Waraka wa TEC wajadiliwa TV IMAAN
Umoja wetu ni TUNU ndugu zangu Watanzania, tusiichome Nchi kwasababu ya Bandari ya Wazaramo

Wakati Wazaramo wenyewe wako bize na vigodoro na Singeli
 
Tukumbuke katika sakataa ESCROW bank ya Mkombozi ilitumika kupitisha pesa za ufisadi na maaskofu walipewa mgao.

Watu hata hawafanyi mapenzi na familia hawana lakini wanapenda sana hela sijui wanaenda kuhonga mabasha zao wanaowatindua.
Rudisheni mpunga wa waarabu,acheni visingizio
 
Wanadai fursa imetolewa ya kupeleka maoni na watu hawapeleki kwakua watu Wana maslahi yao
Wanapelekaje maoni wakati harusi ilifanyika bungeni. Walishauriwa wavunje mkataba kwanza majadiliano yafanyike wao wanaziba masikio.
 
Kwamba lengo nikuwa na Rais Mkatoliki unadhani litawezekana?

Watu mil 60,wakatoliki hawafiki mil 15,unawezaje kuwashinda watu Mil 45?
Million 15 mbona wengi?

Christians nadhani kama tupo wengi basi ni kama 8mill au 7 nahisi hata kumi (10) bado hatujafika,kwa hiyo kumbe mkakati ni kupiga kura mkizingatia dini?hata kama mtu hana sifa bora dini yenu?

Ninyi ni msiba!
 
Nimesema mara nyingi watu wa dini wakemewe Kuingilia Serikali inaweza kuleta mtafaruku.

Kama TEC Wametoa tamko lao hadharani na hao Wana Haki ya kujadili hadharani kama walivyosema watasoma waraka makanisani.
Wajadili kwa kujibu hoja siyo kupachika maneno ya kuungaunga
 
Tukumbuke katika sakataa ESCROW bank ya Mkombozi ilitumika kupitisha pesa za ufisadi na maaskofu walipewa mgao.

Watu hata hawafanyi mapenzi na familia hawana lakini wanapenda sana hela sijui wanaenda kuhonga mabasha zao wanaowatindua.
Sheria ziko wazi, hao maaskofu wa hela za escro wangepelekwa mahakamani wakakutane na mkono sheria.
 
Hii vita ni rasmi ya kidini, Samia 2025 hawezi kuwa Rais

Wamemtega ametegeka , Wenye nchi hawawezi mruhusu kuendelea 2025

Byebye Samia
Naimani ma Mh.Rais Samia, uenda akamaliza sakata hili kwa hekima zaidi. TEC wapo sahihi, ila kasoro yao awakutoa matamko kwa JPM juu ya mapungufu yake. Kukandamiza demokrasia, kupendelea kwao, kuonea au kupora fedha kwenye account za watu nk!
 
Nimesema mara nyingi watu wa dini wakemewe Kuingilia Serikali inaweza kuleta mtafaruku.

Kama TEC Wametoa tamko lao hadharani na hao Wana Haki ya kujadili hadharani kama walivyosema watasoma waraka makanisani.
CCM ikiiba chaguzi za nchi hii haikemewi, ila viongozi wa serikali waliopatikana kwa wizi wa kura wakikemewa ndio inaleta mtafaruku.
 
PhD za jinsi Maryam alivyopata mimba na Paulo alivyotokewa na yesu akienda Damascus!!
Haya mambo achana nayo. Hautaweza. Wenzako wa TV Imaan wamepwaya itakuwa wewe?
Ulichoandika ndicho wenzako wa TV Imaan walikuwa wanatumia kama hoja.
 
Assalamu Alaikum ndugu wa-Tanzania wenzangu,
Nisiwachoshe na nyie msinichoshe ila kiukweli kabisa hata sisi Waislamu wengi hapa chuoni kwetu Muslim university of Morogoro tunaungana kupongeza na kusifia waraka wa TEC kuhusiana na uwekezaji kwenye bandari yetu. Kwa maslahi mapana ya nchi yetu, tuweke dini zetu pembeni, tulinde resources za nchi yetu. Ni kitu kizuri sana kama the said amount inayotaka kuwekezwa na DP world ikatafutiwa mkopo uje ulete maboresho kwenye bandari yetu. If they can do it, why not us..? Tusipende sana kufanyiwa kila kitu na mataifa ya nje.
TEC Allah awazidishie sana kwenye maongozo yenu. Allahumma la sahla illa ma ja'altahu sahla, wa anta taj'alul-hazna iza syi'ta sahla.
 
Aaamen Amen Rafiki! Umetumia busara sana sana
 
Wapo sahihi. Inawezekana mkataba una kasoro ila hao TEC chose a wrong approach.
 
Back
Top Bottom