanza
 
Labda niendelee hivi hivi mana hata sielewi what's going on here! may be if someone can educate me please!

Two people to the city return one child one way only.kinachoendelea ni vigumu kukielewa is betrayal in the city.
 
labda niendelee hivi hivi mana hata sielewi what's going on here! May be if someone can educate me please!

honey, miss you so much son!!
Daima nakukumbuka mwanangu mpenzi. Love you dearly.
 
nini tena swtlo?? jibu langu kwa mwanangu Nahonism ama juu ya waraka wa CTU??

Juu ya huu waraka wa C.T.U, sweetlo.....ni kama ule wa kina Shionza na wenzie? manake sijaelewa. halafu kesho, nitakuletea maembe my dear...usimwambie Asprin sawa?
 
Last edited by a moderator:
Juu ya huu waraka wa C.T.U, sweetlo.....ni kama ule wa kina Shionza na wenzie? manake sijaelewa. halafu kesho, nitakuletea maembe my dear...usimwambie Asprin sawa?

swtlo zaid ya watu, kula na kushiba na kutafuta pa kupumulia sijaona kingine hapa.

nafikiri sasa tutegemee zaid ya haya kutoka kwa hao walimensheniwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…