Wanasema tamko la TEC linataka kuleta taharuki Kwa wananchi na chuki Kwa wananchi dhidi ya serikali ya CCM.[emoji23]
 
Nani owner wa hiyo TV station?.
 
Kidogo hapo wana hoja "TEC watoe mapendekezo". Lakini je, na wao katika hiko kipindi wamekuja na mapendekezo au wanaunga mkono huo mkataba wa kimangungo?

Mind you mimi siamini dini yoyote ile.
Mapendekezo mbona wameshatoa! Wamesema mkataba huo ni wa kuachana nao kisha jambo hilo lianzishwe upya.
Na ukiangalia damage ishakuwa kubwa na haiponyeki. Watangaze tenda ya ushindani tuu
 

Mkuu,
Kuna watu hawawezi kubali dini yake kuwa criticized sababu walishakuwa indoctrinated kwamba hiyo ni blasphemy ( kufuru).

Lakini pia tusitukane imani za upande wowote ule. Tujadili kwa staha.
 
Hawa elimu 0% , TEC ( Phd)
Elimu ni pana sana. Kuwa na degree au phd haimaanishi kwamba wewe una elimu ya mambo yote.
Hasa hizi phd uchwara ndo hamna kitu zaidi ya kubwabwaja.
Mvuvi, Mkulima, Mfugaji, nk hawa pia wana elimu zao ambazo wewe mwenye phd hauna hiyo elimu.
 
mimi kwa hapa tulipofikia naona JWTZ, police wakae pembeni alafu zipigwe mchana kweupe kila mtu akisaidiwa na master wake(arabs&whites), mshindi ajulikane na makelele yaishe maana chuki ilianza taratibu sana kipindi cha mkwere na sasa imerudi tena kwa kasi ya ajabu sasa lazima tupate muarobaini.Tuzipige tu hakuna namna
 
Tujiandae Mafioso wa Vatican wameguswa, utaratibu aliondoka nao Maembe ndiyo utaanza rasmi.
Tukumbe hawa Wajumbe wa TEC mwezi uliopita waliitwa na Papa kule Vatican,kilichojadiliwa hatujui!
 
Wote wajinga wajinga tu naweza sema ni CCM wa Kiroho.

Sent from my Infinix X689C using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…