Waraka wa TEC wajadiliwa TV IMAAN
Kuna watu wengine akili zao zinawatosha kuvuka barabara tu. Hivi hawa waarabu wakikubaliwa kuna kwá huu mkataba mbovu kabisa waislam watafaidika na nini? Au kuna mambo yako nyuma ya pazia ambayo hatuyajui?
Uislam ni uarab hili liko wazi jiulize jinsi wanavyowatetea na mapungufu yote hayo,wanaamini uislam utaenea kwa kasi.
 
Kuna watu wengine akili zao zinawatosha kuvuka barabara tu. Hivi hawa waarabu wakikubaliwa kuna kwá huu mkataba mbovu kabisa waislam watafaidika na nini? Au kuna mambo yako nyuma ya pazia ambayo hatuyajui?

Watafaidika wakiona wajukuu wa mtume wanamiliki bandari.

Si unajua tena hawa ndugu zetu wanavyowaabudu waarabu kwa sababu ndio wamewaletea dini.
 
Yule kibibi FOX mbona simuoni kwenye huu uzi au kagundua kuwa yeye kama mwanamke wa kiislam kazi yake ni kuzaa tu na si vingenevyo.
 
Kuuchambua ule waraka lazima ununue wasomi kutoka ughaibuni siyo hao wanafunzi wa yule aliyesema ameokotwa jalalani.

Maaskofu wetu ni wasomi kindakindaki akitamka neno anajua utauliza nini na jibu analo.

Siyo wale wanaoandika barua wakija kuisoma wanajionea aibu mpaka wanasema acha tu yaishe.
 
Naona Waraka Sasa umefika Kila pahala, haujamuacha MTU salama! Naam wanaushambulia Kwa hakika though hakuna tangible points hapa!

Masheikh hawa wanaamini Waraka wa TEC utaleta taharuki. Wanafanya reference ya mambo ya ESCROW.

Wanasema tamko la TEC linataka kuleta taharuki Kwa wananchi na chuki Kwa wananchi dhidi ya serikali ya CCM.
Masheikh wasihangaike kujadili hilo Tamko la TEC kwani ni Kubwa Kwao ( limezidi ) Uwezo Wao hafifu wa Uelewa. Wao wajikite tu katika kujadili Pilau, Nyama, Ndizi na Sinia.
 
TEC wameshatoa yao ya moyoni na hayatabadilika kwa mujibu wa kanuni ya Pontio Pilato " Niliyoandika Nimeyaandika"

Sasa zile Dini zinazopinga Waraka wa Katoliki nani amewakataza na Wao kutoa Waraka?

Watoe

Mungu ni mwema wakati Wote!
 
Jo inaonyesha wapo unaowachimba,wakifika hapa jukwaani nitasogea karibu 😀😀😀
 
Tusianze harakati za kidini!!!

Nilivyoelewa mimi ule waraka haukuwa kwa ajili ya watu wa dini fulani ule ulikuwa ni kwa ajili ya kuwaamsha Watanzania wote waliolala kama wakawa ni waislam Buddhist au atheist alimradi wawe wamekubali kuwaza nje ya maboksi ya siasa au dini zao.

Ila walioutoa wao ndiyo wana dini ila haukuwa na matakwa ya kidini as long as hii nchi ni yetu sote rasilimali zikiibiwa hasara hatupati kwa sababu ya dini zetu bali tunapata hasara kwa sababu tunaishi ndani ya hii ardhi ya Tanzania,kasoro ipo hapa wapo watu hawafikirishi vichwa vyao wanadhani lengo la ule waraka ilikuwa kwa ajili ya kuamsha harakati za kipuuzi za dini zao zinazowaamrisha kuweka akili nyuma ili kum-support mwenzao ktk dini kitu ambacho ni hatari sana.
 
TEC wameshatoa yao ya moyoni na hayatabadilika kwa mujibu wa kanuni ya Pontio Pilato " Niliyoandika Nimeyaandika"

Sasa zile Dini zinazopinga Waraka wa Katoliki nani amewakataza na Wao kutoa Waraka?

Watoe

Mungu ni mwema wakati Wote!
Na SIO DINI tu hata Watu mbalimbali itakuwa ni UJINGA KUPINGA WARAKA wa TEC bila kutoa nao WARAKA
 
TEC wameshatoa yao ya moyoni na hayatabadilika kwa mujibu wa kanuni ya Pontio Pilato " Niliyoandika Nimeyaandika"

Sasa zile Dini zinazopinga Waraka wa Katoliki nani amewakataza na Wao kutoa Waraka?

Watoe

Mungu ni mwema wakati Wote!
Naunga mkono hoja.
Naam, watoe wao ili tuone unavyochambua mkataba wa bandari.
 
Back
Top Bottom