Umesomwa kwa utulivu, weledi na unyenyekevu mkubwa.Chanzo cha habari kilichiripoti tukio hilo sikuu hii ya leo kabisa tena siku tukufu ni gazeti la mwananchi, watu wamesikiliza kwa makini waraka huo na kuelewa nini kinaendelea nchini[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2722571
Lazma wajue nchi ina wasomi na wenye weledi mkubwaChanzo cha habari kilichiripoti tukio hilo sikuu hii ya leo kabisa tena siku tukufu ni gazeti la mwananchi, watu wamesikiliza kwa makini waraka huo na kuelewa nini kinaendelea nchini[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2722571
Tunawachangia kwa kuwa wanatuhudumia,Mkitoka kuusoma kanisani uleteni na mtaani maana waumini wenu wengi hawaji kanisani kutokana na michango mingi.
Padri akitaka gari mnawachangisha waumini zenu.
Muumini akitaka gari mnamuombea.
Chululu zenu.
Wameanza uchochezi km walivyofanya Rwanda siyo? Waambie serikali iko makini uvumilivu ukiwashinda hawataangalia hizo joho zao, wana hamu ya kunyea ndoo.Chanzo cha habari kilichiripoti tukio hilo sikuu hii ya leo kabisa tena siku tukufu ni gazeti la mwananchi, watu wamesikiliza kwa makini waraka huo na kuelewa nini kinaendelea nchini[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2722571
We ni poyoyo tu hujui unaloandika.The Catholic church is the biggest financial power, wealth accumulator and property owner in existence. She is a greater possessor of material riches than any other single institution, corporation, bank, giant trust, government or state of the whole globe.
. Their wealth is so big that they could create sustainable social programs to end famine on Earth; they have the power and the means to oppose wars; they have the financial resources to create an Eco-friendly planet — the biblical heaven on Earth.
Nchi ni mali ya hao walevi na wazinzi waliojificha kwenye majoho? Wakati Magufuli mkatoliki mwenzao waliona sawa siyo? Hizo nyaraka zao hazijaanza leo na hakuna waraka hata moja ulioisumbua serikali. Hao nyau tu wamejaa ubaguzi wa kidini. Kanisa katoliki ni kundi dogo tu kunq makqnisa mengi na bado waislamu ambao inqwezekana ni zaidi ya nusu ya watanzania.Sasa ndio Samia anapaswa kuelewa nchi sio mali yake na
"Msoga Gang"
Nchi hii ni mali ya watanzania.....
Na ahakikishe ndege yetu imerudishwa na waziteme hizo pesa za DP-WORLD.
Picha ya Siku!
Leo makanisa yamejaa sana na copy zilikuwepo za kutosha, hata wewe ukitaka pitia kanisani utapatiwa free of charge.Mkitoka kuusoma kanisani uleteni na mtaani maana waumini wenu wengi hawaji kanisani kutokana na michango mingi.
Padri akitaka gari mnawachangisha waumini zenu.
Muumini akitaka gari mnamuombea.
Chululu zenu.
Picha ya siku 🤣
Binafsi mimi pia nitajitolea kusambaza waraka kwa majirani zangu hapa mtaani free of charge, nitautoa copy na kuusambaza mwenyewe. Ikibidi hata kuelewesha ambao hawajui nini kinaendelea.Picha ya siku 🤣
Unamfahamu Padre yo yote Mkatoliki aliyetaka gari akachangisha hela kutoka kwa waumini? Ingawa Mapaddre wakatoliki hawana mshahara, hakuna Padre hata mmoja anayelalamika njaa au hela ya kujikimu. Wanaochangisha ni makanisa yaliyoanzishwa karibuni tu ya mtu binafsi. Kanisa Katoliki ni moja, takatifu, na la mitume.Mkitoka kuusoma kanisani uleteni na mtaani maana waumini wenu wengi hawaji kanisani kutokana na michango mingi.
Padri akitaka gari mnawachangisha waumini zenu.
Muumini akitaka gari mnamuombea.
Chululu zenu.
kaz imeanza[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]Kuna jumuiya wiki ijayo mwamba mmoja amejitolea kutoa nakala 100 kwa gharama yake, kila familia itapewa nakala hata mbili waondoke nazo kwenda majumbani na wengine mitaani
labda useme islam ninusu yawakatholiki ila watz uongo babu vjj vingi sana havina hata muislam mmoja ila sizani kama kuna kjj hakina kanisaNchi ni mali ya hao walevi na wazinzi waliojificha kwenye majoho? Wakati Magufuli mkatoliki mwenzao waliona sawa siyo? Hizo nyaraka zao hazijaanza leo na hakuna waraka hata moja ulioisumbua serikali. Hao nyau tu wamejaa ubaguzi wa kidini. Kanisa katoliki ni kundi dogo tu kunq makqnisa mengi na bado waislamu ambao inqwezekana ni zaidi ya nusu ya watanzania.
waweke google PDF tuwetunasambazianaBinafsi mimi pia nitajitolea kusambaza waraka kwa majirani zangu hapa mtaani free of charge, nitautoa copy na kuusambaza mwenyewe. Ikibidi hata kuelewesha ambao hawajui nini kinaendelea.
Pumbafu wee, husituingize waislam kt genge la majizi, waraka wa RC tunauunga mkono kwan huko against ufisadiNchi ni mali ya hao walevi na wazinzi waliojificha kwenye majoho? Wakati Magufuli mkatoliki mwenzao waliona sawa siyo? Hizo nyaraka zao hazijaanza leo na hakuna waraka hata moja ulioisumbua serikali. Hao nyau tu wamejaa ubaguzi wa kidini. Kanisa katoliki ni kundi dogo tu kunq makqnisa mengi na bado waislamu ambao inqwezekana ni zaidi ya nusu ya watanzania.