Kama ningekuwa nafahamu hiyo taasisi ya BAKWATA haswa viongozi wake ningewafuata nikawashauri wasijaribu kutoa tamko lolote kwa vile hii nchi sio ya kiislamu wala wasiingize udini maana itakuwa mbaya na kuleta uvunjifu ya amani.

Waislamu tuna sheria zetu na hazifungamani na mambo haya kikubwa amani na tuna uhuru wa kuabdu.
 
Tatizo ni kwamba marais wasio wazalendo huwa wamenyooka kutumikia wananchi hakuna kuuza nchi km samia na kikwete wanavyotaka kufanya
 
Tatizo hamjui kusoma!

ู‡ููˆูŽ ุงู„ู‘ูŽุฐููŠ ุจูŽุนูŽุซูŽ ูููŠ ุงู„ู’ุฃูู…ู‘ููŠู‘ููŠู†ูŽ ุฑูŽุณููˆู„ู‹ุง ู…ู‘ูู†ู’ู‡ูู…ู’ ูŠูŽุชู’ู„ููˆ ุนูŽู„ูŽูŠู’ู‡ูู…ู’ ุขูŠูŽุงุชูู‡ู ูˆูŽูŠูุฒูŽูƒู‘ููŠู‡ูู…ู’ ูˆูŽูŠูุนูŽู„ู‘ูู…ูู‡ูู…ู ุงู„ู’ูƒูุชูŽุงุจูŽ ูˆูŽุงู„ู’ุญููƒู’ู…ูŽุฉูŽ ูˆูŽุฅูู† ูƒูŽุงู†ููˆุง ู…ูู† ู‚ูŽุจู’ู„ู ู„ูŽูููŠ ุถูŽู„ูŽุงู„ู ู…ู‘ูุจููŠู†ู

[ AL - JUMUA' - 2 ]
Yeye ndiye aliye mpeleka Mtume kwenye watu wasio jua kusoma, awasomee Aya zake na awatakase, na awafunze Kitabu na hikima, ijapo kuwa kabla ya haya walikuwa katika upotofu ulio dhaahiri.
 
Sikiliza huu waraka halafu uniambie dosari zake


View: https://youtu.be/cTmfQqT1jGY
 
Sikiliza huu waraka halafu uniambie dosari zake


View: https://youtu.be/cTmfQqT1jGY
 
Ukweli upi kuattac kanisa badala ya kujadili hoja za mkataba,nionyeshe wapi wajukuu wa waarabu wamejadili vifungu vya mkataba kama walivyojadiri tec.
Ungesoma kwa makini nilichoabdika na ungesikiliza kwa umakini kilichozungumzwa usingeandika ulichoandika.
Any way, tumetofautiana uelewa.
 
Mimi niliwatoa akili nahisi 2012 mlivo andamana kuwa ndalichako anawafelisha waislam, sasa kama umeandika majibu ya madrasa unataka ufaulu
 
Bahati nzuri waislamu huwa hawaanzishi ukorofi.Munaanzisha chokochoko nyingi na kejeli ila mukijibiwa jibu moja tu munaanza kusema eti waislam wakorofi sana.Usimuamshe muislamu alielala,hautolala wewe,bali utakufa mazima.
 
Tukumbuke katika sakataa ESCROW bank ya Mkombozi ilitumika kupitisha pesa za ufisadi na maaskofu walipewa mgao.

Watu hata hawafanyi mapenzi na familia hawana lakini wanapenda sana hela sijui wanaenda kuhonga mabasha zao wanaowatindua.
Kwani benki iliiba? Kazi ya benki ni kupokea na kuifadhi pesa za wateja. Hata sheria ya money laundering ilifanya kazi kipindi cha Magu tu..kwa sasa nani anakuuliza benki pesa umetoa wapi.
 
Sasa porojo zangu ziko wapo!? "Wonderfull"
Kwahiyo alikubali au alikataa?
Any way, you have dug according to your hoe
 
Bahati nzuri waislamu huwa hawaanzishi ukorofi.Munaanzisha chokochoko nyingi na kejeli ila mukijibiwa jibu moja tu munaanza kusema eti waislam wakorofi sana.Usimuamshe muislamu alielala,hautolala wewe,bali utakufa mazima.
Kwa nini mmewajibu TEC wakati hawajawataja kwenye waraka wao . Mbgekuja na waraka wenu uliojikita kwenye vipengele vya mkataba.
 
Hahaaaaa, JPM akawa anatumia ubabe na kumtishia mzee Ngalalekumtwa wa jimbo la Iringa alipokuja ziara hapa mkoani Iringa. Mzee akamuwekea ngumu. JPM akapanda mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ