Waraka wa TEC wajadiliwa TV IMAAN
Hii vita ni rasmi ya kidini, Samia 2025 hawezi kuwa Rais

Wamemtega ametegeka , Wenye nchi hawawezi mruhusu kuendelea 2025

Byebye Samia
Nami ni Islam lkn samia the devil and evil No
 
Naona Waraka Sasa umefika Kila pahala, haujamuacha MTU salama! Naam wanaushambulia Kwa hakika though hakuna tangible points hapa!

Masheikh hawa wanaamini Waraka wa TEC utaleta taharuki. Wanafanya reference ya mambo ya ESCROW.

Wanasema tamko la TEC linataka kuleta taharuki Kwa wananchi na chuki Kwa wananchi dhidi ya serikali ya CCM.
kwa wasioelewa, katoliki walishajiandaa kuachana na MOU ambayo waislam wameilalamikia miaka mingi, ili hospitali zao na mashule yasipate msamaha wa kodi wa nyenzo wanazoingiza, manake hicho ndicho kinachowauma watu. na kwa kufanya hivyo, hata msamaha ukiondolewa, hospitali na mashule ya wakatoliki bado yataendelea kutibu na kuhudumia watu wa dini zote, waislam kwa wakristo na wapagani. hiyo misamaha nchi zingine haipo na makanisa bado yanatoa huduma, hata ikiondolewa tz haina maana katoliki watashindwa kuhudumia hospitali na mashule, hawategemei serikali bali sadaka, wanategemea sadaka. mtatibiwa na kuendelea kutibiwa bugando na mahospitali mengine bila kujali dini zenu.
 
Naona Waraka Sasa umefika Kila pahala, haujamuacha MTU salama! Naam wanaushambulia Kwa hakika though hakuna tangible points hapa!

Masheikh hawa wanaamini Waraka wa TEC utaleta taharuki. Wanafanya reference ya mambo ya ESCROW.

Wanasema tamko la TEC linataka kuleta taharuki Kwa wananchi na chuki Kwa wananchi dhidi ya serikali ya CCM.
Mafi
 
Naona hapa CCM na DPW wanatetewa Kwa nguvu zote bahati mbaya saaana hawataji Mapungufu yaliyomo kwenye mkataba ambayo yametajwa na Mahakama na Sekretarieti ya BUNGE pia, achana na individuals kama Professor Shivji.

Wanadai hizi ni propaganda! Duh
Zee sijui hata kama Lina certificate ya form four anaongea vapour tupu anaishambulia chadema bila hoja
 
Hapo bado Bakwata, KKKT, sijui Wasabato, Shia, kuja kutoa matamko
tukija kustuka tayari tunashikana mashati damu zinamwaikaa tuu
Mtu timamu kiakili hawezi shabikia haya yanayofanywa na taasisi za kidini sababu mwisho wake ni mbaya

Wameyaleta kijani ngoja tuone uelekeo wake.
 
Siku zote kauli za binadam siyo kauli za Mungu.
Nyerere hakuheshim maoni ya watu wengi walipendekeza kubaki na chama kimoja.
About 80% hawakutaka vyama vingi, only 20% ndiyo waliohitaji vyama vingi.
LAKINI NYERERE ALICHAGUA MAONI YA 20%.
Hapa anapingana na kauli yake.

Acha porojo zako unadhani nyerere alitaka vyama vingi,sera za kisiasa dunia zilikua zimemkaba koo,na ukitazama nchi ilikua katika anguko kubwa la kiuchumi the only way kunusuru wananchi ni kuachana na sera za kijamaa na chama kimoja na kuingia ujamaa wa vyama vingi yaani demokrasia.

Kuna moment zinafika kiongozi lazima uangalie all the possible ways kunusuru taifa lako,ila kwa hili la mkataba ba dpw viongozi wameamua kukaza fuvu ngoja tuone.
 
Inawezekana kinachozungumzwa na sheikh huyu kisikubalike, lakini ndiyo UKWELI WENYEWE.

Ukweli upi kuattac kanisa badala ya kujadili hoja za mkataba,nionyeshe wapi wajukuu wa waarabu wamejadili vifungu vya mkataba kama walivyojadiri tec.
 
KKKT nao walete waraka haraka, na walokole pia, kwasababu kama wabunge wameshindwa kuwasemea wananchi, basi hawa watusaidie. watu tunadanganywa mchana kweupe na kutufanyia propaganda utafikiri hatuna akili, hivi wanatuchukuliaje hawa ccm?
 
Hawa Msheikh ubwabwa wana elimu ahera tu lakini elimu dunia hawana ndiyo maana uwezo wa kuchambua mambo kimantiki hawawezi.
Ni kweli Elimu ya Akhera inapiga Ushoga ya dunia inawatambua masshoga, sasa napata picha nzuri kuhusu hizi dini
 
Naona Waraka Sasa umefika Kila pahala, haujamuacha MTU salama! Naam wanaushambulia Kwa hakika though hakuna tangible points hapa!

Masheikh hawa wanaamini Waraka wa TEC utaleta taharuki. Wanafanya reference ya mambo ya ESCROW.

Wanasema tamko la TEC linataka kuleta taharuki Kwa wananchi na chuki Kwa wananchi dhidi ya serikali ya CCM.
Wamesahau Uamsho?😆😆
 
Hii vita ni rasmi ya kidini, Samia 2025 hawezi kuwa Rais

Wamemtega ametegeka , Wenye nchi hawawezi mruhusu kuendelea 2025

Byebye Samia
Wenye Nchi akina nani wanaoshiriki kuuza raslali za Taifa? Hao unaodhani ni wenye Nchi Mama akiwapa mifupa yao tu wanasahau kila kitu.
 
Hii vita ni rasmi ya kidini, Samia 2025 hawezi kuwa Rais

Wamemtega ametegeka , Wenye nchi hawawezi mruhusu kuendelea 2025

Byebye Samia
Alikuwa anavimba eti anafungua nchi!

Alafu sasa akiona yale makofi anajiona yeye ni bora kuliko mtangulizi wake mara elfu.
 
Back
Top Bottom