Waraka wa TEC umesomwa kwenye Jumuia yangu ya Mt. Marcelino. Tunawashukuru Maaskofu. Kesho utasomwa vigangoni na Parokiani Mt. Antoni wa Padua

Ohooooo
 
Hatuvai kobazi, tunavaa viatu kama kawaida.
Karibu kanisani, usiabudu sanamu
Ntakuja na nyama yangu ya nguruwe niwe inajitafunia taratibu wakati na sikiliza mahubiri ya makasiriko ya wavaa kubazi
 
Ntakuja na nyama yangu ya nguruwe niwe inajitafunia taratibu wakati na sikiliza mahubiri ya makasiriko ya wavaa kubazi
Hutakatazwa maana hatupambani na mtu, hiyo ni kazi ya Mungu atajitetea
 
Mama anaendeleza kuwapa vidonda vya tumbo na magonjwa ya moyo:

Your browser is not able to display this video.


Kwenye mioyo yao kuna maradhi na atawazidishia Allah maradhi.

Aamiin .
 
Kuna wanasiasa miongoni mwa hao viongozi wetu, kuna mwana CHADEMA mmoja anaitwa padre Kitina, anaongea kiungwana kabisa kumbe ana ajenda zake za kisiasa.
 
Huu waraka ni Zaid ya mkutano wa hadhara, huu waraka ni Zaid ya mechi ya Simba na Yanga, huu waraka unafanya mwanamke mzanzibar ashindwe Kula na kunywa.
 
Ni uoga wa waarabu unaosumbua viongozi wetu wa kanisa. Wanasahau kuwa waarabu ni wamiliki tu wa biashara nzima lakini watendaji wote huku chini ni watu wa mataifa mengine.

Ni sawa na Man City, wamiliki ni waarabu wenyewe lakini makocha na wataalam wengine wote ni watu wa mataifa mengine.

Tatizo kubwa la Tanzania ujuaji ni mwingi sana, mtanzania wa kawaida anajua kila kitu, kocha ni yeye, daktari wa timu ni yeye, mtaalam wa misuli ni yeye, profesa wa sheria ni yeye yaani tunajua kila kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…