ORCA ACE
JF-Expert Member
- Jan 18, 2020
- 1,449
- 1,708
Nyoooo zako, serikali ilotokana na uchaguzi under dictator JPM the devil and evil ni ya wananchi??Inamaana hawajui serikali ni ya wananchi wenyewe na si ya CCM.
Nyoko lako linanuka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyoooo zako, serikali ilotokana na uchaguzi under dictator JPM the devil and evil ni ya wananchi??Inamaana hawajui serikali ni ya wananchi wenyewe na si ya CCM.
Nami ni Islam lkn samia the devil and evil NoHii vita ni rasmi ya kidini, Samia 2025 hawezi kuwa Rais
Wamemtega ametegeka , Wenye nchi hawawezi mruhusu kuendelea 2025
Byebye Samia
Siku zote kauli za binadam siyo kauli za Mungu.
kwa wasioelewa, katoliki walishajiandaa kuachana na MOU ambayo waislam wameilalamikia miaka mingi, ili hospitali zao na mashule yasipate msamaha wa kodi wa nyenzo wanazoingiza, manake hicho ndicho kinachowauma watu. na kwa kufanya hivyo, hata msamaha ukiondolewa, hospitali na mashule ya wakatoliki bado yataendelea kutibu na kuhudumia watu wa dini zote, waislam kwa wakristo na wapagani. hiyo misamaha nchi zingine haipo na makanisa bado yanatoa huduma, hata ikiondolewa tz haina maana katoliki watashindwa kuhudumia hospitali na mashule, hawategemei serikali bali sadaka, wanategemea sadaka. mtatibiwa na kuendelea kutibiwa bugando na mahospitali mengine bila kujali dini zenu.Naona Waraka Sasa umefika Kila pahala, haujamuacha MTU salama! Naam wanaushambulia Kwa hakika though hakuna tangible points hapa!
Masheikh hawa wanaamini Waraka wa TEC utaleta taharuki. Wanafanya reference ya mambo ya ESCROW.
Wanasema tamko la TEC linataka kuleta taharuki Kwa wananchi na chuki Kwa wananchi dhidi ya serikali ya CCM.
C wote mkuu, hawa ni Islam masilaiWaslam hupenda sana lalamika, japo ni marafiki zangu
Tukumbushe, cc tlikua wadogo, nani alichinjwa sku hiyoHivi kuna Tamko kali lililowahi kutolewa na TEC, pamoja na CCT kama lile la nani achinje???
MafiNaona Waraka Sasa umefika Kila pahala, haujamuacha MTU salama! Naam wanaushambulia Kwa hakika though hakuna tangible points hapa!
Masheikh hawa wanaamini Waraka wa TEC utaleta taharuki. Wanafanya reference ya mambo ya ESCROW.
Wanasema tamko la TEC linataka kuleta taharuki Kwa wananchi na chuki Kwa wananchi dhidi ya serikali ya CCM.
Zee sijui hata kama Lina certificate ya form four anaongea vapour tupu anaishambulia chadema bila hojaNaona hapa CCM na DPW wanatetewa Kwa nguvu zote bahati mbaya saaana hawataji Mapungufu yaliyomo kwenye mkataba ambayo yametajwa na Mahakama na Sekretarieti ya BUNGE pia, achana na individuals kama Professor Shivji.
Wanadai hizi ni propaganda! Duh
🤣 bora maana..PhD za jinsi Maryam alivyopata mimba na Paulo alivyotokewa na yesu akienda Damascus!!
Hapo bado Bakwata, KKKT, sijui Wasabato, Shia, kuja kutoa matamko
tukija kustuka tayari tunashikana mashati damu zinamwaikaa tuu
Mtu timamu kiakili hawezi shabikia haya yanayofanywa na taasisi za kidini sababu mwisho wake ni mbaya
Kwamba?Inawezekana kinachozungumzwa na sheikh huyu kisikubalike, lakini ndiyo UKWELI WENYEWE.
Siku zote kauli za binadam siyo kauli za Mungu.
Nyerere hakuheshim maoni ya watu wengi walipendekeza kubaki na chama kimoja.
About 80% hawakutaka vyama vingi, only 20% ndiyo waliohitaji vyama vingi.
LAKINI NYERERE ALICHAGUA MAONI YA 20%.
Hapa anapingana na kauli yake.
Inawezekana kinachozungumzwa na sheikh huyu kisikubalike, lakini ndiyo UKWELI WENYEWE.
Ni kweli Elimu ya Akhera inapiga Ushoga ya dunia inawatambua masshoga, sasa napata picha nzuri kuhusu hizi diniHawa Msheikh ubwabwa wana elimu ahera tu lakini elimu dunia hawana ndiyo maana uwezo wa kuchambua mambo kimantiki hawawezi.
Nimekupa LIKE ya UKRISTO!!Mimi mkristo tena mkatoliki. No 1 fan of kitimoto. Nikirudi Tz nitakuita tupige kitimoto kama vipi
Wamesahau Uamsho?😆😆Naona Waraka Sasa umefika Kila pahala, haujamuacha MTU salama! Naam wanaushambulia Kwa hakika though hakuna tangible points hapa!
Masheikh hawa wanaamini Waraka wa TEC utaleta taharuki. Wanafanya reference ya mambo ya ESCROW.
Wanasema tamko la TEC linataka kuleta taharuki Kwa wananchi na chuki Kwa wananchi dhidi ya serikali ya CCM.
Wenye Nchi akina nani wanaoshiriki kuuza raslali za Taifa? Hao unaodhani ni wenye Nchi Mama akiwapa mifupa yao tu wanasahau kila kitu.Hii vita ni rasmi ya kidini, Samia 2025 hawezi kuwa Rais
Wamemtega ametegeka , Wenye nchi hawawezi mruhusu kuendelea 2025
Byebye Samia
Alikuwa anavimba eti anafungua nchi!Hii vita ni rasmi ya kidini, Samia 2025 hawezi kuwa Rais
Wamemtega ametegeka , Wenye nchi hawawezi mruhusu kuendelea 2025
Byebye Samia