Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
Ngoja nimcheck na chilli kama atakuja KUSHUGHULIKIWA .... supu na miwa
Mnaona sasa unavyochemka...kwani mumpa tu raha ninini hivi hujui hata ukiwa u aongea kwa stress kama hivi unampa raha msikilizaji...
Nimiss tu mpendwa wangu . . . .mi nasubiria waraka wa pili, sijui kutakuwa na majina ya hao watu!Kipipi nimekumiss
Taa mwemakunda ndio nini?
Huyo nanii ndo nani??? lol
Mjaa asili haachi asili ndugu yangu!Waraka wa pili naufikiria kuandika hawa wagalatia wakiacha dhambi siuandiki, ila wakiendelea nitauandika
Taa nyekundu ipi tena?
hahahah . . . .nyie watu mnanifurahisha kwakweli!Hao hao..., wanajijua wenyewe cheki mimacho yao ilivyowatoka...