Waraka wa Maaskofu Katoliki kusomwa na makanisa yote nchini kesho Agosti 21, 2023

Na hata Mbishi, Mpelekeshwaji, Muhongwaji, Muoga, Mpenda Kudanganywa Kutwa na Kusifiwa na Mvivu wa Kusoma Taarifa muhimu za Kumsaidia aliyekuwa Bange Kali City leo akijiandaa kuja Dar es Salaam kabla hajaenda Kukesha na Chawa wake Kwao 'Kizizi cha Mkazi' katika Wiki yake ( ijayo ) nae ajitahidi awe anausoma mara kwa mara ( huku Wine na Whiskey zikiwa katika Glass ) kisha awapigie Simu wenye Tamko lao ( ambao Kiasili ni Watu wenye Akili Kubwa na Nyingi duniani ) akina TEC kisha awapigie Magoti na Kuwaomba Radhi kwa huko Kukengeuka Kwake kunakomponza sasa.
 
Serikali nawashauri hili jambo la DP WORLD msije mkaliacha kwasababu ya waraka wa KIKATOLIKI. MKIWASIKILIZA HAO MJUE MMETENGENEZA BOMU KATIKA NCHI HII KWASABABU WATAJAWA NA KIBURI NA KUISUMBUA SERIKALI KATIKA KILA JAMBO.

NYIE KOMAENI TU HIVYOHIVYO NA KAMA NI KUACHANA NA DP WORLD BASI ZUGENIZUGENI HADI MAKUNDI MENGINE YASIYO YA KIDINI YATAKAPOTOA MATAMKO.
MSIWAPE TEC UMAARUFU KIRAHISI HIVYO
 
So what. Itasaidia nini
Kuujulisha umma. Yaani hata yule mtanganyika mnyonge wa mwisho kabisa aliyechoka ambaye kawa kawaida huwa hajui hili wala lile kesho atajua kuwa kuna Mkataba wa kuuza bandari na kwamba kuna watu walitaka kuuawa kwa kosa la uhaini

Endelea kudharau.
 
Mbona kesi ya uhaini wameiacha?
 
Nakala imfikie mkatoliki mwingine Ziro kule Harare.
 
Hamuijua serikali,wale jamaa wakiamua kufanya usafi nchi nzima mtachati mkiwa uvunguni,muulize Mbowe walichomfanyia wafuasi wake waliomuhidi tupo nyuma yako.
 
Hamuijua serikali,wale jamaa wakiamua kufanya usafi nchi nzima mtachati mkiwa uvunguni,muulize Mbowe walichomfanyia wafuasi wake waliomuhidi tupo nyuma yako.
Acha uoga wewe Mbumbumbu
 
Wewe Mbumbumbu kaa hivyo hivyo
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Km hajasema bakini na waumini wenu huko makanisani kwenu, sisi tunakomaa na Depe Wod maana Pesa za Tende, Harua na Futwali tulizopewa na Mwarabu wa Dubei tumekwishazila turudishe mawe? Pesa za kurudisha hatuna acha tukomae tu hakuna namna sawa dili limebuma Ila Pesa za kurudisha hatuna
 
Hivi haiwezi kutokea hawa madharimu wakatuma maasikalizuia usisomwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…