Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rudisheni mpunga wa waarabu,acheni visingizioTukumbuke katika sakataa ESCROW bank ya Mkombozi ilitumika kupitisha pesa za ufisadi na maaskofu walipewa mgao.
Watu hata hawafanyi mapenzi na familia hawana lakini wanapenda sana hela sijui wanaenda kuhonga mabasha zao wanaowatindua.
Wanapelekaje maoni wakati harusi ilifanyika bungeni. Walishauriwa wavunje mkataba kwanza majadiliano yafanyike wao wanaziba masikio.Wanadai fursa imetolewa ya kupeleka maoni na watu hawapeleki kwakua watu Wana maslahi yao
Million 15 mbona wengi?Kwamba lengo nikuwa na Rais Mkatoliki unadhani litawezekana?
Watu mil 60,wakatoliki hawafiki mil 15,unawezaje kuwashinda watu Mil 45?
Wajadili kwa kujibu hoja siyo kupachika maneno ya kuungaungaNimesema mara nyingi watu wa dini wakemewe Kuingilia Serikali inaweza kuleta mtafaruku.
Kama TEC Wametoa tamko lao hadharani na hao Wana Haki ya kujadili hadharani kama walivyosema watasoma waraka makanisani.
Ndugu tambua madarasa hayamaanishi kuwa na akili.Hawa elimu 0% , TEC ( Phd)
Sheria ziko wazi, hao maaskofu wa hela za escro wangepelekwa mahakamani wakakutane na mkono sheria.Tukumbuke katika sakataa ESCROW bank ya Mkombozi ilitumika kupitisha pesa za ufisadi na maaskofu walipewa mgao.
Watu hata hawafanyi mapenzi na familia hawana lakini wanapenda sana hela sijui wanaenda kuhonga mabasha zao wanaowatindua.
ITV , CHANNEL 10 na WASAFI hawataonyesha .mama leo ataangalia habali saa 2 kamili ITV ?ama ataweka movie..... maana tec si watu wazuri
Naimani ma Mh.Rais Samia, uenda akamaliza sakata hili kwa hekima zaidi. TEC wapo sahihi, ila kasoro yao awakutoa matamko kwa JPM juu ya mapungufu yake. Kukandamiza demokrasia, kupendelea kwao, kuonea au kupora fedha kwenye account za watu nk!Hii vita ni rasmi ya kidini, Samia 2025 hawezi kuwa Rais
Wamemtega ametegeka , Wenye nchi hawawezi mruhusu kuendelea 2025
Byebye Samia
CCM ikiiba chaguzi za nchi hii haikemewi, ila viongozi wa serikali waliopatikana kwa wizi wa kura wakikemewa ndio inaleta mtafaruku.Nimesema mara nyingi watu wa dini wakemewe Kuingilia Serikali inaweza kuleta mtafaruku.
Kama TEC Wametoa tamko lao hadharani na hao Wana Haki ya kujadili hadharani kama walivyosema watasoma waraka makanisani.
PhD za jinsi Maryam alivyopata mimba na Paulo alivyotokewa na yesu akienda Damascus!!Hawa elimu 0% , TEC ( Phd)
TEC akili kubwa. Viongozi wanasomewa kanisani kwa utulivu kabisa.mama leo ataangalia habali saa 2 kamili ITV ?ama ataweka movie..... maana tec si watu wazuri
Haya mambo achana nayo. Hautaweza. Wenzako wa TV Imaan wamepwaya itakuwa wewe?PhD za jinsi Maryam alivyopata mimba na Paulo alivyotokewa na yesu akienda Damascus!!
huo wivu na chuki mnazo nyie kila mkipata nafasi lazima mueneze chuki kwa wakatoliki, sasa muda wa kuonyeshana ndo huu sasaTatizo lenu mna wivu na chuki iliopitiliza kwa waislamu.
Teeh punguza bangi kijana.huo wivu na chuki mnazo nyie kila mkipata nafasi lazima mueneze chuki kwa wakatoliki, sasa muda wa kuonyeshana ndo huu sasa
Wanapiga makofi na kushangiliaTEC akili kubwa. Viongozi wanasomewa kanisani kwa utulivu kabisa.
Aaamen Amen Rafiki! Umetumia busara sana sanaAssalamu Alaikum ndugu wa-Tanzania wenzangu,
Nisiwachoshe na nyie msinichoshe ila kiukweli kabisa hata sisi Waislamu wengi hapa chuoni kwetu Muslim university of Morogoro tunaungana kupongeza na kusifia waraka wa TEC kuhusiana na uwekezaji kwenye bandari yetu. Kwa maslahi mapana ya nchi yetu, tuweke dini zetu pembeni, tulinde resources za nchi yetu. Ni kitu kizuri sana kama the said amount inayotaka kuwekezwa na DP world ikatafutiwa mkopo uje ulete maboresho kwenye bandari yetu. If they can do it, why not us..? Tusipende sana kufanyiwa kila kitu na mataifa ya nje.
TEC Allah awazidishie sana kwenye maongozo yenu. Allahumma la sahla illa ma ja'altahu sahla, wa anta taj'alul-hazna iza syi'ta sahla.