Katika ibada ya leo katika kanisa Katoliki jijini Dodoma Parokia ya St. Augustino alikosali Makamu wa Rais Philip Mpango, alionekana kufurahia waraka wa Baraza la Maaskofu, TEC.
Uso wa Mpango ulionekana kujaa bashasha wakati waraka ukisomwa. Nikajiuliza maswali kadhaa. Je, Mpango anaunga mkono waraka huu unaopinga msimamo wa Serikali anayoongoza? Je, Mpango yuko against na Rais Samia Suluhu Hassan?
Je, Mpango anafurahia mashambulizi dhidi ya Bosi wake Samia? Je, naye hajui atetee waraka au mkataba? Mpango ni mkatoliki "Lia Lia".